Mkubwa bado hujaacha roho mbaya tu? Bado unapata na kufurahia fedha za umwagaji wa damu?Shahidi ambaye hata hamjuani? Unamwitaje kwenye kesi yako eti rafiki yangu mtu kakukataa big time kuwa siyo rafiki yake kifupi Jahazi limezama.
Bado tunaendelea kudanganywa asa wale wasiojua sheria vizuri.Kuongea nadharia bila kuweka ata kifungu cha sheria ni upepo tu,, Matata akasome CPA 145 na 150(O3)Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kunaweza kuwa sababu ya msingi katika hatua za rufaa na kufanya hukumu ya kesi hiyo ionekane batili kwa madai ya kutokufuata utaratibu wa kisheria.
Matata amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram, akieleza kuwa suala la kutii wito wa Mahakama ni tofauti na kukubali kutoa ushahidi kwa upande uliomwita.
Kwa mujibu wake, Kingai alipaswa kufika mbele ya majaji na kueleza rasmi kuwa ameitikia wito lakini hataki kutoa ushahidi kwa upande wa Lissu.
Amesema Mahakama ilikuwa imetoa wito kwa Kingai pamoja na IGP Camillius Wambura na CDF Jenerali Jacob Mkunda, ambao Lissu aliwataka wawe mashahidi wake.
Matata amesema viongozi hao ni muhimu katika kesi hiyo kutokana na nafasi zao katika masuala ya ulinzi, usalama, upelelezi na intelijensia.
Kwa mujibu wa Matata, iwapo upande wa Jamhuri uliamini kuwa Lissu alitenda makosa anayokabiliwa nayo, viongozi hao wangekuwa miongoni mwa watu wenye taarifa muhimu za kueleza Mahakamani namna ambavyo vitendo vinavyodaiwa dhidi yake vilihusiana na tuhuma za uhaini.
Matata amesema Lissu aliamua kuwaomba viongozi hao waitwe baada ya upande wa Jamhuri kutowaita, akisema walikuwa na nafasi ya kutoa ushahidi na baadaye kufanyiwa cross-examination na mawakili wa utetezi. Ameongeza kuwa hatua hiyo ingeipa Mahakama nafasi ya kusikia pande zote kuhusu taarifa walizonazo mashahidi hao.
Akizungumzia tukio la Septemba 18, 2026, Matata amesema Kingai alifika asubuhi na kukutana na Lissu, lakini kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa na Lissu, alieleza kuwa hatakuwa shahidi wa utetezi. Matata anasema baada ya hapo Kingai hakufika mbele ya Jopo la Majaji wakati shauri lilipoendelea.
Matata anasisitiza kuwa hata kama shahidi hataki kutoa ushahidi kwa upande uliomwita, wajibu wa kwanza ni kuitikia wito wa Mahakama na kufika mbele ya majaji. Kwa mtazamo wake, kauli ya shahidi kwamba hataki kutoa ushahidi inapaswa kutolewa mbele ya Mahakama, si nje ya ukumbi wa Mahakama.
Aidha, Matata ametumia masharti ya Katiba na Sheria za Tanzania kueleza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria kwa sababu ya cheo chake, akiwemo DCI, IGP au CDF. Amesema kutokutii wito wa Mahakama kunaweza kuibua suala la kuidharau Mahakama.
Ameongeza kuwa jambo linalotia uzito zaidi ni Mahakama kufunga ushahidi wa Lissu bila, kwa mtazamo wake, kuchukua hatua au kujiridhisha kikamilifu kuhusu utekelezaji wa wito uliotolewa kwa mashahidi hao.
Matata amesema hali hiyo inaweza kuibua hoja katika rufaa endapo Lissu atatiwa hatiani, kwa sababu upande wa utetezi unaweza kudai kuwa haukupewa fursa ya kusikilizwa kikamilifu kama inavyotakiwa na Katiba. Kwa maoni yake, hoja hiyo inaweza kutumika kupinga uhalali wa hukumu endapo itaonekana kuwa taratibu za msingi za kumpa mshtakiwa haki ya kusikilizwa hazikufuatwa.
Kingai hata hakutokea mbele ya jaji, hakula kiapo, kwa hiyo kisheria hakufika mahakamani.Mahakama haikumnyima fursa hiyo na isitoshe mahakama ilimpendelea kwa kumuandalia summons ili mashahidi wake waje....yeye mwenyewe ameitaarifu mahakama kuwa hajafikia muafaka na mashahidi wake...na alifunga utetezi. Mahakama imekuwa na upendo uliopitiliza kwani haikutakiwa kuwalazimisha mashahidi wa utetezi kuja kwa interest ya mshtakiwa.....
