Wakili amtaja mtu atakayemuokoa Makonda mgogoro dhidi ya GSM, afafanua kosa alilofanya kisheria

Wakili amtaja mtu atakayemuokoa Makonda mgogoro dhidi ya GSM, afafanua kosa alilofanya kisheria

Mimi sijauelewa huu mgogoro toka mwanzo pamoja na Wakili yule kuweweseka. Hii kitu wenda Bashite anaonewa tuu na ana haki ila kwa kuwa upepo mbaya sasa hivi upo kwa Bashite basi inaonekana GSM mwenye haki.
 
GS

M walishaelezea source ni baba yao ambaye amefariki last month alikuwa mfanyabiashara alianzia ruvuma akaja kusettle Tanga na wakaendeleza zaidi baada ya mzee kustaafu za kuwakabidhi wanae waendelee kusimamia biashara.

Sasa huyo makalio ametoa wapi hizo Mihela maana by 2013 hakuwa na Mia alikuwa anauza mkaa huko kimara

By the time anapata Udc alikuwa Hana kitu sasa usiniambie amefanya biashara ingali yeye alikuwa RC hiyo biashara gani alifanya???

Najua unataka ubishi tu Ila unaelewa kabisa ukweli upo wapi.
Thibitisha!!
 
Wakufoji ni wa kufoji tu tukatae huruma kwa Makonda Karma is real, Makonda kwa makusudi hakuiona na hakuithamini jana wala kesho yeye aliiona leo yake tu. Avune upupu wake wote na madawa nae tutampa ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom