Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani


Wewe ndio mbumbu wa siasa za Dunia
Marekani ilikuwa imeweka kituo chake cha Ku control middle east kule Iran ILA ikaja kukihamishia Israel kwa hiyo kiburi cha Israel ni kwa kua ni kituo cha Marekani cha kudhoofisha Nguvu Middle East
na ndio sababu Israel ilivyo ibeep Irani mwishoni mwa mwaka jana iliambulia kipigo cha mbwa koko, ndio Marekani akaja mbio kuiokoa... Hata sasa Israel ina bweka bweka tu kama mbwa koko ila haiwezi kuipiga irani inasubiri Marekani aanzishe vita

Tambua tu kuwa, Irani sio Nchi dhaifu pamoja na kwamba huwezi kuilinganisha na Marekani ILA Israel hana ubavu hata kidogo wa kuipiga Iran
Irani ni kati ya Nchi duniani zilizoendelea sana kwa vita ya Technologia...badala ya kujaza mavifaru sijui ndege wao wamejaza technologia mfano baada ya marekani, Nchi nyingine inayotoa Drone za Kivita kwa wingi ni Iran.
Unweza kuwa na kifaru cha dola 40,000,000 kikasambaratisha na drone ya dola 200,000.
Lakini pia; kwa hii vita ya Urusi na Ukraine, Urusi hununua silaha zake nyingi za technologia zikiwemo drone kutoka Iran nk...Usiichukulie poa
 
Pengine kuna takwimu sikuzicheki zaidi kutokana na muda, hasa katika mara Iran walizoshinda Olympiki hizi. Ila ni uwongo kusema mna uwongo mwingi humu. Orodhesha!
Iran hakuwahi kuwa Chaguo la kwanza kabla ya Israel.

Ni kweli alikuwa na interest ila sio kwa kiasi hicho.
 
Uzi mrefu sana uliojaa UHARO mtupu!!!
Maana kuna watu tayari wamejazwa punzi kuwa Iran ni magaidi, wasiotaka maendeleo,
Iran ni Magaidi hawajaanza leo toka 1979 walipoteza Ubalozi wa Marekani na wafanye Kai wao wote huo ni Ugaidi nakushangaa wewe unayewatetea kuwa si Magaidi!!!
Ndipo Ayatollah Khomaini akaamuru Wanabalozi wa Marekani wazuiwe kuondoka nchini ili wawe kama dhamana ya kutotokea mapinduzi. Jambo hili lilipandisha mori wa Marekani na chuki. Tangu siku hiyo Marekani ikaiwekea vikwazo Iran hadi leo!
Huo ni Ugaidi nakushangaa Gaidi lazima wawekewe vikwazo!!
UN, baada ya kuona maafa makubwa yaliyosababishwa na Mabomu ya nuklia yaliyoangushwa na Marekani kule Nagasaki na Heroshima Japan mwishoni mwa vita kuu ya pili,
Rudi darasani ukasome Hiroshima na Nagasaki Mabomu ya Nuclear haya kutumika Marekani wali Tumia Mabomu ya Atomic Acha ujinga!!!
Kama unajua dunia vizuri, basi utajua kuwa Marekani ni koloni la Israel na kwa hiyo inafanya kila inaloamriwa na Israel, ikiwemo vita hii ijayo.
Acha kupotosha Marekani na Israel ni Washirika (Allies) labda tu hujui maana ya Neno Washirika!!!
Nakuambia tena rudi shule ukasome uondoe ujinga na Propaganda za waarabu unadai uone Hati kutoka kwa Mungu? Utasubiri sana na hao Wafuga Midevu na Majini wenzako!!
Iran hawezi kuruhusu wa kutengeneza silaha za Nuclear kwa sababu ana Nia ovu Alisha tangaza kuwa ataifuta Israel kwenye uso wa dunia!!! Mtu kama huyo anaruhusiwaje kuwa na silaha za maangamizi?