Mahakama ingekuwa na uhitaji wa ufafanuzi zaidi kwa interest ya majaji ingealika(summons) mashahidi wengine zaidi ambao wapo.
Jaji alimualika mshtakiwa ili shahidi wake apande kizimbani....,mshatakiwa akatoa maelezo ya kwamba shahidi wake hayuko tayari na ameelezwa mashahidi wake wote waliobakia hawatokuwa tayari.Kingai hata hakutokea mbele ya jaji, hakula kiapo, kwa hiyo kisheria hakufika mahakamani.
Mahakama ilikuwa na wajibu wa kumuingiza Kingai kwenye rekodi kuwa hataki kutoa ushahidi.
Hii ni kesi yenye hukumu ya kifo msiifanye kienyeji.
Kwa hiyo lissu kuridhia kufunga ushahidi wake alikosea?Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kunaweza kuwa sababu ya msingi katika hatua za rufaa na kufanya hukumu ya kesi hiyo ionekane batili kwa madai ya kutokufuata utaratibu wa kisheria.
Matata amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram, akieleza kuwa suala la kutii wito wa Mahakama ni tofauti na kukubali kutoa ushahidi kwa upande uliomwita.
Kwa mujibu wake, Kingai alipaswa kufika mbele ya majaji na kueleza rasmi kuwa ameitikia wito lakini hataki kutoa ushahidi kwa upande wa Lissu.
Amesema Mahakama ilikuwa imetoa wito kwa Kingai pamoja na IGP Camillius Wambura na CDF Jenerali Jacob Mkunda, ambao Lissu aliwataka wawe mashahidi wake.
Matata amesema viongozi hao ni muhimu katika kesi hiyo kutokana na nafasi zao katika masuala ya ulinzi, usalama, upelelezi na intelijensia.
Kwa mujibu wa Matata, iwapo upande wa Jamhuri uliamini kuwa Lissu alitenda makosa anayokabiliwa nayo, viongozi hao wangekuwa miongoni mwa watu wenye taarifa muhimu za kueleza Mahakamani namna ambavyo vitendo vinavyodaiwa dhidi yake vilihusiana na tuhuma za uhaini.
Matata amesema Lissu aliamua kuwaomba viongozi hao waitwe baada ya upande wa Jamhuri kutowaita, akisema walikuwa na nafasi ya kutoa ushahidi na baadaye kufanyiwa cross-examination na mawakili wa utetezi. Ameongeza kuwa hatua hiyo ingeipa Mahakama nafasi ya kusikia pande zote kuhusu taarifa walizonazo mashahidi hao.
Akizungumzia tukio la Septemba 18, 2026, Matata amesema Kingai alifika asubuhi na kukutana na Lissu, lakini kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa na Lissu, alieleza kuwa hatakuwa shahidi wa utetezi. Matata anasema baada ya hapo Kingai hakufika mbele ya Jopo la Majaji wakati shauri lilipoendelea.
Matata anasisitiza kuwa hata kama shahidi hataki kutoa ushahidi kwa upande uliomwita, wajibu wa kwanza ni kuitikia wito wa Mahakama na kufika mbele ya majaji. Kwa mtazamo wake, kauli ya shahidi kwamba hataki kutoa ushahidi inapaswa kutolewa mbele ya Mahakama, si nje ya ukumbi wa Mahakama.
Aidha, Matata ametumia masharti ya Katiba na Sheria za Tanzania kueleza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria kwa sababu ya cheo chake, akiwemo DCI, IGP au CDF. Amesema kutokutii wito wa Mahakama kunaweza kuibua suala la kuidharau Mahakama.
Ameongeza kuwa jambo linalotia uzito zaidi ni Mahakama kufunga ushahidi wa Lissu bila, kwa mtazamo wake, kuchukua hatua au kujiridhisha kikamilifu kuhusu utekelezaji wa wito uliotolewa kwa mashahidi hao.
