Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Ila rais yeye alipora tu uchaguzi na kufanya mauaji.Kesi kaitafuta mwenyewe Rais Samia hakumtuma !
Ila rais yeye alipora tu uchaguzi na kufanya mauaji.Kesi kaitafuta mwenyewe Rais Samia hakumtuma !
Nimekuelewa vizuriKwangu hoja nzima ya shahidi wa kificho inaondoa haki ya mtu kumuhoji shahidi sawasawa.
Lakini, tukiondoa hilo na kuangalia mlinganyo unaousema, tukiondoa hoja hiyo kwamba shahidi wa kificho anaondoa haki fulani:-
Ukishakubali uwezekano wa kuwapo kwa shahidi wa kificho kwa upande wa Jamhuri, kimsingi hutakiwi kukataa kuwapo kwa shahidi kama huyo upande wa mshitakiwa. Kukubali shahidi wa hivyo kwa upande mmoja na kukataa kwa upande mwingine hakuwezi kuepuka tafsiri ya kwamba fursa hiyo imetolewa kwa upendeleo kwa upande mmoja.
Baada yav usema hayo nasisitiza kuwa kwa kesi hii shahidi wa kificho inaonekana hawezi kubadilisha mengi kwa sababu nikizozitaja awali hususan kwa kuwa hawa mashahidi wana nia ya kuhakikisha Lissu anapatikana na hatia, hivyo kuwa shahidi wa kificho haitasaidia lolote.
Hao wakuu wa dola wao ni kupokea tu amri za kufanya mauajiShida ya hawa wanasheria uchwara ni kila mtu kuwa na tafsiri yake. Huyu poyoyo kaandika hisia zake.siyo uhalisia. Ramadhani Kingai, DCI alifika mahakamani ndiko walikokubaliana na Lissu, sasa huyu kanjanja anazungumzia mahakama ipi, kwa hiyo walikutana wapi? Acha kupotosha watu, halafu mheshimu nafasi za hao viongozi wakuu wa dola kwa kutumia visheria vyenu mlivyokariri mtake kuwadunisha, kuwadogosha, acheni, viongozi wakuu wa dola siyo wa kuwaletea.mazoea ya kipuuzi, hao ni roho ya nchi yetu.
Ingekuwa enzi la Magu hakuna hata jaji angetoa summons ya *******
We poyoyo tu acha kubwabwaja na kutafuta defence mechanism.Point ni kwamba mshtakiwa ana haki ya kuwaita mashahidi anaowataka, na mahakama kushindwa kumpa haki hiyo kunaleta hoja ya hukumu batili.
Kuwa na kesi ya kujibu ni kitu komoja, kupatikana na hatia ni kitu tofauti. Mtu anaweza kuwa na kesi ya kujibu halafu akaonekana hana hatia.
Suppose Lissu ana kesi ya kujibu, lakini kuna maswali ambayo Lissu akimbana DCI, IGP au CDF yataonesha Lissu hana hatia. Lissu kutopata nafasi ya kuwahoji mashahidi hao kinamnyima nafasi yake ya kuonesha hana hatia.
Hivyo, hata akipatikana na hatia, bila ya kupata nafasi ya kuwahoji hao mashahidi wake (ambao pengine angewahoji angethibitisha hana hatia) hukumu ya hatia hiyo itakuwa na doa. Doa ni kwamba imepatikana bila kumpa Lissu fursa ya kuwahoji mashahidi wake, na hapo ndipo wakiki anaongelea suala la hukumu batili.
The judgement can be challenged as being null and void.
Huelewi wapi hapo?
Kama hujui tulia tu ndugu yangu.Kwani lissu aliwaita kwa nafasi zao?
Huyu wakili matata anadhani majaji hawakuridhika na ushahidi uliotolewa na mashahidi mbalimbali mahakamani?
Kwangu mimi umuhimu wa mashahidi kama DCI,IGP na CDF ulikuwa kabla ya hukumu ya kuwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu....hadi mahakama ikafikia hukumu ya kuwa ana kesi ya kujibu ilijiridhisha na ushahidi uliowasilishwa.
