Wakili Dickson Matata: Hukumu inaweza kuwa batili, mahakama haikumsaidia mshitakiwa kuwaleta mashahidi wake.

Nimekuelewa vizuri
 
Hao wakuu wa dola wao ni kupokea tu amri za kufanya mauaji
 
We poyoyo tu acha kubwabwaja na kutafuta defence mechanism.
 
Kama hujui tulia tu ndugu yangu.
 
Aliyeitaarifa mahakama siyo aliyeitwa na Mahakama,hilo unapaswa ulizingatie. Hao mashahidi hawakuitwa na LISSU,Mahakama ndiyo imewaita.

Lkn DCI yeye karipoti kwa LISSU, hakuripoti kwa waliomuita!
 
Shahidi ambaye hata hamjuani? Unamwitaje kwenye kesi yako eti rafiki yangu mtu kakukataa big time kuwa siyo rafiki yake kifupi Jahazi limezama.
Mtu usiyemfahamu? Vipi ufurahie akihukumiwa kunyongwa? Akili za vinyesi hizi?
 
Hizi ndio habari ninazopenda kuzisikia.
 
Kwani hujui kuwa hayo ya kuwa na kesi ni majibu ya Samia na ccm yake. Lengo la ccm toka enzi zake ni kumuua Lissu ila kila anaepanga anaenda yeye na Samia ajipnge akimtia hatiani, Samia RIP.
Hiyo siku nitafurahi sana saaana.
 
Mtuhumiwa amesema anao mashahidi 11, ili umhukumu mpe nafasi sikiliza mashahidi wake ndipo umhukumu kwa haki...kati ya 11 wewe unasikili 5 alafu unaenda kuamua...kwani hiyo ni kesi ya kuiba kuku kwa jirani😄. Mimi najua hapo hakuna kesi imeisha hiyo,..vyovyote itakavyoamuliwa, hakuna kesi mbele ya sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…