Matata amesema hali hiyo inaweza kuibua hoja katika rufaa endapo Lissu atatiwa hatiani, kwa sababu upande wa utetezi unaweza kudai kuwa haukupewa fursa ya kusikilizwa kikamilifu kama inavyotakiwa na Katiba. Kwa maoni yake, hoja hiyo inaweza kutumika kupinga uhalali wa hukumu endapo itaonekana kuwa taratibu za msingi za kumpa mshtakiwa haki ya kusikilizwa hazikufuatwa.
Mtego.Kwa hiyo lissu kuridhia kufunga ushahidi wake alikosea?
Shida ya hawa wanasheria uchwara ni kila mtu kuwa na tafsiri yake. Huyu poyoyo kaandika hisia zake.siyo uhalisia. Ramadhani Kingai, DCI alifika mahakamani ndiko walikokubaliana na Lissu, sasa huyu kanjanja anazungumzia mahakama ipi, kwa hiyo walikutana wapi? Acha kupotosha watu, halafu mheshimu nafasi za hao viongozi wakuu wa dola kwa kutumia visheria vyenu mlivyokariri mtake kuwadunisha, kuwadogosha, acheni, viongozi wakuu wa dola siyo wa kuwaletea.mazoea ya kipuuzi, hao ni roho ya nchi yetu.Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kunaweza kuwa sababu ya msingi katika hatua za rufaa na kufanya hukumu ya kesi hiyo ionekane batili kwa madai ya kutokufuata utaratibu wa kisheria.
Matata amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram, akieleza kuwa suala la kutii wito wa Mahakama ni tofauti na kukubali kutoa ushahidi kwa upande uliomwita.
Kwa mujibu wake, Kingai alipaswa kufika mbele ya majaji na kueleza rasmi kuwa ameitikia wito lakini hataki kutoa ushahidi kwa upande wa Lissu.
Amesema Mahakama ilikuwa imetoa wito kwa Kingai pamoja na IGP Camillius Wambura na CDF Jenerali Jacob Mkunda, ambao Lissu aliwataka wawe mashahidi wake.
Matata amesema viongozi hao ni muhimu katika kesi hiyo kutokana na nafasi zao katika masuala ya ulinzi, usalama, upelelezi na intelijensia.
Kwa mujibu wa Matata, iwapo upande wa Jamhuri uliamini kuwa Lissu alitenda makosa anayokabiliwa nayo, viongozi hao wangekuwa miongoni mwa watu wenye taarifa muhimu za kueleza Mahakamani namna ambavyo vitendo vinavyodaiwa dhidi yake vilihusiana na tuhuma za uhaini.
Matata amesema Lissu aliamua kuwaomba viongozi hao waitwe baada ya upande wa Jamhuri kutowaita, akisema walikuwa na nafasi ya kutoa ushahidi na baadaye kufanyiwa cross-examination na mawakili wa utetezi. Ameongeza kuwa hatua hiyo ingeipa Mahakama nafasi ya kusikia pande zote kuhusu taarifa walizonazo mashahidi hao.
Akizungumzia tukio la Septemba 18, 2026, Matata amesema Kingai alifika asubuhi na kukutana na Lissu, lakini kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa na Lissu, alieleza kuwa hatakuwa shahidi wa utetezi. Matata anasema baada ya hapo Kingai hakufika mbele ya Jopo la Majaji wakati shauri lilipoendelea.
Matata anasisitiza kuwa hata kama shahidi hataki kutoa ushahidi kwa upande uliomwita, wajibu wa kwanza ni kuitikia wito wa Mahakama na kufika mbele ya majaji. Kwa mtazamo wake, kauli ya shahidi kwamba hataki kutoa ushahidi inapaswa kutolewa mbele ya Mahakama, si nje ya ukumbi wa Mahakama.
Aidha, Matata ametumia masharti ya Katiba na Sheria za Tanzania kueleza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria kwa sababu ya cheo chake, akiwemo DCI, IGP au CDF. Amesema kutokutii wito wa Mahakama kunaweza kuibua suala la kuidharau Mahakama.
Ameongeza kuwa jambo linalotia uzito zaidi ni Mahakama kufunga ushahidi wa Lissu bila, kwa mtazamo wake, kuchukua hatua au kujiridhisha kikamilifu kuhusu utekelezaji wa wito uliotolewa kwa mashahidi hao.
