Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Upo sahihi kabisaAliyefiwa na mume akabaki analea mwenyewe haitwi single mother....yeye anaitwa single parent. Kwa ufafanuzi tu single mother ni aliyezaa nje ya ndoa na akabaki analea peke yake bila msaada wa mzazi mwingine lakini aliyeolewa akaachika au mume akafa huyu anaitwa single parent na watoto wanaolelewa na mzazi mmoja huu mfumo unaitwa single parenting