Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,368
- 12,964
Kichaa mwenye rungu hashobokewi
Siku zote mwenye Nuclear haguswi.
Ndomana Kiduku hapigwi mpaka Leo kwasababu analo dude.
Iran anataka amiliki Hilo dude ili asisumbuliwe na Marekani/Israel.
Lakini hakuna Nchi za kiislam zenye nuclear . Nchi ya kiislam itikadi kali ikiwa na nuclear ni hazard maana wale hawatabiriki....unaweza kushangaa fatwa inapigwa takbir nuclear inatumwa Tanzania kisa Kuna mtoto wa kinyakyusa kaikojolea Quran.
Point nyingine, Ni kweli Iran ilichukuliwa na Muslim state Kwa Kura nyingi kwasababu watu walichoka maisha ya kipindi kile, wakataka wabadili waone upande huu utakuwa na manufaa gani. Lakini kwasasa wairan wengi washaichoka serikali ya kiislam na wamejitokeza wengi kuandamana ila wameuliwa na wanaendelea kuuliwa mara ef 10 ya kilichofanyika October 29 Kwa Bi Mskule.
Kina Ayatollah wanauona mwisho wa uongozi wa kiislam pale Iran hivo wanafanya lolote wawezalo kuibakiza Iran mikonon mwao, ikiwamo kuuza raia wao wenyewe (for internal opposition) na kutaka kumiliki nuclear(for external opposition).
Sasaivi maayatollah wakianguka/wakiangushwa na marekani, wananchi watakuwa upande wa marekani. Na hiko ndo kinampa Marekani kifuan cha kuivamia. Anaona wakati sahihi ni sasa.