Matata amesema hali hiyo inaweza kuibua hoja katika rufaa endapo Lissu atatiwa hatiani, kwa sababu upande wa utetezi unaweza kudai kuwa haukupewa fursa ya kusikilizwa kikamilifu kama inavyotakiwa na Katiba. Kwa maoni yake, hoja hiyo inaweza kutumika kupinga uhalali wa hukumu endapo itaonekana kuwa taratibu za msingi za kumpa mshtakiwa haki ya kusikilizwa hazikufuatwa.
Kwa nini DCI, IGP na CDF wasiitwe na mahakama kwa interest ya mahakama (ya kupata ukweli) sasa kwa sababu hapa kuna maisha ya mtu yapo hatarini kuondolewa iwapo Lissu hatapata nafasi ya kuwahoji?Jaji alimualika mshtakiwa ili shahidi wake apande kizimbani....,mshatakiwa akatoa maelezo ya kwamba shahidi wake hayuko tayari na ameelezwa mashahidi wake wote waliobakia hawatokuwa tayari.
Mshtakiwa kwa kinywa chake akaomba kufunga ushahidi wake na kujiandaa na final submission.
Kama ni makosa kayafanya mshitakiwa mwenyewe na kama ni uenyeji na mzaha amefanya yeye mwenyewe.
Namuonea huruma mshtakiwa kwani angekubali kuwa na Jopo la mawakili wa kumtetea.
N.B :Kingai hakuitwa na mahakama kwa interest ya mahakama aliombwa na mshtakiwa kuja kumtetea na unapoombwa yapo mambo mawili tu ukubali au ukatae....
Wapo walioletwa mahakamani kama mashahidi wa watoa mashtaka wakitokea upande wa (DCI,CDF,IGP n.k) na walihojiwa vilivyo na mshtakiwa ...kwa hiyo kama ni ukweli mahakama ilishaupata na ndio maana ilitoka stage ya kusikiliza awali na ikamkuta mshtakiwa ana kesi ya kujibu.Kwa nini DCI, IGP na CDF wasiitwe na mahakama kwa interest ya mahakama (ya kuoata ukweli) sasa kwa sababu hapa kuna naisha ya mtu yapo hatarini kuondolewa iwapo Lissu hatapata nafasi ya kuwahoji?
Huoni kuwa mahakama inajitengenezea mazingira ya kulalamikiwa kuwa mshtakiwa hakupata haki?
Mahakama inaendaje kutoa hukumu wakati kuna gaps za ushahidi kwenye utetezi?
Anayeshitakiwa ni Lissu, lakini kinachotakiwa ni haki.
Lissu juw ampole na kukubali kuendelea bika ushahidi wake kukamilika haimaanishi mahakama ikibali.
Hata polisi wanaposimamia haki, mtu kukubali tu kaua bila ushahidi haina maana anafunguliwa mashitaka, inawezekana amechujua kesi ya nwingine, inabidi ushahidi ukamilike.
Mahakama imejiwekea mazingira ya kulalamikiwa kuwa haijasimamia haki, bila kujaki kuwa Lissu amekubali au hajakubali maneno ya Kingai.
Kuna haja ya mahakama kulazimisha DCI, IGP, CDF kuja kutoa uahahidi mahakamani, kesi hii ni muhinu hivyo.
Vinginevyo, mahakama itaonekana kuwa inajipanga na watawala na kuendesha kesi kwa matakwa yao, kwa amri kutika juu tu.Kutaka kumnyonga Lissi bika ya kumoa haki ya kuhoji mashahidi wake. Inawaacha watu muhimu waliotakiwa kutoa ushahidi wakatae kuja mahakamani.
Hii ni kesi inahotakiwa kufanywa kwa umakini mkubwa sana iki haki si tu itendeke, bali pia ionekane kuwa imetendeka.
Hapa angalau muonekano ni kuwa watu wa serikali wana interest ya kuona Lissu ananyongwa bila kujali haki, na mahakama inawasaidia kufanya hilo, bila kujali Lissu kasema nini.
Jaji angeweza kusema kuwa kesi hii ni muhimu sana kwa shahidi kukataa kuja mahakamani kwa namna hii, tunampa summons ya mahakama aje, hata kama anakataa akatae on record.
Hakufanya hivyo.
Hutakiwi kusema kama ni ukweli mahakama ilishauoata wakati kuna mashahidi hawajahojiwa.Wapo walioletwa mahakamani kama mashahidi wa watoa mashtaka wakitokea upande wa (DCI,CDF,IGP n.k) na walihojiwa vilivyo na mshtakiwa ...kwa hiyo kama ni ukweli mahakama ilishaupata na ndio maana ilitoka stage ya kusikiliza awali na ikamkuta mshtakiwa ana kesi ya kujibu.
