Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?


I like zinawahi kuchafuka na zina chelewa kutakata@kidambinya
 
Your Story resembles mtu fulani anaitwa John siku hizi yuko Mwanza.. The same girlfriends name Mary, alipata mtu Airport na walikuwa wanakaa M'nyamala...
 
Ukirusha tofari asilidake si linakurudia? Hiyo skill haina usalama hata kidogo!
 
Kuna jamaa mmoja best yangu alikuwa,kazi yake kupeleka wabongo china. Na nchi nyingine

Anatafuta wale wa age ya 19 mpaka 25 na sister yake ndo alikuwa mchukuzi mkubwa.

Yani ukiambiwa ukikubali basii jamaa anapewa chake na wewe unafanyiwa mpango wa kwenda. [emoji23][emoji23][emoji23]

Alikuja akaacha ila saizi nahisi karudi tena maana maisha yame change.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote best kilio changu ni kimoja..sijui nisemeje...means ukiondoka mambo yanayumba!...zinatokea sababu nyinginyingi! Nina changamoto bado mkuu!

Kuna biashara usipokuwepo inaharibika!
Yes finally tumekubaliana tuhamie Rock city ASAP!
Naomba kama ukiweza share experience kidogo. Je, unayasimamiaje mambo ya shule na malezi ya wanao kama mostly uko busy na ratiba za utafutaji ?

I moved your cheese!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…