bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Maamuzi yepi hayo ya wananchi yaheshimiwe?TUMEKATAA mkataba fake wa Bandari,
Viongozi ni WAAJIRIWA wetu, wanalipwa Kwa Kodi zetu,
Waheshimu maamuzi ya wananchi.
Kama wana majeshi au hawana hayo yatajuilikana huko huko mahakamaniwana majeshi hata wapindue nchi?
Maamuzi ya kukataa, kuibinafsisha, kuuza,kukodisha au kugawa Bure Bandari zetu.
Kosa la uhaini halina dhamanaNa je kosa la uhaini lina dhamana??
yaani umepoteza muda wako kabisa kuandika upuuzi huu?Kama wana majeshi au hawana hayo yatajuilikana huko huko mahakamani
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Uandishi wako hauling Ani na huo umri... Wacha kutuingiza mjini.Duh
Wameshtakiwa leo Jumapili?!
Ikumbukwe mambo haya ya Uhaini huambatana na Njaa na Dhiki Kuu, si dalili njema
Nilikuwa Katumba Bar Kinondoni mkwajuni Wakati Tamimu alipofanya Uhaini 1980s, si jambo la kuombea kwa kweli
Wawakilishi wenu ambao ni wabunge sii tayari wamesharidhia huo uwekezaji wa Bandari na mahkama pia imebarikiMaamuzi ya kukataa, kuibinafsisha, kuuza,kukodisha au kugawa Bure Bandari zetu.
Tunaweza kuziendesha wenyewe maana Nchi imekopa matrilioni, hivyo kumleta mwekezaji asotoa hata 100 mbovu Si sahihi.
Kama CCM na sirikali wameshindwa kuendesha wapishe.
Sasa na wewe ndio umeandika nini?yaani umepoteza muda wako kabisa kuandika upuuzi huu?
Hatuna wawakilishi bungeni, uchaguzi uliporwa, hata kiongozi mkuu hatukumpigia kura.🙏🙏Wawakilishi wenu ambao ni wabunge sii tayari wamesharidhia huo uwekezaji wa Bandari na mahkama pia imebariki
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya ujinga? Unajua maana ya upuuzi? Unajua Magufuli alisema ni mtu kichaa tu atakayekubali masharti ya mkataba wa aina hiyo? .Hatuwezi tukaruhusu upuuzi, ujinga n.k
Na maneno mengineyo mfano wa hayo!
Wewe hoja yako iko wap?Hii ndio hoja yako?
Hao jamaa especially adv mwambukusi walijenga hoja nzuri sana za kisheria tatizo lilianzia pale kauli za kejeli, dharau kwa mamlaka kisha kutoa threats kitu ambacho ukikifumbia macho kinaweza kuwa na effect kubwa baadae.Mahakama zipi, hizi hizi zinazopigiwa simu moja? Ingekuwa mahakama za Kenya au kimataifa hapo kungekuwa na mahakama. Sio hizi mahakama za majaji wa mchongo.
Kwa taarifa yako hata wangejenga hoja vizuri vipi, na hata ikibidi kuwalamba miguu hao viongozi, bado hoja zao zisingefanyiwa kazi. Hiyo kujifanya eti lugha za kejeli ni kupatia sehemu ya kuchomokea tu.Hao jamaa especially adv mwambukusi walijenga hoja nzuri sana za kisheria tatizo lilianzia pale kauli za kejeli, dharau kwa mamlaka kisha kutoa threats kitu ambacho ukikifumbia macho kinaweza kuwa na effect kubwa baadae.
Duuh!
Kosa lao kubwa ni kuwa wakristo na kupinga waislamu kutoka Zanzibar kuuza bandari za Tanganyika kwa waarabuKupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa...
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Pia soma > Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam
View attachment 2716177
Mmmmm hakuna uhaini vipi alieuza bandari....na anayetetea rasilimali ya vizazi ? Labda sio dunia hii....Mungu ataamua ugomvi huu ....sababu yupo na yu hai
Twende tu ,ila tegemea majitu anza anguka misiri ya kuku mwenye kideli , Mungu sio mwanadamKupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa...
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Pia soma > Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam
View attachment 2716177