Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwanini usiseme tu,sitaoa mwanamke aliyezaa kwa operation? Maana Single mother siku hizi wananyanyasika sana, wanachukulia kama wao ni wa tofauti!

Mi nawapenda kinoma,wanawake zangu wote wana watoto na mimi ndio baba yao!
Bora mdakachozi upo upande wetu
 
Kwanini usioe aliyezaa kwa kisu?sababu za msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio single Mother tu, mwanamke yyte ambae ana mapenzi ya Kweli halaf akapata Partner ambae sio mwaminifu basi ni ngumu mno kuja kuamini tena. Ila wengine huwa wanapenda tena if mwanaume hato giveup na kumuaminisha kwa vitendo.
Uko sahihi ila kwa single mom huwa chance ni kubwa sana kozi kila akimuona mtoto kuna ishara katika fikra yake yaja... Tofauti na mwanamke ambaye alama ya maumivu ipo kichwani tyu lakin physical evidence haipo

Chief
 
mkuu naona unaongea kitu ambacho hukijui na hutokaa ukijue kwa sababu wewe sio mwanamke,kifupi tu omba sana mkeo au kikzazi chako chote cha wanawake wasikumbwe na ishu ya operation,vinginevyo quit hayo maneno yako coz hakuna mtu anayejiombea opearation au anayewish ajifungue kwa operation it just happens kama tu mwanaume anavyokumbwa na mshipa wa ngiri.
 
weeee why sasa?
 
Hapa sasa imegeuka battle kati ya kupush VS kuchanwa.
All in all muombe Mungu ujifungue salama kwa kusukuma kwani utakapofanikiwa tuu kujifungua salama yani mtt anapotoka na kulia tuu ng'aaaaaaa maumivu yoteeee yanaishia hapo na ni njia ambayo utapona haraka na kurudi kufaya kazi zako mapema. Nyie mnaosema ceser ndo nzuri mnakua mnapenda wenyewe au inatokeaga complictions tuu zinakupelekea kufanya hivyo?
 
@cajojo nimemalizia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…