Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
😂😂😂😂😂Tatizo lako umejichimbia Kinondoni na kudhani dunia yote iko kama Kinondoni, tembelea Gugo uone nchi ambazo zina watu hawajui kuvaa nguo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Tatizo lako umejichimbia Kinondoni na kudhani dunia yote iko kama Kinondoni, tembelea Gugo uone nchi ambazo zina watu hawajui kuvaa nguo.
Usipeleke mila zenu kwenye kabila jingine, ukiwa kwa waha ishi kiha, ukiwa kwa wahaya ishi kihaya, ukiwa kwa waisilamu usipeleke kitimoto.Kama kweli wanaheshimu mila zao kwanini basi wakitoka huko wakienda mijini wanaacha hizo mila na tamaduni zao? Ndiyo maana nakwambia ni ujinga tu au hata kushindwa kununua hizo nguo zenyewe lakini wanajificha kwenye mila.
Voluntary and malicious manhood exposure to the public is a criminal offence., Kwa hiyo hali hiii inapelekea mtu anayetembea bila kuvaa nguo awe na makosa kisheria, japo kutembea bila nguo si kosa kisheria
"Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili.
Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio kosa kisheria kwamba huyu mtu ametembea uchi, sio kosa.
Kwahiyo inapofikia hatua mtu anasema nguo wanazovaa wanawake zinawashawishi wanaume wawabake sio kweli" - Wakili Getrude Dyabene, Kutoka Kituo Cha sheria na haki za Binadamu (LHRC)
kuna vitu vinachekesha sanaKama sio nyoka ungekuta tunatembea zetu uchi fresh kabisa. Ukipata mchumba kabla haujasema Yes or no unapima ni inch ngapi kabisa.
wanawake wenzangu sijui tunafeli wapi?
"Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili.
Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio kosa kisheria kwamba huyu mtu ametembea uchi, sio kosa.
Kwahiyo inapofikia hatua mtu anasema nguo wanazovaa wanawake zinawashawishi wanaume wawabake sio kweli" - Wakili Getrude Dyabene, Kutoka Kituo Cha sheria na haki za Binadamu (LHRC)
Mimi nimekwambia sijawahi kutembea uchi wala wanangu hawajawahi kutembea uchi halafu unasema ni majivuno? Sasa unadhani kila mtu anaishi kanda ya ziwa?Acha utani wa majivuno, watoto wote duniani walitembea na wanatbea uchi, ungewahi kuishi kando ya ziwa usingekuwa unabisha pia kumjibu mwanasheria huyu mtajie kifungu cha sheria ambacho huenda yeye hakijui.
Hakuna mtoto ambaye hakuwahi kutembea uchi.Mimi nimekwambia sijawahi kutembea uchi wala wanangu hawajawahi kutembea uchi halafu unasema ni majivuno? Sasa unadhani kila mtu anaishi kanda ya ziwa?
Angeanza yeyeatembee uchutuone kama atashikawa