Wakati Watanzania wakibishana juu ya Bandari ya Bagamoyo, Kenya wafungua Bandari ya Lamu

Chadema ndege walipinga, reli walipinga, bwawa la nyerere walipinga, lakini kutwa macho kodo kusifia maendeleo ya Kenya
Sasa chadema ndo Magufuli aliyekataa bandari ya bagamoyo? Mbona kama umevurugwa kwa nyuma?
 
Watz sisi tunachoweza ni porojo nyingi, na kila kitu kuingiza 'ligi tu' dhidi ya nchi zingine ,zisizo na mipango ya dhati yenye'tija'na vitendo' on the ground. Mara oooh sie tunaongoza kwa kuwa na mifugo mingi, mara kwa mbuga za wanyama,mara kwa treni za umeme,mara kwa kuwa na ardhi kubwa yenye rutuba, mara kwa madini,mito,maziwa,mlima mrefu nk.barani Afrika,but mwisho wa siku jambo la muhimu kujitathmini, je hivyo vyote mnavyosema, vimewasaidije kupunguza umaskini na kuleta maendeleo ya nchi, zaidi ya kubakia kwenye ngonjera zilezile karibu sasa miaka 60 baada ya uhuru....tunaishia kukalia na hizo story zetu, wakati wengine wakiendelea kuchanja mbuga ... kaazikweli kweli... kazi iendelee.
 
Bandari ya Bagamoyo ni wizi na uuwaji wa uchumi wa bandari zetu zingine, Mkataba urekebishwe,

Hatushindani na Kenya kuwa na bandari nyingi kubwa na nzuri, Bali tujali Sana kitu chenye faida Kwa nchi yetu

Mfugaji akiwa ananunua ng'ombe wasiotoa maziwa na hawazai, huyo mfugaji atakuwa ni mjinga kuliko dunia nzima!!

Kwa hiyo nyinyi mnaolilia bandari ya Bagamoyo bila kurekebishwa Mkataba wake,manataka tuwe Taifa la wajinga, kuanzia aliyeko juu Hadi Mleta mada?
 
Acha kujichoresha kuwa huna exposure! Hizo Bandari za Mtwara, Tanga na Dar zinaleta nini?? Zimeleta ufanisi na competition gani???

Hivi Unajua berth katika Bandari zote za Tanga, Dar na Mtwara hazijazizidi kwa idadi berth za Bandari moja tu ya Mombasa ambao wana berth zaidi ya 18???

Sasa kenya kaongeza Bandari nyingine yenye berth 33 na hapo berth 29 amezipa sekta binafsi ili kuweka ufanisi. Sasa utamzidi nini kenya zaidi ya yeye kuzidi kukupiga gap???
Na tukiendeleza hizo bandari tatu si zitakuwa na uwezo mzuri kabisa? Tena ziko location tatu tofauti jambo ambalo ni adavantage?
 
Wakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii watu walio serious na maendeleo na uchumi , Kenya wamefungua rasmi Bandari ya Lamu ambayo inasemwa ndo Bandari kubwa zaidi kusini mwa jangwa la sahara.

Leo Rais Kenyatta amezindua Bandari hii inayosemwa itakuwa na Berth 33 huku kati ya hizo Berth 29 zikiwa zinahudumiwa na sekta binafsi.

Kenya anasemwa anaenda kukamata soko lote na uganda, South Sudan na Ethiopia kutokana na kuanza kwa Bandari hii.

Hongereni watanzania Kwa kupenda umasikini, kupenda kwenu umasikini kunaenda kuifanya kenya kukua zaidi kuichumi na kuwapita mbali sana kwa miaka Mingi isiyohesabika ijayo.

View attachment 1793056
Hujamalizia mambo mengi. Umefanya kusudi au kutojua? Bandari imejengwa na nani na kwa fedha za nani, na itamilikiwa na nani na itaendeshwa na nani na kwa mkataba wa miaka mingapi, na kwa masharti gani?
 
Wallah tutajutia sana ujinga wa kupingapinga tu. Jamaa alitudanganya watu wakaingia kingi. Ukweli inakuja ngoja yatasemwa zaidi kwenye magazeti rasmi ili tuondokane na ujinga uliowekwa hapa miaka ya karibuni.

