sasa ndege zinakua na faida alafu bandari haina kiaje? ata akijenga mwekezaj atarecoup pesa yake alafu atuachie bandari sooner or later. sijahesabu ajira na mabiashara tutayofanyaLakn inasemekana bandari ya Bagamoyo isingekuwa na faida kwetu kama tungekubali ijengwe
Hata wiki iliyopita Alshabaab walishambulia Kenya Kaskazini kule Mandela kuteketeza basi na kuuwa abiria. Haijawa Contained. Ni ujinga kufikiri eti bandari ya Bagamoyo itasafirisha mizigo ya Ethiopia au Sudani Kusini!Nani kakwambia al shabab wanasumbua kenya saivi?? Hujui kuwa situation ya alshabab imeshakuwa contained ndani ya Kenya???
Kwa taarifa yako Kenya anatarget kuwa msafirishaji Mkuu kwa mizigo ya Ethiopia, Sudan kusini, uganda na Congo kwa kupitia uganda. Nyie endelezeni tu tantalila na akili zenu za kijamaa na kimasikini izo huku wenzenu wakikamata uchumi wa East and Central Africa
Bandari ya bagamoyo mwaka huu kwenye bajeti haipo na ikitokea pakahitajika kuongezwa bandari nyingine mahali itakapojengwa pataamuliwa huko mbeleni.Zama zimepita mkuu ni kama alivyoingia akaanza na yake na huyu aliepo achwe aanze yake mazuri ya kuendeleza ataendeleza.
Where is your smartness! Yaani huoni kenya anavyoweka Bandari zake vizuri huku akiziendesha kupitia sekta binafsi kutakuwa na ufanisi sana kwenye Bandari zake hadi kupelekea Bandari zetu kukimbiwa hivyo kukosa mapato???
Una akili kweli wewe mtu??
Tunawajua mapandiki mnaopigana kujenga propaganda ili Tanzania isipate maendeleo ya kweli. HamtusumbuiBandari ya bagamoyo mwaka huu kwenye bajeti haipo na ikitokea pakahitajika kuongezwa bandari nyingine mahali itakapojengwa pataamuliwa huko mbeleni.
Kwanza unaijua kenya ipi?Unaongelea Kenya gani?
Kwa nini ishindikane?Hata wiki iliyopita Alshabaab walishambulia Kenya Kaskazini kule Mandela kuteketeza basi na kuuwa abiria. Haijawa Contained. Ni ujinga kufikiri eti bandari ya Bagamoyo itasafirisha mizigo ya Ethiopia au Sudani Kusini!
Watz wamebaki wakiwa baada ya kifo cha magufuly. Lais magufuly aliwatetea san watz kwenye mambo kama haya yenye tija kwa taighaWakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii watu walio serious na maendeleo na uchumi , Kenya wamefungua rasmi Bandari ya Lamu ambayo inasemwa ndo Bandari kubwa zaidi kusini mwa jangwa la sahara.
Leo Rais Kenyatta amezindua Bandari hii inayosemwa itakuwa na Berth 33 huku kati ya hizo Berth 29 zikiwa zinahudumiwa na sekta binafsi.
Kenya anasemwa anaenda kukamata soko lote na uganda, South Sudan na Ethiopia kutokana na kuanza kwa Bandari hii.
Hongereni watanzania Kwa kupenda umasikini, kupenda kwenu umasikini kunaenda kuifanya kenya kukua zaidi kuichumi na kuwapita mbali sana kwa miaka Mingi isiyohesabika ijayo.
Labda dar huko kwingine hamna kitu labda kulipia mishahara tu, bandari ya bagamoyo ingejengwa hata wafanyabiashara wanaohangaika kwenye mitandao na kutapeliwa hela wangekuwa wanapata mizigo yao hapa hapa na hata mashine za kisasa kubwa tunazoshindwa kununua kwa kuogopa gharama za usafiri na njia za kusafirisha tungepata hapa hapa na mambo mengine mazuri.Tuna bandari ya Tanga, Mtwara, Dar....wewe ulitakaje?
Hizo zingine kuzifanya za kisasa ni ngumu maana gharama ni kubwa hivyo mpaka zije zilete faida na miundo mbinu ya kale haiwezekani.Mibandari tunayo mingi,kama tulizo nazo zinatushinda,,unataka tujenge nyingine si litakua gofu?
Kwanza unaijua kenya ipi?
Na kama ameweka sekita binafsi yeye anachukua kodi, na bado sekita binafsi zinajua kutafuta masoko na kusimamia wafanyakazi ambacho serikali haiwezi, sisi itabidi tuendelee kwenda kununua kwao hata cherehani za kushona maana tutapata huko kwa urahisi.Acha kujichoresha kuwa huna exposure! Hizo Bandari za Mtwara, Tanga na Dar zinaleta nini?? Zimeleta ufanisi na competition gani???
Hivi Unajua berth katika Bandari zote za Tanga, Dar na Mtwara hazijazizidi kwa idadi berth za Bandari moja tu ya Mombasa ambao wana berth zaidi ya 18???
Sasa kenya kaongeza Bandari nyingine yenye berth 33 na hapo berth 29 amezipa sekta binafsi ili kuweka ufanisi. Sasa utamzidi nini kenya zaidi ya yeye kuzidi kukupiga gap???
Chadema haileti mkate kwenye familia zetu ila kazi zetu Kama hao chadema wanapinga Kama njia ya ajira kupeleka chakula kwenye familia zao hapo unayehangaika na hao chadema ndo utakuwa unajitafutia pressure kikubwa ni wewe kutambua lililojema kwa nchi yako na jinsi ya kustawisha familia yako Kama hao wanasiasa wanavyotumia muda kupinga Ili wastawishe familia zao.Chadema ndege walipinga, reli walipinga, bwawa la nyerere walipinga, lakini kutwa macho kodo kusifia maendeleo ya Kenya
Hizo bandari zilizopo zinaendelea kupanuliwa na zote hazitakosa mizigo.Tunawajua mapandiki mnaopigana kujenga propaganda ili Tanzania isipate maendeleo ya kweli. Hamtusumbui
Kuna mda Hadi nawazaga nchi hii mapandikizi ya nchi jirani yamejaa sana kuzuia nchi hii isiwe na miradi ya maendeleo mizuri ya kuleta maendeleo ya kweli.
Ugaidi umeisha Lamu? Tanzania tuna fursa nzuri ya kukamata soko lakini ndiyo hivyo tena. Hiyo bandari ya Bagamoyo ingejengwa Uganda ingehamia kwetu, maana tuna reli na meli pale Mwanza hivyo mizigo ingepita kirahisi sana!Wakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii watu walio serious na maendeleo na uchumi , Kenya wamefungua rasmi Bandari ya Lamu ambayo inasemwa ndo Bandari kubwa zaidi kusini mwa jangwa la sahara.
Leo Rais Kenyatta amezindua Bandari hii inayosemwa itakuwa na Berth 33 huku kati ya hizo Berth 29 zikiwa zinahudumiwa na sekta binafsi.
Kenya anasemwa anaenda kukamata soko lote na uganda, South Sudan na Ethiopia kutokana na kuanza kwa Bandari hii.
Hongereni watanzania Kwa kupenda umasikini, kupenda kwenu umasikini kunaenda kuifanya kenya kukua zaidi kuichumi na kuwapita mbali sana kwa miaka Mingi isiyohesabika ijayo.