Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

wakuu mliopitia chuo na kukosa ajira nawafatilia sana....niseme tu naenda kuitimu na sina mwelekeo nikisoma hii misoto ya watu naona kabisa naingia uko uko ukizingatia nina kaboom tu na ndo nalipia ada na kula na kufanya mengineyo....kujichanga apa kwa kupitia aka kaboom inakua ngumu...inafika maaali unawaza nn kitafata baada ya apa ila mda mwingine unaamua kumwachia Mungu na kuamua kudeal kwanza na kusoma nisije kosa vyote then mengine yatafata baada ya kumaliza.....kwa jinsi nilivyopitia hii thread najiona kabisa sijapitia msoto wowote japo kidogo nimepitia....shusheni nondo tu wakuu tuendelee kujifunza kupitia kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante. Ila Kongo DR sio
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo kwenye congo DRC niliandika tuu congo badae nikaongezea DRC ili iwe rahisi kueleweka kwasababu kuna congo mbili Kinshasa na Brazzaville
Hivi mkuu wewe ni ke/me? Naomba unijibu maana kwa uhalisia wako wa ke huwa navutiwa nawe. Jibu lako litanisaidia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umewezaje kunicheka jamani!! Nilihubiri mnoo, huo ndo ulikuwa mtaji wangu sikuwa na mtaji wa kuanzia kabisaa! Wazo likaja naweza kuhubiri injili nipate sadaka!
Hahaha, nasoma huku nacheka. Courage kubwa sana hiyo, kuna maeneo napita huwa naona vijana me na ke wanahubiri live, sasa nafanya kukuona unavyotangaza injili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ndiyo passage bora kwangu kwa mwaka huu 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…