Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

Mleta mada, mengi aliyoyaandika ni uwongo mtupu:
1. Kudai kuwa Marekani iliitumia Iraq kuishambulia Iran, ni uwongo mkubwa. Ukweli ni kwamba baada ya Ayatollah kuchukua madaraka, alitaka nchi zote zenye waislam.wengi ziongozwe kwa Sharia, na watawala watoke kwenye kundi la Washia. Motive hiyo ya Ayatollah, kwa hofu ya washia wa Iraq kuipinfua serikali yake, Sadam Hussein alianzisha vita dhidi ya Iran. Kwa kuzingatia mahusiano mazuri ya awali kati ya Israel, Marekani na Iran, Israel iisaidia Iran kwa kuwapa silaha za Marekani.
Soma hapa:

Israel provided significant clandestine military support to Iran during the 1980–1988 Iran-Iraq War
. Despite public hostility from Tehran, Israel viewed Saddam Hussein's Iraq as a greater strategic threat and sought to weaken by supplying Iran with arms, intelligence, and military instructors.

2. Ni uwongo kudai Iran ina watu wenye uwezo mkubwa wa akili na kwamba eti kwa uwezo wao wa ndani waliweza kuanza kurutubisha nuclear energy. Tekinolojia ya urutubishaji nuclear energy, mwanzoni walisaidiwa na Marekani na Ujerumani, mahusiano yalipozorota, wakawa wanasaidiwa na Pakistani, Urusi, Argentina na China. Kusaidiwa na mataifa mengi kiasi hicho kunaashiria uwezo duni wa wataalam wa Iran. Soma hapa:
  • United States: Initiated the program in 1957, supplied the Tehran Research Reactor (1967), provided weapons-grade uranium, and trained scientists.
  • West Germany: Kraftwerk Union began constructing the Bushehr nuclear power plant in the 1970s before withdrawing after the 1979 revolution.
  • Russia: Resumed construction of the Bushehr plant in 1995, utilizing Russian technology and expertise to complete the reactor.
  • China: Provided assistance in the 1980s and 1990s, including training and potential technology transfers.
  • Pakistan: A.Q. Khan's black-market network is believed to have supplied centrifuge technology for uranium enrichment in the 1990s.
  • Argentina: Provided fuel for the Tehran Research Reactor in the 1990s.
    Iran Watch +6
Following the 1979 revolution, Western support largely ceased, leading Iran to rely on Russian, Chinese, and clandestine sources to advance its program.
Sijui ni kwa unafiki au ujinga, mnaipaisha sana Iran, wakati nchi ipo kwenye uduni wa hali ya juu. Sasa hivi baada ya kukosa pesa za kigeni, inafanya bata trade na Pakistani.

3. Kusema kuwa eti Wairan, kwa sababu walikuwa na akili sana ndiyo waliweza kuunda makombora ya masafa marefu, ni uwongo wa hali ya juu. Mradi wa makombora wa Iran ulianzishwa kwa usaidizi wa North Korea, China na Urusi. Hayo mataifa yamekuwa yakinufaika na utajiri wa mafuta ya Iran, kwa malipo ya kuwafunfisha kutengeneza makombora kwa sababu yanajua kuwa ndio hamu ya Ayatollah. Ayatollah haumizwi na mateso ya Wairan, nguvu zake zote ameelekeza kwenye silaha ili aendelee kuwatawala Wairan kwa nguvu. Leo hii wakimbizi wa Iran waliopo Marekani na Ulaya ni zaidi ta milioni 3. Soma hapa uelewe programu ya makombora ya Iran ilisaidiwa na nani:
ballistic missile program has been built with extensive, long-term assistance from North Korea, Russia, and China. North Korea provided the initial technology, including Scuds, while Russia and China provided advanced components, materials, and training to develop longer-range and more accurate systems, enabling Iran to develop its own production capability.

Uwezo wa Iran katika tekinolojia ni duni sana. Wameshindwa hata kuprocess maji ya bahari kama inavyofanya Israel. Iran ina shida kubwa ya ajabu ya upatikanaji hata wa maji ya matumizi ya kawaida.

4. Kwenye mifumo ya ulinzi wa anga, Iran ilipewa baadhi ya mifumo na Urusi na China, pia wakafundishwa namna ya kutengeneza. Baadaye Iran ilidai kuwa iliweza kutengeneza mifumo ya ulinzi wa anga yenye uwezo wa zaidi ya ile ya S-300 iliyopewa na Urusi, cha ajabu, ilidhihirika mwakajana kuwa mifumo hiyo ni takataka tupu. Iran ilipigwa na ndege za Israel, nyingine zikiendeshwa na wanawake, kama vile nchi haina ulinzi wowote wa anga.
Sikujibu. Wee ni katika wale mnaoitwa na Waisrael 'goya'! Zionists useful fools. Go figure it/
 
Unapoonekana umekosa akili na maarifa ni pale unapoona watu wote Duniani hawana akili usipokuwa wewe tu. Hicho mara nyingi ni kipimo cha ukichaa. Vichaa wengi huwa wanajiona wana akili kuzidi watu wote. Wataalam wote wa Ulimwengu huu wanakubaliana kuwa kipimo cha maendeleo ndani ya nchi ni nominal GDP. Unapopima maendeleo ya watu, na kufanya ulinganifu na Taifa jingine, unaangalia GDP per capita au PPP.

