Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Aliyefiwa na mume akabaki analea mwenyewe haitwi single mother....yeye anaitwa single parent. Kwa ufafanuzi tu single mother ni aliyezaa nje ya ndoa na akabaki analea peke yake bila msaada wa mzazi mwingine lakini aliyeolewa akaachika au mume akafa huyu anaitwa single parent na watoto wanaolelewa na mzazi mmoja huu mfumo unaitwa single parenting
Upo sahihi kabisa
 
My dear Rebecca acha kujibu ununio ana tofauti na kokoto si unajua kz ya kokoto
2 naumia unapoharibu nguvu zako hivi humu hakuna namna ya kumpigia Rebeca simu haaaaaaa embu njoo chemba nina.mistari yako ya kukutoa pangoni Usiku mwema
 
Rebeca 83,

Mabinti epukeni kuwa single mothers, maintain your dignity. Wanaopinga humu kuna jambo limewagusa lakini ukweli utasimama

2.Uko ulaya na Marekani wanafanya nini kwenye hii topic yako??au ndio umekosa cha kuongea?? lol kuna msemo unasema bora kukaa kimya uonekane mjinga kuliko kufungua mdomo wako..na ku prove ujinga wako..lol...siku ukiamua kujifunza utajiona ulivyokua unapuyanga JF,lol

Povu la nini? Huu upuuzi unaoongea mmeiga wapi? Be grown up!
 
Mkuu kwahiyo unashauri hata mwanamke asiye na mtoto asikubali kuolewa na mwanaume mwenye mtoto kwa sababu mechi itaanza moja bila??
Japo hujaniuliza mimi, ila hapo jibu la swali lako ni ndio. Kwanini usitafute mwanaume wa kuanzisha nae familia unaenda kujipachika kwenye familia ya mtu!
 
Japo hujaniuliza mimi, ila hapo jibu la swali lako ni ndio. Kwanini usitafute mwanaume wa kuanzisha nae familia unaenda kujipachika kwenye familia ya mtu!
Tatizo ni mitazamo ya kipumbavu tu ya jamii, ati mwenye ndoa ni mwanaume hivyo yeye ndiye anayechagua ila mwanamke hachagui anatakiwa kukubali yeyote tu anayemtongoza.
 
Mabinti epukeni kuwa single mothers, maintain your dignity. Wanaopinga humu kuna jambo limewagusa lakini ukweli utasimama

hata uhubiri ukiwa uchi masingle mothers wataendelea kuwepo!...tutaendelea kukupinga regardless umetugusa ama hujatugusa!...
 
Povu la nini? Huu upuuzi unaoongea mmeiga wapi? Be grown up!

povu liko wapi hapo?upuuzi ni kujifanya mjuaji...wakati wote tunakuona ulivyoingia chaka hahaaa
 
Usiseme tutaendelea kipinga, sema utaendelea kupinga,here is a reason for that as well.
 
Povu la nini? Huu upuuzi unaoongea mmeiga wapi? Be grown up!

povu liko wapi hapo?upuuzi ni kujifanya mjuaji...wakati wote tunakuona ulivyoingia chaka hahaaa
Wote ni wewe tu mwenye id kibao. Whom do you think you are fooling, tunza uanamke wako. Simama kwenye nafasi yako otherwise unatoa signals fulani kwa jamii
 
Nilitaka waone usivyo na staha za kike, otherwise hii thread imekuumiza sana.

Staha za kike unazifikisha kwa baraza la hukumu..hahaa childish,thread haijaniumiza naona umeacha umagharibi umeingia kwenye kuumiza.ungenijua ungejua sijaumia kwa lolote...
 
Back
Top Bottom