chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
"DRC ndio soko kubwa la bandari na bidhaa za Tanzania....."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi kunyaland tunawajua sana tangu mlipovunja EAC mwaka 1977 na mkakimbia na ndege zetu. Hivyo tumeshajifunza sana tu.Huwa mnachelewa sana kwenye kila kitu na ndio imesababisha bado mko maskini wa kutupwa hadi leo, raslimali zenu zinaliwa na kuchukuliwa kisa huko kuchelewa kwenu.
Ya right...
COW is long dead Uganda ur main supporter is no longer trading with u sorry ass!
Ninyi watu wapumbavu sana, sifa yenu kubwa ni kujipiga vifua for nothing
FYI hakuna taifa linafanya biashara na DRC Africa kama Tanzania na haitotokea siku kunyaland ifike hata 20% ya trade volume ya Tanzania na DRC
Tanzania ina zaidi ya bandari 200 Tanganyika zinatumika kuingiza bidhaa DRC na hapo bado barabara na SGR
View attachment 2174932
Sawa point yako imeeleweka.Wakunya mnatakiwa muelewe kitu kimoja, Tanzania ina mpaka mrefu sana na DRC huku kunyaland ikiwa haina mpaka wowote na DRC so obviously lazima Tanzania itafanya biashara kubwa na DRC kuliko kunyaland kutokana na logistics, bidhaa kutoka kilometers 2000 ni tofauti na bidhaa kutoka kilometers 2
Mbona mmekosa akili kiasi hiki Wakunya?
Tanzania ina export business worth of 500$ million wakati kunyaland ni just 15$ million bado mnataka kutufundisha kuhusu DRC? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2174950
View attachment 2174951
View attachment 2174952
Hizo ni pamoja na bandari bubu, bandari kubwa rasmi kabisa si chini ya 15, hii ni kutokana na DRC kupakana na mikoa mingi ya TanzaniaWacha ujinga wewe. Unadanganya eti TZ ina bandari 200? Hata USA hawajafika huko ba mdogo. Usipende uongo.
Nilichofurahi ni kwamba CRDB Bank na Air Tanzania wanaenda kuwanyang'anya hata wale wateja waliokuwa wakitumia mabenki na ndege zao! Hamna kampuni ya DRC itaenda Mombasa port wakati kuna Dar port ipo linked na direct flights za Air Tanzania!Wakunya mnatakiwa muelewe kitu kimoja, Tanzania ina mpaka mrefu sana na DRC huku kunyaland ikiwa haina mpaka wowote na DRC so obviously lazima Tanzania itafanya biashara kubwa na DRC kuliko kunyaland kutokana na logistics, bidhaa kutoka kilometers 2000 ni tofauti na bidhaa kutoka kilometers 2
Mbona mmekosa akili kiasi hiki Wakunya?
Tanzania ina export business worth of 500$ million wakati kunyaland ni just 15$ million bado mnataka kutufundisha kuhusu DRC? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2174950
View attachment 2174951
View attachment 2174952
Mjulishe na yule "wajina wako "254" apunguze ujuha wake, Tanzania is the biggest exporter to DRC, Kenya, Uganda, Rwanda and BurundiSawa point yako imeeleweka.
DRC kuingia EAC anafanya Tanzania iwe ndio biggest beneficiary wa intra EAC trade by far / largest intra community exporterMjulishe na yule "wajinga wako "254" apunguze ujuha wake, Tanzania is the biggest exporter to DRC, Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi
Kwa taarifa yenu, ukiacha South Africa, DRC is the second biggest business partner kwa Tanzania interm of trade volume
Wakuambie kiherehere na mtu alie kilometers 2000 apart wanatoa wapi wakati wana Ethiopia, Sudan, Somali karibu?Nilichofurahi ni kwamba CRDB Bank na Air Tanzania wanaenda kuwanyang'anya hata wale wateja waliokuwa wakitumia mabenki na ndege zao! Hamna kampuni ya DRC itaenda Mombasa port wakati kuna Dar port ipo linked na direct flights za Air Tanzania!
