Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

 
Pia tz kuna wakamba wameru nao pia wako pande zote mbili. Kuhusu wachaga kenya hakuna ila wataita wanatabia zakichaga na luga yao nikama kichaga. Wapare nadhani wapokenya pia.
 
Wajaluo tuko Nyanza maeneo ya ziwa Victoria. Counties za Kisumu, Siaya, Homabay na Migori to be specific. Wajaluo kwa ujumla wanapatikana Uganda(Acholi), Kenya, Tanzania, South Sudan na Ethiopia.
Boss wewe ukiingia JamiiForums ulikuwa unaongea sheng tu. Hukuwa unaweza kuconstruct sentence hata moja ya Kiswahili. I am happy to see the transformation. Haha. Hata mimi I was just the same nikiingia huku.
 
Unawasifia tu wapokomo kwa sababu wewe Ni mpokomo lakini si wazuri vile haswa wanaume wao hao watu wa hola nawajua hawawezi karibia wataita/wataveta.
Mimi hawa wasichana wa taita huwa wananimaliza kabisa. Nilikuwa na girlfriend mmoja Mtaita na alikuwa mrembo sana. Lakini kabila zote za pwani iwe mijikenda pokomo na kadhalika wana tamaduni nzuri likija kwenye swala la mke kumheshimu mume wake. Wanajua kutunza wanaume wao ndani ya nyumba.

Lakini ukija huku bara nilikolelewa, unakuta mke anampiga ndondi mume wake bila wasiwasi. Halafu wanawake Waganda pia wana heshima sana. Nimewahi kuenda kwa nyumba ya mganda. Wanawake wote wanapiga magoti ili kukusalimia. Hadi mtu anahisi aibu.
 
It's true nashangaa pia Mimi nina ndugu wako msumbiji nmewabaini kalibuni tu.
 
Pia tz kuna wakamba wameru nao pia wako pande zote mbili. Kuhusu wachaga kenya hakuna ila wataita wanatabia zakichaga na luga yao nikama kichaga. Wapare nadhani wapokenya pia
Kuna kabila la warangi Tanzania japo kenya halipo lakini lugha zote mbili Zina uhusiano wa karibu.
 
Pia tz kuna wakamba wameru nao pia wako pande zote mbili. Kuhusu wachaga kenya hakuna ila wataita wanatabia zakichaga na luga yao nikama kichaga. Wapare nadhani wapokenya pia
Nafikiri huenda ndio hao wanaitwa wataita kenya na wapare wakawa wataveta au wadawida maana lugha zinakaribiana.
 
Boss wewe ukiingia jamii forum ulikuwa unaongea sheng tu. Hukuwa unaweza kuconstruct sentence hata moja ya kiswahili. I am happy to see the transformation. Haha. Hata mimi I was just the same nikiingia huku.
Constructing a sentence in sheng doesn't mean he doesn't know Swahili, you mean hakwenda skuli au SoMo la kiswahili alipata E?
 
Constructing a sentence in sheng doesn't mean he doesn't know Swahili, you mean hakwenda skuli au SoMo la kiswahili alipata E?
Not really. Namaanisha kuzingatia ngeli na mpangilio sahihi wa sentensi. Wewe umekulia pwani kwa hivyo huwezi kuelewa how much of a struggle this is to some of us. Kwenda shule sio tatizo maana kiswahili ya KCPE na KCSE nilipita vizuri maana nilipata grade ya B ila nilikuwa nasoma ili kupita mtihani. Sikuwa napractice nilichosoma huku nje mtaani.

Nilikuwa naongea kiswahili cha mtaani tu. Hata yeye sina shaka kwamba alipita mtihani wa Kiswahili. Huko pwani unajua huwa mnazingatia ngeli katika mazungumzo yenu kwa hivyo kwenu ni kawaida kuzungumza kiswahili sanifu.
 
Wapwani wanaheshima kwa waume zao lakini waganda ambao wanaheshima ni wasoga na yao ni heshima kutoka moyoni sio unafiki, musoga ukimuoa hata Kama unalala sakafuni hatokuacha lakini waganda wa kabila la waganda hao ukiwaoa bila plan my friend utafilisika Tena wanaamini wanastahili kuzikwa kwa makaburi za mababu zaoanaweza akakuacha akaenda na wanatabia wa kuwafanya waume zao kuwa zezeta wa mapenzi kwao yani anakukontrol anakulisha dawa Hadi unasahau uko wenu unakumbuka tu uko wa kwao.
 
Unawasifia tu wapokomo kwa sababu wewe Ni mpokomo lakini si wazuri vile haswa wanaume wao hao watu wa hola nawajua hawawezi karibia wataita/wataveta.
I was giving out an opinion mzee baba hapa hatukujia malumbano..eti wanaume zao, engineer acha kuona wanaume wazuri bana[emoji23][emoji23]

Anyway mi babangu ni mdigo mamangu ndio mpokomo.
 
My dear Gwizzy inaelekea unapenda sana sigara kali (bhangi), usione haibu...karibu sana kwetu tupulize moshi na kuua envitonmental bacterias. Pia naomba nikuulize, yule msichana mtangazaji wa CGTN Peninnah Karibe mi wa kabila gani? Mwambie anakaribishwa sana hapa Tanzania.
 

Ni sawa na wanyakyusa wa Kyela, tuna ndugu zetu wengi tu upande wa Malawi!
 
Nasikia kuna kabila moja la Tanga wana ndugu zao wa damu huko Somalia
 
Prominent Kuria names ni Kama Bingwa Nelson Marwa, Nominated Mp Denittah Ghati. Prof. Nyaigoti chacha Nyaigoti Head of Kiswahili East Africa to name but afew.Bwana Nicxie pole kwa yaliowapata cha ajabu leo pia niko nyumbani kuna jamii ya luo wameandamana na polisi wako upande huu wa kwetu waliibiwa ngombe na wakuria ndizo wanatafuta hawajazipata zinakisiwa kuvuka mpaka kwenda Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…