Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kibatala kumshinda kwake ni uwe unasema ukweli pindi anapokuuliza maswali yake. Sasa kama ukweli wenyewe ndo unakufunga basi itakula kwakoAna upeo mkubwa sana, akikuuliza swali lake usipojibu anavyotaka atamuongezea part B,C, na D ndani ya muda mfupi bila shahidi kutegemea mpaka aingie kingi.
Huyu mtu ni mbaya sana kwa hawa jamaa zangu waliokaririshwa majibu ya kutoa mahakamani, kwa hali hii wataugua sana bora wakubali yaishe.