Wafanyabiashara wa Uganda wameambiwa Kwa kipindi hiki cha vugu vugu la uchaguzi Kenya inabidi watumie bandari ya Dar ili kuepuka hasara.Wacha ujinga wewe. Unadanganya eti TZ ina bandari 200? Hata USA hawajafika huko ba mdogo. Usipende uongo.
Equity seals deal to become biggest foreign bank in DRCWakunya mnatakiwa muelewe kitu kimoja, Tanzania ina mpaka mrefu sana na DRC huku kunyaland ikiwa haina mpaka wowote na DRC so obviously lazima Tanzania itafanya biashara kubwa na DRC kuliko kunyaland kutokana na logistics, bidhaa kutoka kilometers 2000 ni tofauti na bidhaa kutoka kilometers 2
Mbona mmekosa akili kiasi hiki Wakunya?
Tanzania ina export business worth of 500$ million wakati kunyaland ni just 15$ million bado mnataka kutufundisha kuhusu DRC? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2174950
View attachment 2174951
View attachment 2174952
Equity seals deal to become biggest foreign bank in DRC Asilimia kubwa ya hela huko DRC zinapita kwenye benki kutoka Kenya, Equity Bank. Biggest foreign bank in DRC na second biggest bank. Wewe endelea tu kuimba hiyo chorus yako ya boda na kilomita.
Volume of trade between TZ and DRC is over $500M, between Kenya na DRC haizidi $20M, Sasa kitu gani tena unataka, hivi hata hamsikii aibu kushindana na sisi?Equity seals deal to become biggest foreign bank in DRC
Asilimia kubwa ya hela huko DRC zinapita kwenye benki kutoka Kenya, Equity Bank. Equity Bank ndio biggest foreign bank huko DRC na second biggest bank. Wewe endelea tu kuimba hiyo chorus yako ya boda na kilomita.
Ninyi watu wapumbavu sana, sifa yenu kubwa ni kujipiga vifua for nothing
FYI hakuna taifa linafanya biashara na DRC Africa kama Tanzania na haitotokea siku kunyaland ifike hata 20% ya trade volume ya Tanzania na DRC
Tanzania ina zaidi ya bandari 200 Tanganyika zinatumika kuingiza bidhaa DRC na hapo bado barabara na SGR
View attachment 2174932
Hawa jamaa ni wapumbavu! Halafu wakati wanajipambanua na COW, AfDB imetoka kutoa $3.3 bln ya SGR kuunganisha Tanzania, Burundi, Rwanda na DRC! Mimi naita wivu unawasokota baada ya kuambulia patupu South Sudan walipokuwa wakijitapa pia!Volume of trade between TZ and DRC is over $500M, between Kenya na DRC haizidi $20M, Sasa kitu gani tena unataka, hivi hata hamsikii aibu kushindana na sisi?
For East Africa, the largest deal inked during the forum is the $3.3 billion railway corridor that will run from Dar es Salaam through Bujumbura to Kinshasa in DR Congo, with an extension to Kigali, which will be done as a public-private partnership project.
“There is a lot of political support and goodwill for this, I can’t wait to see this railway,” said Dr Akinwumi Adesina, AfDB president and chair of the forum that was attended by 11 heads of states, including Tanzania’s Samia Suluhu, Rwanda’s Paul Kagame, and DRC’s Felix Tshisekedi.
Kichaa wewe, Tanzania na Kenya zimepakana na zinafanya biashara, nani amezidiwa?, Kenya tumewazidi tena kwa mbali Sana, Uganda imepakana na Kenya na Tanzania, huko pia tumewazidi tumewafurusha na kulinyakua soko la Uganda, kwasababu mumeshindwa kupambana na Tanzania katika masoko ya Kenya na Uganda, Sasa unataka kuwaingiza Uganda na Rwanda kushindana na Tanzania?.Una wazimu wewe Exporter mkubwa wa bidhaa kuelekea DRC hapa Afika Mashariki ni Rwanda, wa pili Uganda. Rwanda ambayo huwa mnasema ni 'kamkoa' kenu wamewazidi kibiashara nchini DRC. Uganda pia, acha longolongo zako wewe, kama una takwimu za kudhibitisha hayo madai yako zilete humu tuzichambue. Jisomee mwenyewe; Opportunities and burdens DR Congo brings to EAC table