Wakili Getrude LHRC: Kutembea bila Nguo sio kosa Kisheria

Wanaume wa Kweli tunashida sana humu Duniani,labda tuondolewe macho ila tukiona upaja kitu lazima mnara usome 5G.
 
Kama kweli wanaheshimu mila zao kwanini basi wakitoka huko wakienda mijini wanaacha hizo mila na tamaduni zao? Ndiyo maana nakwambia ni ujinga tu au hata kushindwa kununua hizo nguo zenyewe lakini wanajificha kwenye mila.
Usipeleke mila zenu kwenye kabila jingine, ukiwa kwa waha ishi kiha, ukiwa kwa wahaya ishi kihaya, ukiwa kwa waisilamu usipeleke kitimoto.
 
"Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili.

Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio kosa kisheria kwamba huyu mtu ametembea uchi, sio kosa.

Kwahiyo inapofikia hatua mtu anasema nguo wanazovaa wanawake zinawashawishi wanaume wawabake sio kweli" - Wakili Getrude Dyabene, Kutoka Kituo Cha sheria na haki za Binadamu (LHRC)
Voluntary and malicious manhood exposure to the public is a criminal offence., Kwa hiyo hali hiii inapelekea mtu anayetembea bila kuvaa nguo awe na makosa kisheria, japo kutembea bila nguo si kosa kisheria
 
"Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili.

Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio kosa kisheria kwamba huyu mtu ametembea uchi, sio kosa.

Kwahiyo inapofikia hatua mtu anasema nguo wanazovaa wanawake zinawashawishi wanaume wawabake sio kweli" - Wakili Getrude Dyabene, Kutoka Kituo Cha sheria na haki za Binadamu (LHRC)
wanawake wenzangu sijui tunafeli wapi?
Kuna writen and unwritten laws.
Uana harakati unawaharibu hawa watoto waliovamia law.
Huyu mtoto akiulizwa anaweza kutembea bila chupi na brazia siku nzima hata kama amevaa gauni?
 
Acha utani wa majivuno, watoto wote duniani walitembea na wanatbea uchi, ungewahi kuishi kando ya ziwa usingekuwa unabisha pia kumjibu mwanasheria huyu mtajie kifungu cha sheria ambacho huenda yeye hakijui.
Mimi nimekwambia sijawahi kutembea uchi wala wanangu hawajawahi kutembea uchi halafu unasema ni majivuno? Sasa unadhani kila mtu anaishi kanda ya ziwa?
 
Hakuna mtoto ambaye hakuwahi kutembea uchi.
 
Hawa ndio wanasheria wa Tanzania

Udhani hata anaelewa definition ya ‘Public Nuisance’ uwezi kujifanyia vitu ambavyo vinawakera watu.

Akasome penal code ya Tanzania Chapter XVII, article 170 definitions za ‘common nuisance’.

Hawa ndio aina ya watu ambao wakifeli ‘bar exams’ utasikia wanalalamika foul.
 
Hata UN wanajua hivyo. Kuna mataifa yenye Mila zao na namna yao ya uvaaji ambayo sisi itatuacha hoi lakini kwao ni kitu cha kawaida kabisa. Muoneni mmoja wa wawakilishi toka Papua New Guinea hapo chini:
IMG_20240116_172307.jpg
 
"Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili.

Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio kosa kisheria kwamba huyu mtu ametembea uchi, sio kosa.

Kwahiyo inapofikia hatua mtu anasema nguo wanazovaa wanawake zinawashawishi wanaume wawabake sio kweli" - Wakili Getrude Dyabene, Kutoka Kituo Cha sheria na haki za Binadamu (LHRC)
Angeanza yeyeatembee uchutuone kama atashikawa
 
Lengo ya maelezo yoote ni kutetea wanawake wanavaa vibaya kwamba hawavunji Sheria na kufanya hivyo ni uhuru wao zero kibasa.
 
Back
Top Bottom