Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Takataka kabisa hao wamishenari ndiyo chanzo cha biashara ya utumwa ujinga bmtupu
Walioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P