Hiyo fatwa ya Mfuga Midevu na Majini Mkuu Ayatollah Khomen sisi tutaiaminije? Acheni ujinga wa kitoto!! Kati Iran hawezi kuwa na silaha za Nuclear na utawala wake lazima uko meshwe ili wairan wawe huru!!
Eti Kura ya wazi huru na Amani duniani hakuna kitu kama kupata 98.2 wakati wanawake na Jamii zingine hadi kupiga kura!!! Mazezeta tu kama wewe ndiyo wanaweza kufanya upuuzi huu wa kushabikia uongo wa kipumbavu kama huu
 
Pengine kuna takwimu sikuzicheki zaidi kutokana na muda, hasa katika mara Iran walizoshinda Olympiki hizi. Ila ni uwongo kusema mna uwongo mwingi humu. Orodhesha!
Acha kuteseka na Uongo wako!!! Usifikiri wote humu ni wajinga kama wewe!!
 
Mleta mada, mengi aliyoyaandika ni uwongo mtupu:
1. Kudai kuwa Marekani iliitumia Iraq kuishambulia Iran, ni uwongo mkubwa. Ukweli ni kwamba baada ya Ayatollah kuchukua madaraka, alitaka nchi zote zenye waislam.wengi ziongozwe kwa Sharia, na watawala watoke kwenye kundi la Washia. Motive hiyo ya Ayatollah, kwa hofu ya washia wa Iraq kuipinfua serikali yake, Sadam Hussein alianzisha vita dhidi ya Iran. Kwa kuzingatia mahusiano mazuri ya awali kati ya Israel, Marekani na Iran, Israel iisaidia Iran kwa kuwapa silaha za Marekani.
Soma hapa:

Israel provided significant clandestine military support to Iran during the 1980–1988 Iran-Iraq War
. Despite public hostility from Tehran, Israel viewed Saddam Hussein's Iraq as a greater strategic threat and sought to weaken by supplying Iran with arms, intelligence, and military instructors.

2. Ni uwongo kudai Iran ina watu wenye uwezo mkubwa wa akili na kwamba eti kwa uwezo wao wa ndani waliweza kuanza kurutubisha nuclear energy. Tekinolojia ya urutubishaji nuclear energy, mwanzoni walisaidiwa na Marekani na Ujerumani, mahusiano yalipozorota, wakawa wanasaidiwa na Pakistani, Urusi, Argentina na China. Kusaidiwa na mataifa mengi kiasi hicho kunaashiria uwezo duni wa wataalam wa Iran. Soma hapa:
  • United States: Initiated the program in 1957, supplied the Tehran Research Reactor (1967), provided weapons-grade uranium, and trained scientists.
  • West Germany: Kraftwerk Union began constructing the Bushehr nuclear power plant in the 1970s before withdrawing after the 1979 revolution.
  • Russia: Resumed construction of the Bushehr plant in 1995, utilizing Russian technology and expertise to complete the reactor.
  • China: Provided assistance in the 1980s and 1990s, including training and potential technology transfers.
  • Pakistan: A.Q. Khan's black-market network is believed to have supplied centrifuge technology for uranium enrichment in the 1990s.
  • Argentina: Provided fuel for the Tehran Research Reactor in the 1990s.
    Iran Watch +6
Following the 1979 revolution, Western support largely ceased, leading Iran to rely on Russian, Chinese, and clandestine sources to advance its program.
Sijui ni kwa unafiki au ujinga, mnaipaisha sana Iran, wakati nchi ipo kwenye uduni wa hali ya juu. Sasa hivi baada ya kukosa pesa za kigeni, inafanya bata trade na Pakistani.

