msouzi wa kingoni
Senior Member
- May 6, 2017
- 150
- 226
Mwambieni amfuate msigwa baada yakupigwa chini Kanda ya nyasa akahama chama so nkuba nenda TAMWA Huku huwezi kuwa kiongoziNkuba,wahenga walishasema":..asiekubali kushindwa sio mshindani..."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambieni amfuate msigwa baada yakupigwa chini Kanda ya nyasa akahama chama so nkuba nenda TAMWA Huku huwezi kuwa kiongoziNkuba,wahenga walishasema":..asiekubali kushindwa sio mshindani..."
Au Lumumba wampe tena Ukuu wa Wilaya.Mwambieni amfuate msigwa baada yakupigwa chini Kanda ya nyasa akahama chama so nkuba nenda TAMWA Huku huwezi kuwa kiongozi
Haya aliyosema ndio ccm huwa inayafanya kila wakati wa uchaguzi mkuu wa wabunge na Raisi. Kama hii kesi yake akishinda, ccm watakuwa na kibarua kigumu huko mbele ya safari... mwisho akubali, asiyekubali kushindwa si mshindani...Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi.
Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Nkuba amesema ameshawasiliana na wanasheria wake ili kwenda kupinga ushindi wa Mwabukusi mahakamani.
"Mojawapo ni kuona karatasi za kupigia kura kuisha na kwenda kuchapishwa zingine, kufanyiwa vurugu na kusambaa taarifa mitandaoni ushindi wa mpinzani wangu kabla ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi," amesema Nkuba
Katika uchaguzi huo uliofanyika Jana na matokeo yake kutangazwa usiku, Wakili Nkuba alizidiwa zaidi ya kura 400 na mpinzani wake Wakili Mwabukusi ambaye alitangazwa kuwa mshindi.
Namshauri jamaa akatafute haki yake mahakamani.
hakiAliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi.
Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Nkuba amesema ameshawasiliana na wanasheria wake ili kwenda kupinga ushindi wa Mwabukusi mahakamani.
"Mojawapo ni kuona karatasi za kupigia kura kuisha na kwenda kuchapishwa zingine, kufanyiwa vurugu na kusambaa taarifa mitandaoni ushindi wa mpinzani wangu kabla ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi," amesema Nkuba
Katika uchaguzi huo uliofanyika Jana na matokeo yake kutangazwa usiku, Wakili Nkuba alizidiwa zaidi ya kura 400 na mpinzani wake Wakili Mwabukusi ambaye alitangazwa kuwa mshindi.
haki imeshinda tuache nanAliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi.
Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Nkuba amesema ameshawasiliana na wanasheria wake ili kwenda kupinga ushindi wa Mwabukusi mahakamani.
"Mojawapo ni kuona karatasi za kupigia kura kuisha na kwenda kuchapishwa zingine, kufanyiwa vurugu na kusambaa taarifa mitandaoni ushindi wa mpinzani wangu kabla ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi," amesema Nkuba
Katika uchaguzi huo uliofanyika Jana na matokeo yake kutangazwa usiku, Wakili Nkuba alizidiwa zaidi ya kura 400 na mpinzani wake Wakili Mwabukusi ambaye alitangazwa kuwa mshindi.
Ni kama daktari ana daktari wake, kinyozi ana kinyozi wake nk nk.Sikuwahi kujua mwanasheria ana mwanasheria wake!
Hii mistari imenifanya nicheke!Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Nkuba amesema ameshawasiliana na wanasheria wake ili kwenda kupinga ushindi wa Mwabukusi mahakamani.
"Mojawapo ni kuona karatasi za kupigia kura kuisha na kwenda kuchapishwa zingine, kufanyiwa vurugu na kusambaa taarifa mitandaoni ushindi wa mpinzani wangu kabla ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi," amesema Nkuba
Kwani hukuona connection kati ya Lissu na Kibatala?Sikuwahi kujua mwanasheria ana mwanasheria wake!
Ungejiuliza Jina la Mwabukusi limerudi vipi baada ya kuondolewa awali usingepelekwa na upepo huu wa tamko Uchwara!!Mdogomdogo, mara utasikia matokeo yametenguliwa. Kisha Mwabukusi anasususia uchaguzi wa marudio halafu Nkuba anapita kiulaini na kuwa rais wa TLS
Mwizi akihisi kuibiwa inauma sana c CCM huyo au? Wanavyoibaga na yeye kusaport ushindi eti wa kishindo Huwa anajisikiaje? Kama wakala wake ndo katoa taarifa kabla tutaaminije?. Huyo atakuwa katoa mulungula watu wamepiga na kura wamemnyima! Inauma hiyo balaaaaa! Hiyo kesi hata mimi naweza kumshinda! Siyo kazi ya mitandao kutangaza matokeo kama aliyepost kabet na kapatia anashangaa nn? Ataje mtandao wa kwanza alioona yeye umetoa matokeo kabla ya matokeo. Na siku alipoulizwa mshindi akitangazwa atakubali mbona alisema atakubali. Atulie tu dawa iingie. Walifanya figisu Mwabukusi aenguliwe wakachemka. Bado haridhiki.Nkuba atulie Mbona inamuuma Sanaa akubali kushindwa asubirie next time
Unaelewa maana ya neno "TETESI"??? Kilichotoka ni TETESI na si matokeo.Ni kweli matokeo ya uchaguzi yalitoka kabla kwamba Mwabukusi kashinda wakati hata kura hazikupigwa.