Wakati Urusi bado wanahangaika na HIMARS, sasa USA kutuma 'VAMPIRE' Ukraine

Russia haiwezi kuwa taifa kubwa kama ilivyokuwa Marekani kwa sababu haina mifumo ya uongozi, siasa , sheria na utamaduni mwingine kama iliyo nayo Marekani
 
Hayo ni maneno tu lkn vitu kwa front line ni tofauti na mambo ni magumu, kiufupi mpaka sasa silaha ambayo Russia hajaitumia ni nuclear tu lakini silaha zake zote za kisasa kashatumia kuanzia Iskander missiles,Kinzal hypersonic missiles, Thermobaric missiles,Phosphorus bombs,antship missiles to target land targets,T-90M tanks,Su-35,Su-57,Su-34M, electronic warfare,nk.Na hizo silaha ni za kisasa hakuna hata moja ya Vita ya pili. Hii operation imeenda ndivyo sivyo na hili Putin hakulitegemea alidhani angeichukua tu Ukraine kama alivyoinyakua Crimea 2014 au kama alivyoinyuka Georgia ndani ya muda mfupi lkn ss ni miezi 6 na Vita haina hata dalili za kuisha
 
Congress wamempa Biden dola bilioni 40 za kuanzia atumuie kwa ajili ya Ukraine, bajeti ya mwaka ya ulinzi tu ya US ni dola bilioni 750.
Vita vya Iraq US ilikuwa inatumia dola milion 300 kwa siku kwa miaka 20.
Hawafilisiki leo wala kesho hao.
Sijui ni kwanini watu wanaichukia US ktk vita hii, wanaona ni kama US anaenda kudondokea pua, mtu ana pesa chafu kiasi hiki, huyu ni wa kushindana nae kweli?
 
Bullshit na mawazo ya kijima ya kumhesimu mkubwa tu.

Mbona Finland imepeleka maombi ya kujiunga na NATO na huyo mkubwa hajamvamia mpaka sasa hivi?
Kashapima upepo, kupambana na finland hatoweza. Ukraine pekee anampelekesha speed ya hatari.
 
Kumbe Hypersonic na thermobaric bombs ni silaha za vita vya pili vya dunia![emoji1787]

Kitu Mrusi hajatumia Ukraine ni mabomu ya nyuklia tu wewe kilaza.
Mpaka laser weapon ameshatumia hapo Ukraine. Na tukumbuke ametumia hadi hizi silaha za kisasa sababu kuna muda mambo yalikuwa ni magumu.
 
Kuna wajinga watakuja hapa muda sio mrefu kukuambia hizo pesa huwa wana print tu
Sijui ni kwanini watu wanaichukia US ktk vita hii, wanaona ni kama US anaenda kudondokea pua, mtu ana pesa chafu kiasi hiki, huyu ni wa kushindana nae kweli?
 
Hauna maelezo mengiiii ila kila unachocomment ni fact. Endelea kumwaga darasa mkuu.
 
Russia hamna shoga mkuu hebu nitake radhi
Sijui nani aliwaongopea Russia hakuna mashoga

Embu msilize Lavrov hapa chini

On Tuesday, Lavrov spoke up in defence of a controversial law that would punish gay “propaganda”, telling reporters: “We don't discriminate [against homosexuals], but we don't want discrimination to happen in the opposite direction, when one group of people gets the right to aggressively promote their values, which are different from those of the majority, and to impose them on children."

Accused of seeking to reinstate a law defining homosexuality as a criminal act, in effect during the Soviet era, Lavrov countered that gays and lesbians in Russia could “do their thing freely and without punishment”.

Lavrov mwenyewe anakwambia mashoga wafanye mambo Yao kwa Uhuru,wanachozuia ni kuutangaza kufanya maandamano ya mashoga,nk

Russia defends law against ‘gay propaganda’
 
Lakini cha kushangaza urusi anaendelea kujikusanyia maeneo Ukraine.
 
Duh
Team Putin wa Buza wana hali ngumu sana.Sijui kipindi hiki watakuja na ubishi upi tena[emoji1787]
Hali ngumu sehemu gani wakati Ukraine wameshindwa kurudisha maeneo huku Russia akiendelea kusogea Odessa mdogodogo?
 
Hivi javelin zilikuwa likizo kipindi Donestk inakamatwa na majeshi ya mrusi
 
Lakini cha kushangaza urusi anaendelea kujikusanyia maeneo Ukraine.

Ahh! Wapi Kyev ilimshinda kaishia kupambana na tumiji twa mpakani.. Ameingia hasara mithili ya majeshi ya mataifa matano Afrika.
 
Nice try. ila Bado English yako Ina kwama kwama...haimfikii huyo jamaa uliyemkoti


I did not reply to show my English language prowess rather to contribute to the subject matter what I have in my mind and I'm happy you got my point, if necessary you would like to start a topic concerning English language, you start and tag me so that through any topic of your choice I can learn more about the language, I'm a pure Mswahili and I learnt this language at schools.

NB, The topic is written in English in that case I supposed to reply in English, had he written in Swahili or etc that would have been anothet case.
 
Embu rudia tena hapo kwenye uchumi, EU ina ngapiiii??? Halafu Russiaaa!!!???? Hahahahhaa kweli Mrusi ni muafrika mwenye nuclear.
 
EU ina ukubwa wa km za mraba million 4.2 ina jumla ya GDP USD Trillion 18, kubwa jinga Russia lina ukubwa wa kilometa za mraba million 17 ila GDP ni USD Trillion 1.5 tu.
Embu rudia tena hapo kwenye uchumi, EU ina ngapiiii??? Halafu Russiaaa!!!???? Hahahahhaa kweli Mrusi ni muafrika mwenye nuclear.
 
EU ina ukubwa wa km za mraba million 4.2 ina jumla ya GDP USD Trillion 18, kubwa jinga Russia lina ukubwa wa kilometa za mraba million 17 ila GDP ni USD Trillion 1.5 tu.
Mkuu una maneno machache saana ila ni dongo haswa, hakuna mtu humu anayeweza akathubutu kukujibu kiufasaha kwa nondo unazoshusha.
 
Upepo haupo vizuri upande wa Russia mpaka sasa, kwa muelekeo ya vita hivi, hii ngoma mpaka mwakani bado tunayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…