Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS

Haya aliyosema ndio ccm huwa inayafanya kila wakati wa uchaguzi mkuu wa wabunge na Raisi. Kama hii kesi yake akishinda, ccm watakuwa na kibarua kigumu huko mbele ya safari... mwisho akubali, asiyekubali kushindwa si mshindani...
 
Kwanza amshukuru Mungu kupata nafasi ya kugombea kiti kimoja na Kajunjumele Mwabukusi lakini wala haikuwa saizi yake ameachwa mbali sana huyu
 
Hatutaki chawa na ajue tu ndio ataanguka vibaya na kale kaheshima kalikobaki katapururuka kote. Hivi kweli uwe mwanaccm halafu utegemee kupata kura za wenye akili TLS? MWAMBIENI ATAFUTE KAZI NYINGINE.
 
haki
 
haki imeshinda tuache nan
 
Hii mistari imenifanya nicheke!

Huyu Bwana kawa kwenye upinzani toka lini; maana anazungumza lugha ile ile wanayo itumia wapinzani mika yote dhidi ya CCM!
Kama kuna ukweli wowote katika madai yake, itanifanya leo niwahimize vyama vya upinzani kuhakikisha dawa ile ile wanaitumia tena hivi karibuni.
 
Kwahyo bwana Nkuba endapo utaenda mahakamani mwenyewe kueleza Hilo jambo lako bila kuhusisha hao mawakili wako vipi mahakama itashindwa kukupa haki Yako?? Mahakama zetu ziko huru kutoa haki bila kubagua kwahyo Hilo shauli lako lisimamie mwenyewe na kama uko bize kausha.
Na kama mahakama zetu haziwezi kutoa haki bila uwepo wa mawakili mahakamani basi Rais atoe namna ya kuwasaidia watu ambao watashindwa kumudu gharama za kuwapata mawakili wa kusimamia kesi zao pindi wanapokuwa wanakabiliwa na mashitaka mahakamani ili iwe rahisi kwao kupatiwa haki.
 
Nkuba atulie Mbona inamuuma Sanaa akubali kushindwa asubirie next time
Mwizi akihisi kuibiwa inauma sana c CCM huyo au? Wanavyoibaga na yeye kusaport ushindi eti wa kishindo Huwa anajisikiaje? Kama wakala wake ndo katoa taarifa kabla tutaaminije?. Huyo atakuwa katoa mulungula watu wamepiga na kura wamemnyima! Inauma hiyo balaaaaa! Hiyo kesi hata mimi naweza kumshinda! Siyo kazi ya mitandao kutangaza matokeo kama aliyepost kabet na kapatia anashangaa nn? Ataje mtandao wa kwanza alioona yeye umetoa matokeo kabla ya matokeo. Na siku alipoulizwa mshindi akitangazwa atakubali mbona alisema atakubali. Atulie tu dawa iingie. Walifanya figisu Mwabukusi aenguliwe wakachemka. Bado haridhiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…