TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!

Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Akili za kiuwehu hizi.
Kwani ukifa kwa Corona au nemonia ni aibu ?!. Nafikiri mchambe kwa ulimi kabisa [emoji107]
 
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!

Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
Kweli nimeamini ukisemacho, wale wa daladala ambao ndiyo wengi bado wanaendelea na maisha wala hawana wasiwasi
 
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!

Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
Inaitwa Propaganda...yani rona ya bongo unaikuta jamiiforums, insta, WhatsApp kila baada ya wiki hivi kutokea mikoa tofauti tofauti...mtaani haionekani
 
Kwahiyo huyu alikuwa mtu mashuhuri?
 
Daaah pumzika kwa amani rafiki/ndugu hakua na baya na mtu ,alikua mtu poa sana.hii sjui nemonia/corona inamaliza watu afu serikali imekaa kimya tuu watu wanazidi kuteketea.
 
Inashangaza sana zamani NIMONIA ulikuwa ni ugonjwa wa watoto wachanga awamu ya TANO imefanya mabadiliko NEMONIA imekuwa ugonjwa wa wazee na wenye magonjwa nyemelezi.
Ha ha ha
 
Mkuu inamaana unaipongeza serikali au
Wacha niipongeze awamu ya kishindo kwa kubadili ugonjwa wa pneumonia kuwasumbua watoto wadogo hadi kuuhamisha kuwa ugonjwa wa wakubwa
 
Inashangaza sana zamani NIMONIA ulikuwa ni ugonjwa wa watoto wachanga awamu ya TANO imefanya mabadiliko NEMONIA imekuwa ugonjwa wa wazee na wenye magonjwa nyemelezi.
Kinachosaidia watoto wasishambuliwe na huu ugonjwa ni chanjo ya nyumonia wanayopewa wakiwa wadogo...

Leo kuna mtu anasema ati chanjo za mabeberu ni feki lah!!
 
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!

Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
Huwa inaanza hofu baada kusoma habari ambayo inapandisha au kushusha presha halafu kifua kinabana.
 
Kinachosaidia watoto wasishambuliwe na huu ugonjwa ni chanjo ya nyumonia wanayopewa wakiwa wadogo...

Leo kuna mtu anasema ati chanjo za mabeberu ni feki lah!!
OK,ila nilim quote vibaya mkuu akisema tuepuke chanjo chanjo hizo.
 
Mkuu.
 
Hapa wanatangaza watu wenye majina. Mtaani kwetu wiki iliyopita walizikwa 4. Na hao wa design hii ndiyo wengi sana. Hivyo wa kima cha chini wamekufa sana tu. Mfano kijijini kwetu ninaowajua ni 5 na taarifa zao haziko humu. Hivyo ili kuwa na figure halisi ni ufanye usafiti. Na usafiti wake ni ngumu sana maana hakuna atakayethubutu kutoa taarifa kutoka mahospitalini. Hivyo tumebaki kudangantwa ni Pneumonia badala ya kutaja kabisa Covid 19 na 21. Kwa nini tunahadhaa wananchi?
 
Wale punguani waliokuwa wanasema kuwa Corona ni mafua kama mafua mengine wako wapi?
 
Washakufa wabunge,mawaziri na hadi rais mstaafu. Kama akili kukaa sawa basi ingekuwa ishakaa kwa kifo cha Mkapa rais mstaafu ila wapi,sasa wewe unafikiri ni hadi nani afe?
 
Wale punguani waliokuwa wanasema kuwa Corona ni mafua kama mafua mengine wako wapi?

Hawa ni baadhi ya watu waliyowahi kuugua Covid-19 na wakapona.

Anna Mghwila.

Mwana FA.

Salam SK.(meneja wa Diamond?)

Mtoto wa Magufuli.

Mtoto wa Mbowe.

Na sasa Maalim seifu amejitangaza kuumwa Covid-19, tunaimani atapona pia
 
Daaaa inauma sana kusoma koote huko ananza kula matunda ya elimu yake ghafla ang'ata shuka kama utani.
R.i.p wakili mwenyezi mungu akupumzishe panapostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…