Berth 33 sio mchezo tena za kisasa sio hizi tunahangaika nazo sijui berth 10 Ila mpaka leo hatuna Cha maana na hazijaisha.

Deal done we are out of the league.

Kwa hiyo waliridhia mkataba mbofumbifo kuipata hiyo? Upo usemi ule kwamba ukishabikia ujinga basi nawe ni mjinga kupita hata yule aloanza nao
 
Wakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii watu walio serious na maendeleo na uchumi , Kenya wamefungua rasmi Bandari ya Lamu ambayo inasemwa ndo Bandari kubwa zaidi kusini mwa jangwa la sahara.

Leo Rais Kenyatta amezindua Bandari hii inayosemwa itakuwa na Berth 33 huku kati ya hizo Berth 29 zikiwa zinahudumiwa na sekta binafsi.

Kenya anasemwa anaenda kukamata soko lote na uganda, South Sudan na Ethiopia kutokana na kuanza kwa Bandari hii.

Hongereni watanzania Kwa kupenda umasikini, kupenda kwenu umasikini kunaenda kuifanya kenya kukua zaidi kuichumi na kuwapita mbali sana kwa miaka Mingi isiyohesabika ijayo.

How does that affect Tanzania? How many ports do we have to start worrying about Kenya?
What messes up things isn't Kenya's port expansion. It is our house. We have to keep it in good order first. Then we will have a good reason to worry about what others are doing
 
Nchi jirani zimechangia kuzuia nchi hii isiwe na miradi ya maendeleo mizuri ya kuleta maendeleo ya kweli.
 
Huyo mtu alikuwa Rais wetu hakuwa muuza samaki pale feri.

Alikuwa na washauri wa kila aina. Tuwe waangalifu wasije kuumia watanzania wa miaka 30 ijayo halafu sisi wa leo tukalaaniwa kama babu zetu kwa kukubali kuuza watumwa kwa malipo ya shanga.
Zama zimepita mkuu ni kama alivyoingia akaanza na yake na huyu aliepo achwe aanze yake mazuri ya kuendeleza ataendeleza.
 
Wakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii watu walio serious na maendeleo na uchumi , Kenya wamefungua rasmi Bandari ya Lamu ambayo inasemwa ndo Bandari kubwa zaidi kusini mwa jangwa la sahara.

Leo Rais Kenyatta amezindua Bandari hii inayosemwa itakuwa na Berth 33 huku kati ya hizo Berth 29 zikiwa zinahudumiwa na sekta binafsi.

Kenya anasemwa anaenda kukamata soko lote na uganda, South Sudan na Ethiopia kutokana na kuanza kwa Bandari hii.

Hongereni watanzania Kwa kupenda umasikini, kupenda kwenu umasikini kunaenda kuifanya kenya kukua zaidi kuichumi na kuwapita mbali sana kwa miaka Mingi isiyohesabika ijayo.

Kizazi kama chako kinaumwa bila kujua. So wewe Shida yako ukubwa na kufungua.
 
Kenya wana bandali ngapi na tanzania wana bandali ngapi?
Unawaza mtu mwenye bandali zisizozidi tatu wakatai tza wana bandali kuanzia tanga mpaka mtwara na maziwa yote?
Acha kuwa na wasiwasi.
Cha msingi ni kuboresha zilizopo kisha maisha yaendelee.
 
Unaangalia wingi wa Bandari au ufanisi uliokuwepo kwenye izo Bandari . Tanzania tuna Bandari 3 ila zina idadi ya Berth zisizozidi idadi ya berth ambazo ziko kwenye Bandari moja ya mombasa tu yenye berth karibu 22.

Sasa kenya amejenga Bandari nyingine yenye Barth 33 na kati ya izo 29 kazipa sekta binafsi waziendeshe kilo kuweka ufanisi na competition. Sasa utawazidi wapi kenya???
Na kwa taarifa yako kenya akifanikiwa kwenye hili hadi mizigo yote ya Congo atachukua yeye.

