Uchaguzi 2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

Mkuu, kwani hujawahi kuona wingu zito lenye Dalili zote za mvua badaye likayeyuka?

Na ikitokeaga hivyo Waganga wa kienyeji hipigwa mapanga balaa, kisa kuna mtu aliamini mvua zitashuka Tu bila kujua kwamba wingu pekee si mvua
 
Acha uongo safari ya zanzibar uliiona wapi??
Usicheze na inteligensia ya Lissu. Ni mithiri ya CIA. Leo ulijua kama Yuko Iringa?
Mwambie huyo jinga kuwa kutoka Tanga hadi Iringa Lissu kabadili gari zaidi ya tatu!
 
Zanzibar tuliambiwa hapa kaenda na kweli alienda Ila kilichomkuta kule Chadema waliamua kupotezea Ni aibu na hata waleta mada za Lisu kwenda Zanzibar waliingia mitini kwa aibu
Tumia akili kidogo!

Hujiulizi kwanini Membe hazunguki kwa mbwembwe huku bara?
Na Lisu hawezi kwenda kwa mengi Zanzibar zaidi ya kukidhi matakwa ya sheria tu.
 
M
CCM ni baba jeni bai bai...... kwisha habari yenu!! Ninyi kaeni na wazee wa dini sisi tuna mbeba maono
Hahahahaaa maono ya kishoga au, kama ana maono basi hatavhiyobhaki anayosema yeye sio wa kwanza kuileta hapa tanzania
Kuna akina nyerere wakawatoa makaburu hapa na tukapata haki sasa yeye haki gani ataleta?
 
M
CCM ni baba jeni bai bai, kwisha habari yenu!! Ninyi kaeni na wazee wa dini sisi tunambeba maono.
Hahahahaaa maono ya kishoga au, kama ana maono basi hata hiyo haki anayosema yeye sio wa kwanza kuileta hapa Tanzania kuna akina Nyerere wakawatoa makaburu hapa na tukapata haki sasa yeye haki gani ataleta.
 
Hivi kwa akili zenu mnajidanganyai lissu atapata kura za kumtosha??? Ameachiwa uwanja peke yake sasa hivi na bado anakusanya umati hafifu kama ule.Subiri kipenga kipigwe mtamkimbia mgombea wenu kwa aibu.
Kuna mtu kafanya kampeni kwa miaka mitano huku akigawa pesa barabarani na still malori yatahusika kubeba wanaccm,wewe unashangaa Lissu?
 
Tulia Dawa iingie vizuri!
 
M

Hahahahaaa maono ya kishoga au, kama ana maono basi hata hiyo haki anayosema yeye sio wa kwanza kuileta hapa tanzania
Kuna akina nyerere wakawatoa makaburu hapa na tukapata haki sasa yeye haki gani ataleta
Babako kaongea miaka 5 yote je ana jipya?, Lissu kaja juzi tu mzee wa watu anachachawa!! Ooh mara wazee wa dini, mara wasanii......mwambie atulie siasa kupokezana kuongea...asije akamponza Mwenyekiti wa Tume yetu bure maskini, atulie Ngondoigwa ipigwe!!

5 yrs anaongea wewe tu wengine kimya, Leo hii ana jipya lipi zaidi ya madaraja na reli?

Na bado wacha kampeni zianze ataganda!!
 
Hivi kwa akili zenu mnajidanganyai lissu atapata kura za kumtosha??? Ameachiwa uwanja peke yake sasa hivi na bado anakusanya umati hafifu kama ule.Subiri kipenga kipigwe mtamkimbia mgombea wenu kwa aibu.
Umati - hafifu, mwalimu wako alipoteza muda kukufundisha.
 
Mchuguzi ambao ccm ilishinda kihalali mara ya mwiisho ni 2005.,2010 na 2015 mmeiba kura ,inasikitisha sana chama mnachodai ni kikongwe kimebakiwa na option moja tu kuiba kura ili kushinda uchaguzi ndio maana mnaogopa tume huru kama ukoma
 
Mbona CCM wameanza kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…