funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Contents za summons unazo?Aliyeitaarifa mahakama siyo aliyeitwa na Mahakama,hilo unapaswa ulizingatie. Hao mashahidi hawakuitwa na LISSU,Mahakama ndiyo imewaita.
Lkn DCI yeye karipoti kwa LISSU, hakuripoti kwa waliomuita!