Nyie endeleeni tu kupiga porojo na kupinga pinga
 
Nchi jirani zimechangia kuzuia nchi hii isiwe na miradi ya maendeleo mizuri ya kuleta maendeleo ya kweli.
Na wana mapandikizi yao mengi sana humu ndani. Kila muda kianzisha tu mada za tunaibiwa sijui udalali
 
How does that affect Tanzania? How many ports do we have to start worrying about Kenya?
What messes up things isn't Kenya's port expansion. It is our house. We have to keep it in good order first. Then we will have a good reason to worry about what others are doing
Where is your smartness! Yaani huoni kenya anavyoweka Bandari zake vizuri huku akiziendesha kupitia sekta binafsi kutakuwa na ufanisi sana kwenye Bandari zake hadi kupelekea Bandari zetu kukimbiwa hivyo kukosa mapato???

Una akili kweli wewe mtu??
 
Na wana mapandikizi yao mengi sana humu ndani. Kila muda kianzisha tu mada za tunaibiwa sijui udalali
Mimi hua nashindwa kuelewa ila chanzo kikubwa ni usaliti wa baadhi ya viongozi wetu
 
Kuna mda Hadi nawazaga nchi hii mapandikizi ya nchi jirani yamejaa sana kuzuia nchi hii isiwe na miradi ya maendeleo mizuri ya kuleta maendeleo ya kweli.
Kweli kabisa Magufuli alikuwa ni mmoja wapo.
 
Unaangalia wingi wa Bandari au ufanisi uliokuwepo kwenye izo Bandari . Tanzania tuna Bandari 3 ila zina idadi ya Berth zisizozidi idadi ya berth ambazo ziko kwenye Bandari moja ya mombasa tu yenye berth karibu 22.

Sasa kenya amejenga Bandari nyingine yenye Barth 33 na kati ya izo 29 kazipa sekta binafsi waziendeshe kilo kuweka ufanisi na competition. Sasa utawazidi wapi kenya???
Na kwa taarifa yako kenya akifanikiwa kwenye hili hadi mizigo yote ya Congo atachukua yeye.

Nyie endeleeni tu kupiga porojo na kupinga pinga
Hayo ni mawazo yako, ntu ashushe mombasa mzigo wa kongo kisha apiye mataifa matatu kwenda kongo wakati tanzania anatoka bandalini anaenda kongo?
Tanzania bado bandali mbili hazina mizigo ya kutosha tanga na mtwara na bado tanga inarekebishwa
Hao wakongo watapita hukobkenya kwa uzuri wa bandali au huduma na urahisi wa kufika kwao?
 
Kuna mda Hadi nawazaga nchi hii mapandikizi ya nchi jirani yamejaa sana kuzuia nchi hii isiwe na miradi ya maendeleo mizuri ya kuleta maendeleo ya kweli.
Unaweza kuwa mradi usio na faida. Kuhoji juu ya mikataba ni jambo la afya tu. Hata hivyo, why now! Bagamoyo haiondoki, ipo tu! Ni vema kujiridhishs juu ya faida. Mwalimu Nyerere alizuia kuchimba dhahabu hadi Watoto wa kiTanzania watakapokuwa tayari. Alipokufa tu, Mkapa akaona kuwa wakati ni sasa. Tanzania ni ya 3 Afrika kwa kuuza dhahabu nyingi, lakini unaona faida yake? Tumeachiwa mashimo pesa zimeenda na wenyewe Marekani na Canada. Unataka tuwe na bandari ambayo hata Tcra hawatakusanya kodi hadi miaka 50 ipite? Bandari ambayo Wachina wata lease ardhi yake kwa miaka 99? Bandari ambayo wakipata hasara ninyi mtawalipa wakati hamna rekodi ya mapato au matumizi yao kwa kuwa yanakusanya na wao ba kupelekwa kwao? Huu ni ujinga mtupu! Naunga mkono kujengwa bandari lakini kwani ni lazima ijengwe nao kwa mkataba uwe huo? Omba Nakala ya ule mkataba halafu utashangaa.
 
Back
Top Bottom