Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Kupasha kiporo hakuhusiani na u single mother.Kwahiyo walioolewa wakiwa siyo single mothers ndiyo hawapashi viporo??
Sasa mbona unaita maswali ya kijinga Kama unajua ana Haki!?Anahaki lakini nimemwambia aanzishe mada inayohusu ya wanaume wahuni ataona tukija kuchambua bila hofu. Mada hii ni wanawake.
Sasa mbona unaita maswali ya kijinga Kama unajua ana Haki!?
Umeona jinsi haya mambo yanavyoenda sambamba!?
Kwahiyo mwanamke aliyezaa bila ndoa kwa kubakwa au akaja kufiwa na mumewe utamjuaje?? Kwani si anaamua kukudanganya tu kuwa alibakwa au mume wake alifariki?? Mnavyojisifia kuwa wanaume hamtumii hisia mnatumia akili sasa hizo akili sijui mnatumia wapi kama mnashindwa kuzitumia hata kwenye vitu vidogo kama hivi!! Nonsense tumieni tu hisia maana hata akili zimeshawashinda!!Mkuu suala la bikra lipo kama unavyolielewa wewe labda utake kujipotosha kama Marianah.
Kuhusu mwanaume yupi anayestahili bikra. Ni hivi. Mwanaume yeyote anayejielewa anastahili Bikra. Lakini asiyejielewa huyo anastahili mwanamke yeyote. Awe na bikra au asiwe na bikra twende.
Kibiblia. Mwanaume yeyote mwenye Anayetaka kuwa kuhani, mchungaji anatakiwa aoe mwanamke bikra. Hii ni lazima. Kwa kuwa kuhani ni lazima awe mtakatifu. Hawezi kujinajisi na Ukahaba wa mke wake.
Nakuja na andiko kuhusu jambo hilo.
Kuhusu nje ya mada.
Mada hii inahusiana na bikra kwa minajili kwamba Kama watu wangekubali kuolewa wakiwa nazo pasingekuwa na suala la single mother.
Kumbuka mada hii ukiitazama imejikita kwa mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa na kujikuta kuwa amekuwa single mother.
Mada hii ukiisoma unaweza elewa kuwa singlr mother aliyefiwa na mume wake hapewi lawama. Pia single mother aliyetalakiwa na mume wake hapewi lawama.
Mada inajikita kuwalaumu single mother waliozaa kabla ya ndoa na kutelekezwa.
Ndio hapo suala la bikra lilipojitokeza.
Jombaa mbona unalazimisha watu wale maparage wakati umewakuta wanakula pilau?
Nenda kafungue uzi wenye hiyo title unayoitaka kisha tutakuja kuchangia.
Wapo ila wachache.
Mada inazungumzia uzinzi wa Nani lakini Mkuu?
Niko poa mkuu shukrani nikukaribishe wewe tuendeleze mpambano maana mimi nimeanza muda mrefu ila nikutahadharishe tu jiandae kuitwa FEMINISTMarianah uko poa? Naona tumeamkia kujibu hoja za mijadala inayowanyanayasa karibu tuendeleze mpambano.....
Kwahiyo mwanamke aliyezaa bila ndoa kwa kubakwa au akaja kufiwa na mumewe utamjuaje?? Kwani si anaamua kukudanganya tu kuwa alibakwa au mume wake alifariki?? Mnavyojisifia kuwa wanaume hamtumii hisia mnatumia akili sasa hizo akili sijui mnatumia wapi kama mnashindwa kuzitumia hata kwenye vitu vidogo kama hivi!! Nonsense tumieni tu hisia maana hata akili zimeshawashinda!!
Ahaa haaaa haaaa ... Joka acha uoga!
Basi ni aidha hautuelewi au hautaki kutuelewa hakuna aliyetetea wanawake kuzaa bila ndoa ila tunachosema ni kwamba kwanini tendo linalohusisha jinsia mbili lawama ziende kwa jinsia moja eti kwa sababu tu jinsia moja ndiyo inaumia zaidi nyingine haiumii?? Tukiwaambia hivyo mnasema mwanamke hatakiwi kujilinganisha na mwanaume wakati hapa sisi tunajaribu kukemea maovu kwa jinsia zote kwa sababu tukishikia bango jinsia moja jinsia nyingine itajiona haina hatia na haihusiki kabisa kitu ambacho siyo kweli!!Heaven Sent comment yake iko so impartial na objective.
Yaani imelenga kila mahali bila kufunika funika madosari ya jinsia yoyote, tofauti na nyie wengine ambao tangu mnaanza kuchangia mada hii mna one-dimensional perspective.
Malizia na uasherati na kwa jibu hilo basi hata wewe ni malayaMalaya ni mwanaume au mwanamke anayefanya uzinzi.
HaswaaSidhani Kama mada Ni bikra.
Mada Ni single mama.
Kama hutaki Marianah aulize maswali yake unayoyaita ya kipumbavu Basi hata wewe usiongelee bikra.
Wanajamvi watanisaidia labda kama nina shida kwenye uelewa wangu au la...... tunachojadili ni hii mada. lakini upande wangu siafikiani asilimia zote na mtoa mada mosi, kuwa single mothers wote wana matatizo waingiapo kwenye ndoa zao na akichagiza wanaume wasithubutu kuwaoa. tena anaenda mbali zaidi akisema wanawake wanaostahili kuolewa ni wale bikra tu. Pili natoa mtizamo wangu mpana kuwa si single mothers tu waingiapo kwenye ndoa ndo huwa na matatizo ya kurudia mahusiano na wazazi wenzao bali pia hata wanaume waliobahatika kupata watoto na baadae kuoa wanawake wengine huwa na matatizo kama hayo pia japo nao si wote.Na mimi nimekujibu kwa hoja, hii mada inaongelea mienendo ya single mother anapokuwa ndoani na mwanaume ambaye si baba mtoto wake. Hivyo inategemewa ukija na michango yako itakuwa na mantiki sawia na kiini cha mada yenyewe.
Sasa wewe aidha kwa ujuaji wako au huruma ya single mothers unaanza tena kuleta habari za kubadilisha title ya mada!? Kwanini usifungue na wewe uzi wako ukiongelea hicho unachokitaka halafu tuje tuchangie pasipo kutoka nje ya mada?
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sana.. Mimi sitaki kubishana nae ndio maana nimemwacha tu.
KaribuAsante mkuu....
Malizia na uasherati na kwa jibu hilo basi hata wewe ni malaya
Paliwaka motoJuzi uliletwa uzi wa wanaume ambao hawajaoa hadi 40; weeeeeeeeeeeeee
Kama nafanya hayo ni kweli nitakuwa malaya.
Sasa nashangaa wewe unafanya uzinzi alafu ukiitwa Malaya unapasuka kama Pareto.
Ukitaka usiitwe mlevi acha pombe.
Ukitaka usiitwe mwizi acha wizi.
Ukitaka usiitwe malaya acha uzinzi.
Sasa mtu ametoa bikra kwa umalaya wake alafu akiambiwa ukweli anaviimba. Huo ni upuuzi.
Hayo ndio maisha Marianah. Ukitaka upewe heshima linda vya heshima. Ukitaka upewe majina ya matusi basi haribu vitu vya heshima.
Tobaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni undisputedly mwehu mbili kasoro