Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Akili za kiuwehu hizi.ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!
Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Kwani ukifa kwa Corona au nemonia ni aibu ?!. Nafikiri mchambe kwa ulimi kabisa [emoji107]