Sio kazi au wajibu wa IGP,DCI au CDF kusema uhaini ni nini....kwani uhaini umetajwa na sheria.
Sio kazi au wajibu wa IGP,DCI au CDF kusema kuwa jamhuri imekosewa....Jamhuri inatetewa na katiba sio watu au vyeo....
Huwezi kuiita Jamhuri ije kuthibitisha kuwa ilitishika....bali ushahidi ndio utaonesha kuwa Jamhuri iliathiriwa na matamshi,matendo na harakati zako za kihaini.
Hata wasiojua huruhusiwa kutoa maoniKama hujui tulia tu ndugu yangu.
Wala jamaa hakuwataja hao eti ili waje kumtetea,kama unawaza hivyo umepotea vibaya mno.Shahidi ambaye hata hamjuani? Unamwitaje kwenye kesi yako eti rafiki yangu mtu kakukataa big time kuwa siyo rafiki yake kifupi Jahazi limezama.
This is a logical fallacy. The fallacy is called ad hominem.We poyoyo tu acha kubwabwaja na kutafuta defence mechanism.
Aliyeitaarifa mahakama siyo aliyeitwa na Mahakama,hilo unapaswa ulizingatie. Hao mashahidi hawakuitwa na LISSU,Mahakama ndiyo imewaita.Mahakama haikumnyima fursa hiyo na isitoshe mahakama ilimpendelea kwa kumuandalia summons ili mashahidi wake waje....yeye mwenyewe ameitaarifu mahakama kuwa hajafikia muafaka na mashahidi wake...na alifunga utetezi. Mahakama imekuwa na upendo uliopitiliza kwani haikutakiwa kuwalazimisha mashahidi wa utetezi kuja kwa interest ya mshtakiwa.....(Mahakama sio mama huruma)
Mahakama ingekuwa na uhitaji wa ufafanuzi zaidi kwa interest ya majaji ingealika(summons) mashahidi wengine zaidi ambao wapo.
Wewe unajifanya mjuaji sana. We are watching you very closeKesi kaitafuta mwenyewe Rais Samia hakumtuma !
Kama unajua vile..Mtego.
Hii noma kwa kweliAliyeitaarifa mahakama siyo aliyeitwa na Mahakama,hilo unapaswa ulizingatie. Hao mashahidi hawakuitwa na LISSU,Mahakama ndiyo imewaita.
Lkn DCI yeye karipoti kwa LISSU, hakuripoti kwa waliomuita!
Rostam;mutu yoyote anaweza piga simu huyu usimpe hukumuWacha tusubiri mahakama za simu, zitaamua nini, maana huwa wanasubiri simu zipigwe tu.
Kazi ipo.
Sijui.Kama unajua vile..
Eti mtego
Mtu usiyemfahamu? Vipi ufurahie akihukumiwa kunyongwa? Akili za vinyesi hizi?Shahidi ambaye hata hamjuani? Unamwitaje kwenye kesi yako eti rafiki yangu mtu kakukataa big time kuwa siyo rafiki yake kifupi Jahazi limezama.
Hizi ndio habari ninazopenda kuzisikia.Kesi imeishia hapo kaka, usiwe na hofu wala mashaka...
Hata saa mbovu, kuna wakati husema muda kwa usahihi..
Hawa Majaji chini ya Danstan Nduguru sio wajinga wakubali kujiingiza kwenye laana ya watu wachache waovu walioamua kumuumiza binadamu mwenzao bila kosa lolote...
Kwa ushahidi ulioletwa mahakamani na DPP hauthibitishi kwa namna yoyote kosa la uhaini hata kwa 0.000001% tu...!!!
Kwa hiyo, hii iko obvious kabisa kuwa, Tundu Lissu is not guilty of anything....!
Amini tu..
Hiyo siku nitafurahi sana saaana.Kwani hujui kuwa hayo ya kuwa na kesi ni majibu ya Samia na ccm yake. Lengo la ccm toka enzi zake ni kumuua Lissu ila kila anaepanga anaenda yeye na Samia ajipnge akimtia hatiani, Samia RIP.
aWe poyoyo tu acha kubwabwaja na kutafuta defence mechanism.