Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

Anatafuta kiki hana lolote huyo
 
We unaona huyu ni mwanasiasa? Huyu ni mtetezi wa rasilimali za taifa, kitu ambacho Magu alikipigania hadi anakufa.

Mambo sijui ya demokrasia aliwaachia wanasiasa.
Kwani lisu alipigwa risasi akiwa anatetea nn ? Wizi wa kura wa ccm? Au hujui maana ya rasilimali na maslahi ya taifa
 
Umenikumbusha enzi za pyupyu!
 
Kama Magufuli angefufuka tungemuuliza kaburi la Ben Saanane liko wapi???
Hilo ni swala jingine, ambalo hata mimi ningependa kujua.

Hapa linazungumziwa hili la mali za waTanzania kunadiwa, au umesahau mada inasemaje?

Na kwa bahati nzuri mleta mada ni wewe mwenyewe!

Ni katika mtiririko huo huo wa mawazo niliyotoa kuhusu jibu alilotoa mkuu 'Sheiza'; wewe hapo kama mwanafunzi wangu ungeambulia F moja kwa moja, kwa kuchanganya mambo yasiyohusika.

Sasa sijuiutasemaje?
 
Yangemkuta nibas ashkuru kipindi hiki anaweza apone
 


Mpigie, agenda inaibua watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…