Ndani ya nchi, GDP inaposhuka, GDP per capita inashuka na PPP nayo inashuka.

Kushuka kwa GDP ya Iran, ndiyo kumesababisha kushuka kwa PPP ya watu wake, mpaka kuamua kuamdamana, halafu wewe uliyejificha huko madongokuinama unajifanya unajua ustawi wa Wairan kuliko Wairan wenyewe. Iran kwa sasa kuna watu wengi ambao hawawezi hata kupata milo mitatu kwa siku kwa sababu hawana uwezo wa kifedha.

Based on reports and estimates from 2024 and late 2025, a significant portion of Iran's population faces severe food insecurity, with millions struggling to secure adequate daily nutrition.

  • Extreme Poverty (Food Poverty): Approximately 4 to 5 million Iranians are trapped in extreme poverty, meaning their income is insufficient to cover basic daily food needs.
  • Food Insecurity Rates: Some studies have estimated that nearly 41% of Iranians suffer from moderate to severe food insecurity, with 36 million people unable to afford a healthy, nutritious diet.
Nikipata muda nitakuelimisha..
 
Wafuga Midevu na Majini kwa nini mnatumia Makalio kufikiri?
Unaiogopa midevu? Upati raha ikikupapasa makal/ioni wkt unapelekewa? Sisi wanaume lazima tuwe na ndevu ziwapapase mapunga kama wewe ili mfike mshindo
 
Umeaandika uwongo mwingi sana mkuu.

Usitumie udhaifu wa watu kutofatilia mambo kuwadanganya.

Mfano mdogo tu wa uwongo wako ni kwamba Iran ndio imekuwa ikiongoza kwenye mashindano ya hesabu kila mwaka.

Huo ni uongo, anayeongoza kitakwimu ni China,

Iran haiisogelei hata kidogo nchi Kama Vietnam.

Rekebisha mada hii iliyojaa uongo.
Na wewe acha kutudanganya.
VIETNAM HAIIFIKII HATA ROBO IRAN KWA KITU CHOCHOTE HUSUSAN KATIKA ELIMU.
Unamsema mwenzako kadanganya wewe ndio umedanganya zaidi.
 
Hizi hypersonic ballistic missiles; kama Oreshnik zitakuja kufanya nuclear missiles kuwa obsolete; kwa maana kwamba hadi hapo kinga dhidi yake itakapopatikana, hakuna haja ya kukimbilia nuclear ; kwa sababu zinasababisha uharibivu wa maeneo yaliyolengwa bila ya pingamizi lolote

System inarushwa angani, ikishuka inayo mishale minne au sita na kila mmoja umelenga eneo tofauti; na inauwezo wa kubadili mwelekeo. ikidondoka ilipolengwa joto la centigrade 4000 linaunguza kila kitu!

Kwa nini utumie nuclear na kupata laana bure!
Hizi zilirushwa ile siku ya vita ya siku 12 sijui baina ya Israel na Iran Aisee Israel majengo yaligeuka kama Ghost city sio poa 🤣🤣😁

Wenyewe wakaita ceasefire
 
Uo sahihi mkuu...
Oreshnik ilipigwa Ukraine... NATO iliitisha kikao haraka sana kujadili kile walichokiona ilikuwa ni silaha ya aina gani, maana vyuma vilikuwa vinatoka angani utasema ni aliens ndio wanashambulia...
😁😁 Nia yenu pro Israel wakasirike nothing else
 
Na wewe acha kutudanganya.
VIETNAM HAIIFIKII HATA ROBO IRAN KWA KITU CHOCHOTE HUSUSAN KATIKA ELIMU.
Unamsema mwenzako kadanganya wewe ndio umedanganya zaidi.
Wewe pia muongo, kusema Vietnam haimfikii Iran kwa chochote huo ni uongo.
Vietnam wana gdp kubwa kuliko Iran

Vietnam wana literacy rate kubwa kuliko Iran.
 
Hizi zilirushwa ile siku ya vita ya siku 12 sijui baina ya Israel na Iran Aisee Israel majengo yaligeuka kama Ghost city sio poa 🤣🤣😁

Wenyewe wakaita ceasefire
Kwa siku 12 Iran alipoteza zaidi ya watu 1,000 wakiwemo Makamanda waandamizi na Mkuu wao wa Majeshi lakini kwa kuwa ni Wajinga hilo huwezi kuliko Ngelela kuepusha aibu aibu mliyoipata kwa Jeshi la Iran kupigwa kama Ngoma!!!
 

Attachments

  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 15
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 15
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 14
  • IMG_3419.jpeg
    IMG_3419.jpeg
    35.8 KB · Views: 15
  • IMG_3414.jpeg
    IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 11
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 13
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 15
  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 21
  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 16
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 15
Sioni kama kuna vita, kama ilishindikana kuilinda Israel dhidi ya hypersonic, je wataweza kuzilinda hizo carriers zenye maelfu ya askari na ndege za kivita?

Hadi sasa haieleweki lengo hasa la Trump kuitishia Iran ikae mezani ni kitu kipi, maana Iran haiwezi kuacha kurutubisha urani, na pia haiwezi kuacha kumiliki missiles sana sana wataongeza uzalishaji zaidi.

Wameweka wazi , ngoja tusubiri.
 
Khamenei mwenyewe kajikatia tamaa kaanza na kutoa Wosia nani atachukua kiti chake pindi atakapoondolewa madarakani.

Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameripotiwa kuandaa mipango ya dharura iwapo atauawa wakati wa shambulio linalowezekana la Marekani au Israeli, kulingana na ripoti ya New York Times. Mipango hiyo inajumuisha amri za urithi zilizopangwa na minyororo ya amri ya dharura ili kuhakikisha uhai wa utawala huo.

Ripoti hiyo inasema Ali Larijani, ambaye ni mwaminifu kwa muda mrefu, amepandishwa cheo hadi nafasi kuu ya utawala, akisimamia usimamizi wa migogoro, diplomasia ya nyuklia na mipango ya wakati wa vita huku Iran ikiweka jeshi lake katika tahadhari kubwa huku mvutano wa kikanda ukiongezeka.
Wewe source zako tuna zijua ni mzayuni muislam hawezi kukimbia kafiri Hata siku Moja Hata Kama ana jiwe kafiri ana bastola, kukata tamaa Kwa uislam ni motoni
 
Wewe source zako tuna zijua ni mzayuni muislam hawezi kukimbia kafiri Hata siku Moja Hata Kama ana jiwe kafiri ana bastola, kukata tamaa Kwa uislam ni motoni
Wewe pia tunajua Source zako ni Wafuga Midevu na Majini safari hii ayatollah lazima ndevu zake zinyolewe kavu ili tuheshimiane vizuri!,
 
Sioni kama kuna vita, kama ilishindikana kuilinda Israel dhidi ya hypersonic, je wataweza kuzilinda hizo carriers zenye maelfu ya askari na ndege za kivita?

Hadi sasa haieleweki lengo hasa la Trump kuitishia Iran ikae mezani ni kitu kipi, maana Iran haiwezi kuacha kurutubisha urani, na pia haiwezi kuacha kumiliki missiles sana sana wataongeza uzalishaji zaidi.

Wameweka wazi , ngoja tusubiri.
Iran amepewa Options mbili tu!!!
 
Wewe source zako tuna zijua ni mzayuni muislam hawezi kukimbia kafiri Hata siku Moja Hata Kama ana jiwe kafiri ana bastola, kukata tamaa Kwa uislam ni motoni
Ndiyo maana sishiriki. Mimi hupenda ukweli na facts badala ya bigotry za kipumbavu zenye mashiko ya kinachodhaniwa ni dini!
Iran, hata baada ya miak 47 ya vikwazo vikali vya uchumi, bado mjeuri tRump anafikiri mara tatu....halafu mtu mmoja anasema nchi hiyo si chochote, Just imagine kama kwa miaka yote hiyo ingekuwa huru kufanya biashara, kuuza products zake.....?
 
Umeaandika uwongo mwingi sana mkuu.

Usitumie udhaifu wa watu kutofatilia mambo kuwadanganya.

Mfano mdogo tu wa uwongo wako ni kwamba Iran ndio imekuwa ikiongoza kwenye mashindano ya hesabu kila mwaka.

Huo ni uongo, anayeongoza kitakwimu ni China,

Iran haiisogelei hata kidogo nchi Kama Vietnam.

Rekebisha mada hii iliyojaa uongo.
Na wewe umetudanganya mkuu. Kwamba Iran haiisogelei hata kidogo Nchi kama Vetnam?.Iran has a GDP of $475B compared to $476B for Vietnam, ranking 34/197 and 33/197 by economy size, respectively!
 
Na wewe umetudanganya mkuu. Kwamba Iran haiisogelei hata kidogo Nchi kama Vetnam?.Iran has a GDP of $475B compared to $476B for Vietnam, ranking 34/197 and 33/197 by economy size, respectively!
Tena hapo Iran is a heavily sanctioned nations over 4 decades.
Ukija kwa GNI Iran anaizidi Vietnam kwa mbali sana.
 
Tena hapo Iran is a heavily sanctioned nations over 4 decades.
Ukija kwa GNI Iran anaizidi Vietnam kwa mbali sana.
Upo sahihi mkuu. Jamaa anatuona mang'oi kumbe yeye ndiyo ng'oi. Kama Iran ingekuwa weak unadhani Trump angesubiri mpaka sasa kufanya invasion. Iran sio Iraq au Libya. Wale ni Waajemi( persians) Akili kila kona Myahudi akasome
 
Back
Top Bottom