Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Mbona unashindwa kuwa na utulivu? Heshimu mawazo ya mtu halafu huu mjadala tunafundishana sio mada ya majukwaa ya chitchatWe poyoyo tu acha kubwabwaja na kutafuta defence mechanism.
Mbona unashindwa kuwa na utulivu? Heshimu mawazo ya mtu halafu huu mjadala tunafundishana sio mada ya majukwaa ya chitchatWe poyoyo tu acha kubwabwaja na kutafuta defence mechanism.
Sio Suala la kufahamiana ni Suala la una taarifa Gani muhimu ya kuweza kuamua kesi.Shahidi ambaye hata hamjuani? Unamwitaje kwenye kesi yako eti rafiki yangu mtu kakukataa big time kuwa siyo rafiki yake kifupi Jahazi limezama.
Kingai hakufika mahakamaniBado tunaendelea kudanganywa asa wale wasiojua sheria vizuri.Kuongea nadharia bila kuweka ata kifungu cha sheria ni upepo tu,, Matata akasome CPA 145 na 150(O3)
Ameingiza mahakama kwenye mtegoKwa hiyo lissu kuridhia kufunga ushahidi wake alikosea?
Inategemea ni mashahidi wa aina ganiKama hicho kigezo cha watu kuitwa mahakamani kuwa mashahidi wakakataa na mshtakiwa akawekwa huru na Mahakama, basi asingelikiwapo mtu jela.
Mnajitahidi nyie. Ila mnamwangamiza mwenzenu. Mana hamtaki kuamini naye ni binadamu na aweza kukosea.Ameingiza mahakama kwenye mtego
Tulia lugha ya kistaarabu.We poyoyo tu acha kubwabwaja na kutafuta defence mechanism.
Tumia lugha ya kistaarabuWe poyoyo tu acha kubwabwaja na kutafuta defence mechanism.
Wewe ungekaa kimya. Hujui kazi ya DCI na DPP ni ipi ila unajifanya mjuaji.Hata wasiojua huruhusiwa kutoa maoni
Wewe umeitwa na mahakama ila siku ya kesi hutokezei unaishia nje. Huo ni mtego kwa mahakama iliyomuita. Sema tu mahakama zetu ni za kijingaKama unajua vile..
Eti mtego
Hivi mahakama ikitoa summons kwa shahidi na shahidi akagoma kuja kutoa ushahidi utamlaumu vipi mtuhumiwa? Punguzeni upofu wa uchama muangalie mambo kwa uhalisia.Mnajitahidi nyie. Ila mnamwangamiza mwenzenu. Mana hamtaki kuamini naye ni binadamu na aweza kukosea.
Yaani huyo kubwa la majinga na majinga menzake yasipoelewa huu mchango wako, basi hayo hata yapelekwe motoni hayawezi tena kuhisi chochote.Point ni kwamba mshtakiwa ana haki ya kuwaita mashahidi anaowataka, na mahakama kushindwa kumpa haki hiyo kunaleta hoja ya hukumu batili.
Kuwa na kesi ya kujibu ni kitu komoja, kupatikana na hatia ni kitu tofauti. Mtu anaweza kuwa na kesi ya kujibu halafu akaonekana hana hatia.
Suppose Lissu ana kesi ya kujibu, lakini kuna maswali ambayo Lissu akimbana DCI, IGP au CDF yataonesha Lissu hana hatia. Lissu kutopata nafasi ya kuwahoji mashahidi hao kinamnyima nafasi yake ya kuonesha hana hatia.
Hivyo, hata akipatikana na hatia, bila ya kupata nafasi ya kuwahoji hao mashahidi wake (ambao pengine angewahoji angethibitisha hana hatia) hukumu ya hatia hiyo itakuwa na doa. Doa ni kwamba imepatikana bila kumpa Lissu fursa ya kuwahoji mashahidi wake, na hapo ndipo wakiki anaongelea suala la hukumu batili.
The judgement can be challenged as being null and void.
Huelewi wapi hapo?
Jaji alimualika mshtakiwa ili shahidi wake apande kizimbani....,mshatakiwa akatoa maelezo ya kwamba shahidi wake hayuko tayari na ameelezwa mashahidi wake wote waliobakia hawatokuwa tayari.
Mshtakiwa kwa kinywa chake akaomba kufunga ushahidi wake na kujiandaa na final submission.
Kama ni makosa kayafanya mshitakiwa mwenyewe na kama ni uenyeji na mzaha amefanya yeye mwenyewe.
Namuonea huruma mshtakiwa kwani angekubali kuwa na Jopo la mawakili wa kumtetea.
N.B :Kingai hakuitwa na mahakama kwa interest ya mahakama aliombwa na mshtakiwa kuja kumtetea na unapoombwa yapo mambo mawili tu ukubali au ukatae....
Mahakama haikuhitaji ufafanuzi wa Majitu yenye madaraka makubwa kuthibitisha au kubatilisha kitu .....Mahakama imepata ushahidi na utetezi wa kutosha kuhusu kesi hiyo ...na kama ingekuwa inauhitaji wa ziada ingesema ....
Watu wengi hapa hawaelewi shahidi kisheria ina maana gani na aina tofauti za mashahidi.Ni wapi Lissu alisema Kingai ni rafiki yake.?
Shahidi amekuja na Lissu mwenyewe kakiri. Au Lissu kaidanganya Mahakama?Hivi mahakama ikitoa summons kwa shahidi na shahidi akagoma kuja kutoa ushahidi utamlaumu vipi mtuhumiwa? Punguzeni upofu wa uchama muangalie mambo kwa uhalisia.
Lissu keshawatetea mashahidi na ameridhia maelezo yao.Wewe umeitwa na mahakama ila siku ya kesi hutokezei unaishia nje. Huo ni mtego kwa mahakama iliyomuita. Sema tu mahakama zetu ni za kijinga
Watu wengi hapa hawaelewi shahidi kisheria ina maana gani na aina tofauti za mashahidi.
Wanarukia mada tu kwa ueleea wao finyu wa sheria na mantiki.
Halafu Watanzania wengi wana tatizo la kujifanya wajuzi wa kila kitu.
Yani mtu hata hajui shahidi kisheria maana yake ni nini, halafu anataka kuikosoa strategy ya Tundu Lissu mwanasheria wa siku nyingi, rais wa TLS, mwenyekiti wa chama cha upinzani.
Lengo la shahidi kuitwa katika kesi ni nini wewe kilaza pamoja na ukoo wako wote?Wala jamaa hakuwataja hao eti ili waje kumtetea,kama unawaza hivyo umepotea vibaya mno.
Hongera kwa kumiliki akili nyingi mkuu!Lengo la shahidi kuitwa katika kesi ni nini wewe kilaza pamoja na ukoo wako wote?