Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii


Tendo la ndoa limekatazwa kwa wote. Wote jehanam inawahusu, lakini wakijirudi mwanamke anabaki na madhara permanent.

Kwa mfano wako wa wezi, unapoonywa kwamba funga milango na madirisha unaposafiri, ama unapolala usiku, au usiwazoeshe wahuni kuingia ndani mwako wasije wakachora ramani ya kukuibia utanung'unika?? Utalalamika kwamba kwa nini msiwakemee wezi sisi tuishi kwa uhuru, tukiacha milango wazi, tukitembea na mamilioni mtaani? Ukifanya hayo ukaibiwa watu watakucheka wewe, sio wezi. Wataona kuwa uliyataka mwenyewe.
 
Mimi nasema wanaoumia ni wanawake sababu ya kiburi na ujuaji. Ukiona mwanamume anakuunga mkono kwenye mambo ya hovyo jiulize mara mbili.

Ndoa ni ya mwanamume, ukiuelewa huu msemo utaelewa uishije. Kuzaa hovyo nje ya ndoa halafu mnakimbiwa na waume, au wanazikataa mimba kwa vile baba haeleweki ni yupi vinamuumiza mwanamke. Wanawake mko kwenye disadvantage, playground haiko level.
 

1. Hapa siongelei "dhambi" bali jamii na maadili. Ukitaka niongelee dhambi, basi nimeshasema hilo linasameheka
lakini damage done.

2. Jamii za koafrika ambazo hazijastaarabika!! Nikushauri tu ujijengee utamaduni wa kufuatilia kinachoendelwa huko duniani. Kama unataka nikuwekee mabandiko ya maoni ya hao waliostaarabika kama hutotoa machozi. Kinachoendelea Afrika ni ulimbukeni na kudandia mila zisizotuhusu, tukijidanganya ndio ustaarabu. Bikira sio mitazamo ya kijamii, niuhalisia across the board!!

3. Maandiko yanasema anayepata madhara asiolewe
 
Kwahiyo wanaume wasilelewe katika maadili mema siyo?? Kwamba wanaume imeshindikana kabisa kuwaasa waache maovu ndiyo maana mnawakwepa au??
Soma comment niliyokuwa najibu. Majibu hutoka kutokana na maelezo yaliyotolewa.
 
Yaani umehama kwenye hoja kwa personal grievances. Hiyo jamii haipo,,ila maonyo yataendelea kuwepo na kweli itasemwa hata kama hampendi kuisikia. Kama unaonakuzaa hovyo ni sifa, its up to you lady.
 
Kuna kitu kinakula, dhamira yako inakushitaki, simple psychology.
 
Oohh I see kumbe na wewe ni mmoja wa wale wanaohangaika kusoma saikolojia za watu kupitia yale wanayoyaandika humu (hata kama kiuhalisia hawako hivyo)?? Okay umepata faida gani hadi sasa??
Faida ni kuelewa najadili na mtu wa aina gani, did I answer your question?
 
Biblia inasemaje kwani: mume mwema anatoka kwa Bwana au mke mwema anatoka kwa Bwana?
 
Ni sawa na jambazi ambaye hajashikwa na amefaulu kuwekeza kwenye biashara kubwa, hizo zinaitwa rare cases. Sihitaji kuzijadili kwani hoja ni too low.
 
Wishful thinking. Jaribu kutangaza wanawake wanaoumia kwa kutelekezaa uone kama utapata mahali pa kuwaweka. Imetokea hii!!
 
Kwahiyo mwanaume aliyemzalisha huyo mwanamke yeye ndiyo anapaswa kuoa mwanamke mwingine asiye na watoto si ndiyo??
Akitaka, kuzaa nje ya ndoa maana yake mwanamume hana malengo na mwanamke huyo, ama hajafikia maamuzi ya kumheshimisha kwa kumuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…