Upo sahihi kabisaAliyefiwa na mume akabaki analea mwenyewe haitwi single mother....yeye anaitwa single parent. Kwa ufafanuzi tu single mother ni aliyezaa nje ya ndoa na akabaki analea peke yake bila msaada wa mzazi mwingine lakini aliyeolewa akaachika au mume akafa huyu anaitwa single parent na watoto wanaolelewa na mzazi mmoja huu mfumo unaitwa single parenting
2 naumia unapoharibu nguvu zako hivi humu hakuna namna ya kumpigia Rebeca simu haaaaaaa embu njoo chemba nina.mistari yako ya kukutoa pangoni Usiku mwemaMy dear Rebecca acha kujibu ununio ana tofauti na kokoto si unajua kz ya kokoto
Kwa sababu wameacha asili yao wakafuata asili nyingine, hivyo mengi huwasonga na kuvumilia imewapasaHakuna mkamilifu wanawake wanavumilia mengi sana
2.Uko ulaya na Marekani wanafanya nini kwenye hii topic yako??au ndio umekosa cha kuongea?? lol kuna msemo unasema bora kukaa kimya uonekane mjinga kuliko kufungua mdomo wako..na ku prove ujinga wako..lol...siku ukiamua kujifunza utajiona ulivyokua unapuyanga JF,lol
Umepoteza mwelekeohalafu hio jamii ikioniona itafanyaje??
Jamaa amezikusanya likes za masingle mothers kama hana akili nzuri vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mixture na za wale sympathizers.View attachment 1229647
Hao ni trela tu,bado ambao hawaja like
na wale wanao pita kimya kimya
Acha kabisa hawa watu wana ka umoja kao
Japo hujaniuliza mimi, ila hapo jibu la swali lako ni ndio. Kwanini usitafute mwanaume wa kuanzisha nae familia unaenda kujipachika kwenye familia ya mtu!Mkuu kwahiyo unashauri hata mwanamke asiye na mtoto asikubali kuolewa na mwanaume mwenye mtoto kwa sababu mechi itaanza moja bila??
Heheheee yebaJapo hujaniuliza mimi, ila hapo jibu la swali lako ni ndio. Kwanini usitafute mwanaume wa kuanzisha nae familia unaenda kujipachika kwenye familia ya mtu!
Tatizo ni mitazamo ya kipumbavu tu ya jamii, ati mwenye ndoa ni mwanaume hivyo yeye ndiye anayechagua ila mwanamke hachagui anatakiwa kukubali yeyote tu anayemtongoza.Japo hujaniuliza mimi, ila hapo jibu la swali lako ni ndio. Kwanini usitafute mwanaume wa kuanzisha nae familia unaenda kujipachika kwenye familia ya mtu!
Umepoteza mwelekeo
Nilitaka waone usivyo na staha za kike, otherwise hii thread imekuumiza sana.Kama wewe ulivyopoteza wako..mpaka ukakimbilia kwa jamii for sympath
Usiseme tutaendelea kipinga, sema utaendelea kupinga,here is a reason for that as well.Mabinti epukeni kuwa single mothers, maintain your dignity. Wanaopinga humu kuna jambo limewagusa lakini ukweli utasimama
hata uhubiri ukiwa uchi masingle mothers wataendelea kuwepo!...tutaendelea kukupinga regardless umetugusa ama hujatugusa!...
Wote ni wewe tu mwenye id kibao. Whom do you think you are fooling, tunza uanamke wako. Simama kwenye nafasi yako otherwise unatoa signals fulani kwa jamiiPovu la nini? Huu upuuzi unaoongea mmeiga wapi? Be grown up!
povu liko wapi hapo?upuuzi ni kujifanya mjuaji...wakati wote tunakuona ulivyoingia chaka hahaaa
Nilitaka waone usivyo na staha za kike, otherwise hii thread imekuumiza sana.