Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Hahahaha nilishaenda Amani- Muheza Tanga kwenye mashamba ya Chain, dah ule mziki wa kuchuma chai kumbe ni habari nyingine nikashindwa!

Nikarudi Muheza mjini tukaanzisha Tuition Mimi na jamaa yangu, dah tukapata mademu kadhaa na washkaji wawili hivi, kazi ikawa nzito, tukahamisshiia tuition home! Duh, mademu wawili wanakuja kila siku kutaka tuwafundishe! Tukaona huku tunakoelekea tutakopwa! Sijui waliishia wapi.


Tukajifanya mafundi Ujenzi, tukatafuta kazi kwa Mama Mmasi dah, kazi ilikua kuezeka choo! Tukaezeka, hatukulipwa maana tuliezeka vibaya!

Tukapata kazi ya kuchimba mashimo ya nguzo za Umeme za Tanesco kwenda kijiji kinaitwa Kicheba! Tukaenda na mshkaji wangu, tukakuta ardhi ni ngumu balaa na pesa ni ndogo mno!

Dah baada ya pale tukaamua tuombe nafasi za Upolisi! Jamaa yangu akaja kupata hio post Mimi nikaambiwa mfupi na marehemu RPC wa Tanga Mama Faith Amour.

Sasa hivi jamaa yangu ana cheo kikubwa tu huko kwa Sirro!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu,usikate tamaa zidi iupamvana tu mpaka mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwaza kutoa tigo tight mpya Ila nikahisi mteja akiwa muhuni akinirusha,haya maisha jamani,usiombe uishiwe hata mkeo unaweza tamani umruhusu achepuke muishi,tufanyeji kazi kwa bidii siku zote za uhai wetu tukiwa na uthubtu wa maisha
Yaani utoe tako kabisaaa?? Mungu turehemu, twakuomba utusikie
 
Nafanya KK ( GardaWorld )

Hizi kazi huwa ni mapito tu na siyo sehemu ya kufanya kwa muda mrefu.

Zikifika mwisho zenyewe, achana nazo. Usitumie nguvu kubwa sana kulazimisha kubaki kazini, kwasababu ni kazi za hatari na zisizo na future.

Binafsi, Nilitaka kupumzika mwaka jana mwezi wa 6 ila nikaona nifanye mpango kwanza nikope kama 1.6M then niilipie kwa kutumia kazi hii mpaka mwakani mwezi wa 3, then nishanye mambo yangu mengine.

Mwaka jana nilijitutumua nikalima mihogo kama ekari 6 haikurudi hata 100 !

So, Challenges nyingi sana na kila unapopambana na zenyewe zinaongezeka.

Nyambiza jr
 
Niliwaza kutoa tigo tight mpya Ila nikahisi mteja akiwa muhuni akinirusha,haya maisha jamani,usiombe uishiwe hata mkeo unaweza tamani umruhusu achepuke muishi,tufanyeji kazi kwa bidii siku zote za uhai wetu tukiwa na uthubtu wa maisha
Mbona kama hujaeleweka embu funguka mkuu,washika dau wap humu humu ndan[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara wanalipa ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleee,hio mistari 2 ya mwisho noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ss hivi unapiga mishe gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…