Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
- Thread starter
- #81
Wewe unajikuta mwalimu wa kugawa F kwa watu wenye mawazo yao makubwa na wamekuzidi tafsida??Hilo ni swala jingine, ambalo hata mimi ningependa kujua.
Hapa linazungumziwa hili la mali za waTanzania kunadiwa, au umesahau mada inasemaje?
Na kwa bahati nzuri mleta mada ni wewe mwenyewe!
Ni katika mtiririko huo huo wa mawazo niliyotoa kuhusu jibu alilotoa mkuu 'Sheiza'; wewe hapo kama mwanafunzi wangu ungeambulia F moja kwa moja, kwa kuchanganya mambo yasiyohusika.
Sasa sijuiutasemaje?
Hakuna nilicho changanya sema ubongo wako ni mdogo kugundua tafsida yangu.
Bandari "iliyouzwa" kama mnavyodai itarudishwa mara moja baada ya Samia kutoka madarakani. Lakini huwezi kurudisha maisha ya wale Magufuli aliwaua na kuwajeruhi. Tundu Lissu hawezi kutembea kama zamani.
Ndiyo hapo nauliza je huyu Bingwa wa kutetea raslimali za Taifa Mwabukusi, alikuwa hamuoni Magufuli aliua na kuteka watu? Au akijenga miundombinu mikubwa bila ruhusa ya Bunge kwao Chato?