Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

Ukiona kapewa kesi ujue kuna ukweli, na uzuri mahakama zao ziko huru sio kama hizi za hapa kwetu.

Migodi inalindwa kwa mikataba ya kisheria, na vyombo vya Dola ndio vina wajibu huo. Ama umewahi kuwoona uvccm wnanalinda migodi na bandari? Au umeishiwa na utetezi nini mzee?
 
Kwa taazima nakuomba uunde chama mbadala cha upinzani mimi nitakuwa nyuma yako. Kumbuka tuna wanachama wa CHADEMA ambao wamefukuzwa uanachama sababu ya kuapishwa kinyume cha katiba ya nchi. Je, utakiitaje chama chako? Je, hutachukua ruzuku serikalini au ukiingia bungeni hutachukua per DM. ??Nipashe ili nikuungemkono.
 
Chadema walikuwa wanatembea nae mtaani huyu Mwamba dah
 
maridhiano hataki japo hayo maridhiano ndio yamepeleka Malimbikizo ya ruzuku ya 2 billion kutolewa na Serikali nae akarudi kuyatafuna.

Kupigwa Risasi sio kigezo kuwa huwezi kuhongwa

pengine alikuwa anahongwa kumsumbua hayati JPM tutajuaje ?

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Lisu ni mwanasiasa tapeli kwa sasa
 
CCM iko madarakani kutokana na udhaifu wa upinzani uliopo. Na CCM itatawala milele kama aina hii ya upinzani inatendelea kuexist. Now CCM ina mtaji wa wananchi wajinga na upinzani uchwara.
Kwa taarifa yako watu sio wajinga tena, ww zungumzia uoga na sio ujinga. Iwapo vyombo vya Dola vitaendelea kuamini ccm ndio chama chenye hati miliki ya nchi hii, basi ccm itaendelea kukaa madarakani kwa mbeleko ya vyombo vya Dola.
 
Upinzani inataka maslai ya wananchi yawe mbele.Leo wananchi tunalia peke yetu utasema hatuna upinzani. Ukweli lazima usemwe, hatuna upinzani bali genge la wahuni
 
Ccm haipo smart kama mnavyo exaggerate hapa. Ilikua on defensive all that time alafu unasema ilikua ahead of matters?
 
anaanza kujifelisha mapema kwa kuwachokoza na kuanzisha vita na wanasiasa. come on adv.utakwama. dr slaa anakumisslead
Ndio mtajua kuwa hamjui,CDM ni lini watajifunza?wamepelekwa resi na Wakili Mwambukisi bila hata ya kushtuka ,haya sasa kashawapondo vibaya
 
Vyama vya upinzani mbona vipo vingi , sio Chadema tu
 
Ndio mtajua kuwa hamjui,CDM ni lini watajifunza?wamepelekwa resi na Wakili Mwambukisi bila hata ya kushtuka ,haya sasa kashawapondo vibaya
huu ni ule mchezo wa kuharibu ili tukose wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…