Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Hivi,si juzi tu alihojiwa na mwanahabari kuhusu kushawishiwa wamuambie Tundu Lissu amuombe msamaha malkia wa Sheba ili aachiwe huru?Kwamba alikuwa mgonjwa?Kwamba ni natural death?Kwambaaaa.....!?
Unakumbuka philipo mangula alipewa sumu na genge la huyo unayemtetea lakini bahati nzuri wazalendo wakamkimbiza hospital?Acha ujinga Kila anaekufa sa100 ndo anau kwani kabla yake watu walikua hawafi, mzee alikua anaonekana mgonjwa acha upumbavu, mbona yeye kafiwa na mumewe au nae kamuua
Acha ujinga Kila anaekufa sa100 ndo anau kwani kabla yake watu walikua hawafi, mzee alikua anaonekana mgonjwa acha upumbavu, mbona yeye kafiwa na mumewe au nae kamuua
Kwenda huko wewe, bure kabisa. Dalali mkubwa. Mbowe yuko tayari kufanya lolote ili tu apate ulaji. Nani asiyejua kushindwa kwake uchaguzi kulimuuma sana na yuko tayari afanye lolote ili kulipiza kisasi.Ikiwa uongozi wa CDM bado una fikra kama zako,ni wazi itachukua muda mrefu Tanganyika kukombolewa.
Duh 😇Kwenda huko wewe, bure kabisa. Dalali mkubwa. Mbowe yuko tayari kufanya lolote ili tu apate ulaji. Nani asiyejua kushindwa kwake uchaguzi kulimuuma sana na yuko tayari afanye lolote ili kulipiza kisasi.
Tatizo waafrika hatuna akili, cha ajabu nini kwenye kifo cha binadamu tena Mzee.View attachment 3702462
Picha hii ilichukukiwa siku tano zilizopita alipohojiwa na That Boy Khalifa wa The Chanzo. Je ni kweli kafariki ? Nini chaweza kuwa chanzo cha kifo? Michezo mibaya ya kisiasa? Au stress ya mdogo wake kusubiri hukumu ya kifo dhidi ya kesi ya uhaini huku akina Heche na Maria na Mange wakikataa maridhiano
Inaonekana Alute alikuwa mgonjwa, ukimsikiliza interview yake ya mwisho unaweza kuona hivyo. Pale shingoni ni kama alikuwa na bandage ya hospital.Nini hasa chanzo cha kifo chake? Hili ni tukio la kusikitisha na kuhuzunisha sana.
Yes I agreeAlivyokuwa anaongea tu,nadhani hakuwa vizuri kiafya..
Honestly hata mimi nilimwona kama mgonjwa. Kwa jinsi alivyokuwa akionekana. Sidhani kama kuna mkono wa mtu hapa.Nilifuatilia mahojiano yake na mwandishi wa habari Mburushi.
Ukimwangalia vizuri alionekana bado mgonjwa na alikuwa akichelewa sana kujibu maswali simple.
Katika mahojiano yake alibainisha yeye ni mwanaccm lakini CCM ile ya Mwl Nyerere si hii ya leo.
Ikiwa ni kweli kafa basi tunamwomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ampokee na kumweka mahali anapostahili.
RIP Alute Lissu.
Ukifanya interview hufi?Inawezaka vipi afariki mara baada ya kufanya Interview ile? tutahitaji kujua aliongea na Kiongozi gani mkuu serikalini ambaye hakutaka ajulikane, CCM mnahusika na kifo hiki kwa 100%
Kwamba Rais ndio Jaji !!!!*Saa100 hii habari hataisoma,bali atahakikisha tar 6.11 anamfunga Lissu,ili naye afie magereza *
Huyu Mzee hata kuongea vizuri ilikuwa shida. Acha apumzike.Honestly hata mimi nilimwona kama mgonjwa. Kwa jinsi alivyokuwa akionekana. Sidhani kama kuna mkono wa mtu hapa.
Ficha ujinga wako.Sa100 kila siku anaua. Anataka abaki peke yake?
Ni kweli ile siku alisimulia hivo, ata hivo alionekana akiwa mgonjwa lakini pia yake mahojiano ukiyafuatilia kwa umakinu hayakuwa ya juzi ila yalikuwa recorded siku kadhaa zilizopita kabla ata hukumu ya kesi Magereza kuwazuia mawakili kumuona Lissu.Hivi,si juzi tu alihojiwa na mwanahabari kuhusu kushawishiwa wamuambie Tundu Lissu amuombe msamaha malkia wa Sheba ili aachiwe huru?Kwamba alikuwa mgonjwa?Kwamba ni natural death?Kwambaaaa.....!?