View attachment 3549723
Severely damaged hizo leaks za uranium zilitokea? mbona kuna mambo ambayo yanakanusha habari za uongo kirahisi sana.
Hivi unaelewa madhara ambayo yangetokea hizo centrifuges zenye uranium zingepatwa na shambulizi?
Japan mwaka 2011, Fukushima nuclear disaster iliyotokana na tetemeko la ardhi ilipelekea wakaazi 100,000 kuhamishwa maeneo hayo na ya karibu.
Hivyo vinu vya Iran kama vilipigwa mbona hatujasikia rate ya leakage yake ni level ipi?
Kuna mto nimeusahau jina huo mwaka hapo Japan walikataza watu kufanya kai za uvuvi, walisafisha huo mto kwa miaka 10, hadi 2021 ndipo wakaruhusiwa kuendelea na shughuli za kawaida...
Elewa kwamba mashambulizi hayo hayakuharibu underground facilities na pengine zilikuwa zimehamishwa hizo centrifuges...
Osirak ilipopigwa leakage ya radiation ilitokea , pale Syria Al-Kibar ilipigwa 2007 kabla nulcear fission haijaanza hivyo hakukuwa na leakage unaelewa kiongozi?
Elewa kwamba Iran bado wana rutubisha nuclear yao, elewa wana reactors sehemu tofauti, kudhani B-2 iliharibu nuclear facilities zilizopo deep underground ni kujilisha upepo...
Kuhusu asilimia waliyo fikia, kumbuka Iran wamekataa inspectors kufika kwenye vinu vyao, lakini elewa wanaendelea...