Nimemsikiliza ila hoja ya Pili kuwa matokeo yalianza kutangazwa huko nje kwenye mitandao
Nimjulishe tu kuwa, watu kwa asilimia 90% walimpa nafasi mwabukusi hivyo, alichokisikia ni kuwa watu hutoa machapisho ya kuhisi ili kupata viewer na wala sio kweli matokeo yalitoka
Angekuwa anafuatilia mitandao ya jamii angejua hiyo ni kawaida
Fuatilia mpira wa timu kama Yanga na mtimbwa, mpira hata hauja anza una anza kuona machapisho kama, yanga yaifunga mtibwa tatu bila nk nk nk ni kawaida
Hiyo hoja ya kuongeza karatasi kwa waliokosa alitakiwa aseme ili adhirije matokeo; mfano zilichapishwa nyingi? nk nk kwani kuiweka tu hivyo inaweza kuwa ni hoja ila sioni kama ina uzito wa kubatilisha matokeo
MIMI SIO MWANASHERIA!