johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni sawa na Zanzibar Waislamu wakiongea useme wanaongiza mambo ya diniHapo mnapoingiza mambo ya dini ndipo mara zote mnapojipiga Mtama halafu mnalalamika
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Siyo Mwakubusi bali ni Mwabukusi"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
Hata hicho Chama tawala Kiko madarakani kwa sababu za kihistoria tu, na katiba inayokibeba sio nje ya hapo. Na Wala hakipo hapo kwa ubora.Wafuasi wa Mbowe hawataki kukubali huu ukweli. Kwasasa Tanzania Hakuna upinzani, tuna magenge ya utapeli.
Kazi ya Wakili imekwisha kamilika.
Tunashukuru Wakili Msomi kwa kupeleka Mjadala ule wa Bandari kwa namna ile hadi kufikia hitimisho lile
najivunia kuwa CCM ambayo tangu kuanza kwake imekuwa mbele ya muda kwny mijadala yote inayotishia umoja na mshikamano wa Taifa
Chadema pia inathamini sana amani kwa kuwa inajua bila ya amani hakuna ruzuku
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Mwabukusi, si MwambukusiHaya aliyoyasema ni sahihi kabisa, hili tunaliona wananchi lakini je, tufanyaje? Mwambukusi hana chama lakini kiukweli namkubali sana. Hivyo sauti ya huyu mwamba itaeleweka pasipokuwa na chama!?
.mjadala ulikuwa wa Wakili msomi wa sakata la Bandari kusema vyama vyote ni mshamba ya kukusanyia ruzuku, sasa hapo Waislam waliingiaje kwny huu mjadala ?Ni sawa na Zanzibar Waislamu wakiongea useme wanaongiza mambo ya dini
Wakiitisha maandamano mtatoka?au mnataka Mbowe na familia yake wawapiganie mkiwa kwenye keybord? Wajinga nyieThank you for just knowing the truth, "fedha fedha fedha" Hakuna cha kukomboa nani wala nani maslahi tu.
Wakili Msomi na Mtetezi wa Tanganyika huru na Bandari zetu anasema vyama vyote vya Upinzani ni vitalu vya kuwindia Maokoto ya RuzukuUmejaa dharau na kebehi. Shauri zako.
Yupo sahihi 100%.Umesikia upinzani ukiongelea mgao wa umeme unaondelea?Umesikia upinzani ukipinga vikali mkataba wa bandari?Hii serikali ni ya ovyo kuwahi kutokea lakini upinzani upo kama haupo.
Upinzani nani kakuambia ni chama? Kule Sudani Maandamano ya kumung'oa Alibashiri hayakuanzishwa na Vyama vya upinzani.Haya aliyoyasema ni sahihi kabisa, hili tunaliona wananchi lakini je, tufanyaje? Mwambukusi hana chama lakini kiukweli namkubali sana. Hivyo sauti ya huyu mwamba itaeleweka pasipokuwa na chama!?
Mkuu Chadema ni Genge la matapeli. Na uelewe mimi sio CCM.Saizi Chadema ni tawi kificho la CCM ndio maana huwezi kuta wako na wananchi kupambana juu ya udharimu wa CCM.Mbowe na genge lake wamefeli, bora kije chama kingine cha upinzani. Haiwezekani Nchi yenye upinzani imara tukawa tunalala giza huku utawala unakuja na hoja za kipuuz.Tapeli mwenyewe. Unahangaika na CHADEMA kuliko wezi wa ripoti ya CAG.
Ukweli mchungu"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
Mwanasiasa akiitisha maandamano na watu wasitoke ajue fika hana ushawawishi na haaminiki.Wakiitisha maandamano mtatoka?au mnataka Mbowe na familia yake wawaoiganie mkiwa kwenye keybord? Wajinga nyie
Upinzani ni Ideology, sio Chama,Kama vyama vimechoka na Ideologt vipi?Unataka Mbowe na Familia yake Waandamane nyie mkiwa Majumbani?Yupo sahihi CCM imechokwa na wananchi lakini wamekatishwa tamaana vyama mbadala. Kwa matukio ya Sasa kuanzia mfumko wa Bei, tatizo la umeme na mengineyo ni chama kipi kinayazungumzia?
Pimbi wewe Upinzani sio Mbowe ni Ideology,Unataka Mbowe aandamane kuwatetea wapumbavu kama wewe?Wafuasi wa Mbowe hawataki kukubali huu ukweli. Kwasasa Tanzania Hakuna upinzani, tuna magenge ya utapeli.
CCM iko madarakani kutokana na udhaifu wa upinzani uliopo. Na CCM itatawala milele kama aina hii ya upinzani inatendelea kuexist. Now CCM ina mtaji wa wananchi wajinga na upinzani uchwara.Hata hicho Chama tawala Kiko madarakani kwa sababu za kihistoria tu, na katiba inayokibeba sio nje ya hapo. Na Wala hakipo hapo kwa ubora.
Ni NCCR Mkuu - Hana chama kivipi?Haya aliyoyasema ni sahihi kabisa, hili tunaliona wananchi lakini je, tufanyaje? Mwambukusi hana chama lakini kiukweli namkubali sana. Hivyo sauti ya huyu mwamba itaeleweka pasipokuwa na chama!?
Upinzani ni nani?tuanzie hapo,Kama hawaongelei kwa nini wewe usiongelee Mkuu? Unataka Mbowe na familia yake watoke wabebe mabango waandamane kupinga mgao wa umeme? Nyie mkiwa kwenye keybord?Yupo sahihi 100%.Umesikia upinzani ukiongelea mgao wa umeme unaondelea?Umesikia upinzani ukipinga vikali mkataba wa bandari?Hii serikali ni ya ovyo kuwahi kutokea lakini upinzani upo kama haupo.