Huyu mkuu 100 other anaweza kuelewa, Ila Kuna wale kina adiosamigo, khaibar, baba mwajuma, gallow bird , Hawa hawawezi kuelewa kamwe sababu hawaruhusiwi kuongelea Jambo lolote positive la marekani na israel. You can imagine wanaweza vipi kuishi kwa furaha hii dunia tuliyopo. Hata uwaambie marekani ana uwezo wa kuipiga East Africa bado watakuambia sio kweli, au uwaambie Israel ana technology kubwa ya kuweza kudukua mifumo yetu bado watakataaUmetoa elimu nzuri sana lakini kwa huyo BUMUNDA hawezi kukuelewa kabisa!!
Sielewi hata unachoandika hapo..Mwanzo ulisema CIA wamesema, sasa hivi unasema sources mbalimbali
Madhara hutegemea na muuda wa plant, pia hutegemea kama materials yaliondolewa kabla ya shambulizi. Iran walisema walishaondoa materials kabla ya shambulizi
Lengo mojawapo la yale mashambulizi ilikua ni kuharibu miundombinu ya hizi plants
Leakage hutegemea muundo wa plant. Lakini kubwa zaidi mashambulizi yalilenga kuharibu enrichment facilities na sio active reactors. .
Pia kama nilichokuambia Iran walihamisha materials kabla ya mashambulizi kufanyika
Iran wanarutubisha nuclear yao? Au wanarutubisha uranium? Uraniuma ilirutubishwa kwa 60%, unafikiri kwa sasa si ingekua tayari wamefika level inayotakiwa ya kuunda weapons?
Kama ingekua wanaendelea kurutubisha basi kusingekua hata na haya mazungumzo ya sasa, konachogombaniwa ni ile ambayo ipo tayari kwa 60% hizo kilo 400. Sababu wakibaki nazo wanaweza kufanya maintenance ya facilities zao kwenye hizo nuclear plants na wakaanza urutubishaji
kiongozi, Iran vinu vyao vipo chini ya milima, halafu bado juu ya hivyo vinu wameweka concrete uwezo wa kuzuia shambulizi la kombora kama bunker buster..Ni kwamba unadhani tu hawana au uliona hawana hivyo vifaa?
Post ya cnn uliyoweka inasema sources says. Haijasema kuwa hao ni CIASielewi hata unachoandika hapo..
Nimekuwekea post ya CNN hujaiona?
Kuhusu CIA, hao CIA ndio walifanya hio intel na kumuambia Trump zoezi halijafanikiwa kama ilivyopaswa, Trump akawa anabishana na CIA ambao wanaelewa kwa undani zoezi lilivyokuwa, sababu anajulikana ni mzee wa kuji mwambafy...
Israel kutokua na B-2 ya kubeba hilo bomu, hii nani anaweza kubisha? Nin jambo lipo wazi ndio maana wakaishirikisha USAKuna post nliwaaambia hapa wadau, Kupiga vinu vya nuclear vya Iran labda itatumika GBU-57, na nikasema Israel hawana ndege ya kubeba hilo bomu labda wapate kutoka US... vita ya siku 12 ndicho kilitokea...
Mkuu mimi mara zote nasema Iran wapo vizuri si taifa la kinyonge, lakini nachokaraa ni mambo ya uongo mnayowekaga.Ndio maana nakuambia naongea kwa facts na ukweli mtupu... Iran si kama unavyofikiria, si nyepesi hivyo, wana vinu vya siri.
Ndo maana nimekuwekea hii screenshot usome .Post ya cnn uliyoweka inasema sources says. Haijasema kuwa hao ni CIA
Lakini tutumie sasa common sense. Hiyo taarifa uliyoweka ni ya tarehe 25 inasema sources says, alafu hao hao cnn tarehe hiyo hiyo 25 waweke tena taarifa rasmi kutoka kwa CIA. Wewe ikiwa ulikua unataka kujua CIA walisemaje ungechukua taarifa ipi?
View attachment 3549750
Israel kutokua na B-2 ya kubeba hilo bomu, hii nani anaweza kubisha? Nin jambo lipo wazi ndio maana wakaishirikisha USA
Mkuu mimi mara zote nasema Iran wapo vizuri si taifa la kinyonge, lakini nachokaraa ni mambo ya uongo mnayowekaga.
Iran wawe na vinu vya siri, sisi huku tujue wana vinu vya siri alafu nchi zenye intelligence ya juu kama Israel na marekani wasijue? Humo Iran ambapo Wana agents wao kibao?
Waweze kuwafikia wakuu wa majeshi, waweze kuendesha assassination operations za kila aina alafu kweli wasijue vinu vya Iran vya siri vilipo?
Iran alinifurahisha sana. Anakutumia vi drones na mabomu weak mifumo Yako ya ulinzi akina arrow na wenzake inafunguka halafu kinakuja kitu kizito chenye kasi kinapitaWaliambiwa na nchi za magharibi ya kwamba watalindwa na mifumo yao ya anga tofauti tofauti...
Mashariki mwa bahari ya Mediterranean US wanaweka destroyers kadhaa zenye interceptors aina ya SM-3 kwa ajili ya ku intercept missiles za Iran...
Hizo SM-3 zilirushwa na hizo destroyers hadi zikataka kuisha, halafu ni advanced interceptors hizo na zina gharama.
US wakaweka THAAD ardhini, lakini haikusaidia, Israel akaongeza iron dome, na series za Arrow , wakitumia zaidi Arrow 3, wakaongeza na David Sling, lakini hakuna kitu...
Baada ya hio vita Israel amekuwa mpole, hio layer yote ya ulinzi wa anga, akisaidiwa na air force kutoka Jordan, France, British na US.. wote walidunda..
Ndio maana sasa yupo kimya, anaelewa kwamba vita ikianza hakuna namna atazuia mashambulizi, mwanzoni aliingia kwa kiherehere kweli kweli, sasa hivi Netanyahu anakwenda kimya Washington kumuomba Trump aonee na Iran...
Halafu kuna mtu anapuuza waajemi uwezo wao..
Well said lakini hili BUMUNDA nalo ni wale wale tu wanaamini Iran anaweza ipiga Marekani!!Huyu mkuu 100 other anaweza kuelewa, Ila Kuna wale kina adiosamigo, khaibar, baba mwajuma, gallow bird , Hawa hawawezi kuelewa kamwe sababu hawaruhusiwi kuongelea Jambo lolote positive la marekani na israel. You can imagine wanaweza vipi kuishi kwa furaha hii dunia tuliyopo. Hata uwaambie marekani ana uwezo wa kuipiga East Africa bado watakuambia sio kweli, au uwaambie Israel ana technology kubwa ya kuweza kudukua mifumo yetu bado watakataa

Wee endelea kuabudu miungu baba, mama na kaka...ndipo ilipoishia akili yako. Kweli waweza ku intellectually debate hilo? Maweee!Kwa hiyo umekuja hapa kueneza Uislamu wako.? Tumia vizuri akili yako uliyopewa na Mnyazimungu wako!!!!
Safari hii mtanyooka tu maana Israel imewashika papaya mtasema tu kwa nini biashara ya kiti moto inadorola kipindi cha Mfungo!!Wee endelea kuabudu miungu baba, mama na kaka...ndipo ilipoishia akili yako. Kweli waweza ku intellectually debate hilo? Maweee!
Haya banaaa mwuza nguruwe!Safari hii mtanyooka tu maana Israel imewashika papaya mtasema tu kwa nini biashara ya kiti moto inadorola kipindi cha Mfungo!!