Mahakama haikukosa ufafanuzi(expert opinion ) kuhusu jambo lililobishaniwa na hivyo haikuwa na haja ya kulazimisha yoyote aje kwa interest hiyo.
Mshtakiwa alikuwa na kikosi chake cha mashahidi aliotarajia watamtetea ....mashahidi wale kumgeuka au kukataa kumtetea sio kosa la mahakama na sio wajibu wa mahakama kurefusha muda kubembeleza mashahidi iwe wa mshtakiwa au washtaki waje kusaidia upande flani.
Labda Lissu angewaita kama mashahidi wa kificho maana ni wazi wana hofu ya kusimama mbele ya mahakama na umma kutetea mashitaka dhidi ya Lissu.Kwa nini DCI, IGP na CDF wasiitwe na mahakama kwa interest ya mahakama (ya kupata ukweli) sasa kwa sababu hapa kuna maisha ya mtu yapo hatarini kuondolewa iwapo Lissu hatapata nafasi ya kuwahoji?
Huoni kuwa mahakama inajitengenezea mazingira ya kulalamikiwa kuwa mshtakiwa hakupata haki?
Mahakama inaendaje kutoa hukumu wakati kuna gaps za ushahidi kwenye utetezi?
Anayeshitakiwa ni Lissu, lakini kinachotakiwa ni haki.
Lissu kuwa mpole na kukubali kuendelea bila ushahidi wake kukamilika haimaanishi mahakama ikubali.
Hata polisi wanaposimamia haki, mtu kukubali tu kaua bila ushahidi haina maana anafunguliwa mashitaka, inawezekana amechukua kesi ya nwingine, inawezekana ana matatizo ya akili, inabidi ushahidi ukamilike.
Mahakama imejiwekea mazingira ya kulalamikiwa kuwa haijasimamia haki, bila kujali kuwa Lissu amekubali au hajakubali maneno ya Kingai.
Kuna haja ya mahakama kulazimisha DCI, IGP, CDF kuja kutoa uahahidi mahakamani, kwa maslahi ya haki na umma, kesi hii ni muhimu hivyo.
Vinginevyo, mahakama itaonekana kuwa inajipanga na watawala na kuendesha kesi kwa matakwa yao, kwa amri kutoka juu tu. Kutaka kumnyonga Lissu bila ya kumpa haki ya kuhoji mashahidi wake. Inawaacha watu muhimu waliotakiwa kutoa ushahidi wakatae kuja mahakamani.
Hii ni kesi inayotakiwa kufanywa kwa umakini mkubwa sana ili haki si tu itendeke, bali pia ionekane kuwa imetendeka.
Hapa angalau muonekano ni kuwa watu wa serikali wana interest ya kuona Lissu ananyongwa bila kujali haki, na mahakama inawasaidia kufanya hilo, bila kujali Lissu kasema nini.
Jaji angeweza kusema kuwa kesi hii ni muhimu sana kwa shahidi kukataa kuja mahakamani kwa namna hii, tunampa summons ya mahakama aje, hata kama anakataa akatae on record.
Hakufanya hivyo.
Lissu aliitisha mashahidi wake wa utetezi ikiwemo kina Mnyika,Heche na hatimaye Kingai et AlHutakiwi kusema kama ni ukweli mahakama ilishauoata wakati kuna mashahidi hawajahojiwa.
Kila shahidi anatakiwa kusikilizwa. Kwa sababu shahidi mmoja tu anaweza kubadilisha kesi nzima.
Ukweli kwamba mshtakiwa ana kesi ya kujibu si ukweli kwamba mshtakiwa ana hatia, kwa sababu mshtakiwa naweza kupatikana na kesi ya kujibu halafu katika kesi akaonekana hana hatia, unachanganya mambo mawili tofauti.
Pia, Lissu hajawaita mashahidi wamtetee, ukisema hivyo tu unaonekana huelewi hii kesi, humuelewi Lissu na huelewi ushahidi huu ulikuwa katika strategy gani.
We fauler tuambie rais wako wa 2030 yuko wapi?mtuhumiwa hakua na mashahidi wa kumtetea, hata kutoka kwenye chama chake tu walishindwa kumtetea na badala yake walimkaanga na kumsagia kunguni zaidi ili apigwe kitanzi.