3. Kusema kuwa eti Wairan, kwa sababu walikuwa na akili sana ndiyo waliweza kuunda makombora ya masafa marefu, ni uwongo wa hali ya juu. Mradi wa makombora wa Iran ulianzishwa kwa usaidizi wa North Korea, China na Urusi. Hayo mataifa yamekuwa yakinufaika na utajiri wa mafuta ya Iran, kwa malipo ya kuwafunfisha kutengeneza makombora kwa sababu yanajua kuwa ndio hamu ya Ayatollah. Ayatollah haumizwi na mateso ya Wairan, nguvu zake zote ameelekeza kwenye silaha ili aendelee kuwatawala Wairan kwa nguvu. Leo hii wakimbizi wa Iran waliopo Marekani na Ulaya ni zaidi ta milioni 3. Soma hapa uelewe programu ya makombora ya Iran ilisaidiwa na nani:
ballistic missile program has been built with extensive, long-term assistance from North Korea, Russia, and China. North Korea provided the initial technology, including Scuds, while Russia and China provided advanced components, materials, and training to develop longer-range and more accurate systems, enabling Iran to develop its own production capability.

Uwezo wa Iran katika tekinolojia ni duni sana. Wameshindwa hata kuprocess maji ya bahari kama inavyofanya Israel. Iran ina shida kubwa ya ajabu ya upatikanaji hata wa maji ya matumizi ya kawaida.

4. Kwenye mifumo ya ulinzi wa anga, Iran ilipewa baadhi ya mifumo na Urusi na China, pia wakafundishwa namna ya kutengeneza. Baadaye Iran ilidai kuwa iliweza kutengeneza mifumo ya ulinzi wa anga yenye uwezo wa zaidi ya ile ya S-300 iliyopewa na Urusi, cha ajabu, ilidhihirika mwakajana kuwa mifumo hiyo ni takataka tupu. Iran ilipigwa na ndege za Israel, nyingine zikiendeshwa na wanawake, kama vile nchi haina ulinzi wowote wa anga.
 
Aksante sana kwa kumtoa tongotongo kwenye macho mjinga huyu!!
 
Ana miaka 86 sasa Khamenei, atatokea Khamenei mwingine...
 
Aksante sana kwa kumtoa tongotongo kwenye macho mjinga huyu!!
Tatizo lako ni matusi , humu kuna watu wanajiheshimu ni na ni sehemu ya kupeana elimu, kuanza kutukana mtu ni mjinga si busara haa kama mawazo yake yametofautiana na yako.
 
Kwenye hio profile picture umevaa gauni la mke wako?
 
Ana miaka 86 sasa Khamenei, atatokea Khamenei mwingine...
Endelea tu kujifariji na kujipa moyo kuwa anatokea mwingine!!!! Ni kweli kabisa Gaidi Ayatollah Ali Khamenei siku za utawala wake zinahesabika na ni lazima atolewe atake asitake lazima ang’olewe tu
 
Uo sahihi mkuu...
Oreshnik ilipigwa Ukraine... NATO iliitisha kikao haraka sana kujadili kile walichokiona ilikuwa ni silaha ya aina gani, maana vyuma vilikuwa vinatoka angani utasema ni aliens ndio wanashambulia...
 
Tatizo lako ni matusi , humu kuna watu wanajiheshimu ni na ni sehemu ya kupeana elimu, kuanza kutukana mtu ni mjinga si busara haa kama mawazo yake yametofautiana na yako.
Acha ujinga!! Ujinga si Matusi rudi shule ukasome uondoe ujinga kichwani kwako
 
Endelea tu kujifariji na kujipa moyo kuwa anatokea mwingine!!!! Ni kweli kabisa Gaidi Ayatollah Ali Khamenei siku za utawala wake zinahesabika na ni lazima atolewe atake asitake lazima ang’olewe tu
Wajaribu kumuua waone moto wake..
We hujamsikia Trump akitafuta kuonewa huruma akisema endapo Iran ikimuua kuna maelekezo ameyaacha 😂 😂
 
Uo sahihi mkuu...
Oreshnik ilipigwa Ukraine... NATO iliitisha kikao haraka sana kujadili kile walichokiona ilikuwa ni silaha ya aina gani, maana vyuma vilikuwa vinatoka angani utasema ni aliens ndio wanashambulia...
Hizo ni story za kijiweni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…