Na hukumu itakayotoka ni halali kabisa.
Na huyo mwanasheria matata nimempenda sana,
kwasababu amekua mkweli sana kwamba Tundu Lisu anakwenda kukutwa na hatia, atahukumiwa kwenda jela maisha na kunyongwa hadi kufa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, ingawa hukumu hii matata anadai itakua batili.
Afadhali amekiri muungwana kufugwa 🐒
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka na vitu useless nje ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi 🐒We fauler tuambie rais wako wa 2030 yuko wapi?
Suala zima la mashahidi wa kificho lina mjadala mrefu sana.Labda Lissu angewaita kama mashahidi wa kificho maana ni wazi wana hofu ya kusimama mbele ya mahakama na umma kutetea mashitaka dhidi ya Lissu.
Labda kama haki hiyo ya mashahidi wa kificho mshitakiwa hana, jambo ambalo linaleta maswali kuhusu usawa wa haki kati ya mshtaki na mshtakiwa.
Point nzuri nimekuelewa. Tuondoe suala la hao watatu na tukiacha mjadala mzima wa uhalali wa mashahidi wa kificho, je mshtakiwa ana haki ya kuwa na shahidi wa kificho kama ambavyo Jamhuri wamepewa haki hiyo?Suala zima la mashahidi wa kificho lina mjadala mrefu sana.
Kwa mfano, kama mtu ana haki ya kuhoji credibility ya shahidi, shahidi wa kificho utamuhoji vipi credibility yake kama hata humjui?
Pia, tuseme DCI, CDF na IGP wana agenda ya kisiasa kutaka Lissu anyongwe, hawataki haki, unafikiri nafasi ya kuwa shahidi wa kificho ndiyo ingebadilisha nia yao hiyo?
Tatu, point nzima ya Tundu Lissu ni kuwaweka DCI, IGP na CDF kama mashahidi, wajibu maswali kwa vyeo vyao hivyo, sasa hapo ukiwaweka kama mashahidi wa kificho tutajuaje hawa ni DCI, IGP na CDF? Lissu atawaulizaje maswali specific aliyo nayo kwa DCI, IGP na CDF kama hao mashahidi ni wa kificho?
Yani kwa mfano kama Lissu ana swali linaloanza na "Kwa majukumu yako kama IGP...." swali kama hilo utamuuliza vipi shahidi wa kificho ambaye hajulikani kuwa ni IGP?
Workout, Eating healthy, 8+ Sleeping na enjoy J3 15km J5 15km Friday 15km J2 20km +4.8KTRS of water Per Day Gym Daily na enjoy sanaMkubwa bado hujaacha roho mbaya tu? Bado unapata na kufurahia fedha za umwagaji wa damu?
Hizo fedha ipo siku zitaishia kwenye matibabu ya kansa .
You are barking at the wrong tree.Shida ya hawa wanasheria uchwara ni kila mtu kuwa na tafsiri yake. Huyu poyoyo kaandika hisia zake.siyo uhalisia. Ramadhani Kingai, DCI alifika mahakamani ndiko walikokubaliana na Lissu, sasa huyu kanjanja anazungumzia mahakama ipi, kwa hiyo walikutana wapi? Acha kupotosha watu, halafu mheshimu nafasi za hao viongozi wakuu wa dola kwa kutumia visheria vyenu mlivyokariri mtake kuwadunisha, kuwadogosha, acheni, viongozi wakuu wa dola siyo wa kuwaletea.mazoea ya kipuuzi, hao ni roho ya nchi yetu.
Ingekuwa enzi la Magu hakuna hata jaji angetoa summons ya *******
Kwangu hoja nzima ya shahidi wa kificho inaondoa haki ya mtu kumuhoji shahidi sawasawa.Point nzuri nimekuelewa. Tuondoe suala la hao watatu na tukiacha mjadala mzima wa uhalali wa mashahidi wa kificho, je mshtakiwa ana haki ya kuwa na shahidi wa kificho kama ambavyo Jamhuri wamepewa haki hiyo?
Kama hicho kigezo cha watu kuitwa mahakamani kuwa mashahidi wakakataa na mshtakiwa akawekwa huru na Mahakama, basi asingelikiwapo mtu jela.Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kunaweza kuwa sababu ya msingi katika hatua za rufaa na kufanya hukumu ya kesi hiyo ionekane batili kwa madai ya kutokufuata utaratibu wa kisheria.