Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ukitaka kuoa single mother
1. Usisikie maneno ya watu

2. Usiwape nafasi ndugu, jamaa na marafiki wengi kwenye mahusiano yenu.

3. Uwe tayari kuvumilia maneno kutoka kwa watu waliotajwa hapo namba 2.

4. Fuata moyo wako na utathmini anavyokupenda mwenzako tu ili litakalotokea mbeleni liwe juu yako tu.
(a) Atakapokuwa mke mwema, waabike waliombeza na kukubeza pia.
(b) Atakapozingu au kujichanganya au kupasha kipolo, ujutie mwenyewe kwa stress.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
olym Mwanamke bora ni yule mwenye sifa za kuwa mke na mwanaume bora ni yule anayejiamini kwamba ana uwezo wa kummiliki mwanamke bora, akimuongoza katika njia sahihi, akimpenda, akimlinda akimtunza.
Siku hizi wanaume wengi wanaogopa wanawake, kuna wanaosema wanawake wamekua wasumbufu na bora wasioe kabisa na wapo wanaowaogopa wanaowaita single mothers kwa kuwa hawajiamini kama wanaweza kuwa bora kwao kuliko wale waliozaa nao, kuna wanaoogopa wanawake wenye kazi, kuna wanaoogopa wanawake wasomi n.k. huku wakisahau kwamba kwa asili ya uumbaji, imani na mila na desturi mwanaume yoyote makini mwenye akili hawezi kushindwa mwanamke.
Mliambiwa muishi na sisi kwa akili sasa ndio wakati wa kuanza kutumia akili yako kufanya maamuzi sahihi kuanzia kuchagua mke sahihi na kuishi nae
 
Mkuu SK2016 heshma yako
Ushauri wa kiume huu
 
Kiwanja chenye mgogoro[emoji3][emoji3].
Jenga tu mkuu,

Sasa hivi hajaolewa baba wa mtoto katulia, akisikia tu kaolewa anaanza.
[emoji23][emoji23]dah! Kuna wakati nilimpata dada mmoja "single mother "

Washkaji wakajua kama niko naye kwenye love.
Dah! Sikuamini yaani! Kila mtu alikuwa anatoa hoja yake na jina lake!
1. Single mother !
2. Kiwanja chenye migogoro!
3. Kwamba nanunua soda dukani iliyokwishfunguliwa!
4. Nanunua gazeti jioni!
5. Na mengine mengi.
Yaani kila mtu anatoa jina na kulitetea point yake. Nilibaki Naendelea naye kiroho ngumu sana.

Uzuri wa bahati dada alipata kazi mkoa mwingine na mawasiliano yakafubaa!

Kuanzia hapo, niliapa kutowaambia watu endapo nitapata mchumba ambaye ni single mother . Nitafanya uchunguzi wangu mwenyewe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika vizuri, maneno ni mazuri, utekelezaji sasa ndo shughuli. Kuna wanawake hata ungejifanya kidume wa namna gani bado wao vichomi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya single mothers wengi wanakua wadhaifu kwa wazazi wenzao ila ushauri wako ni mzuri sanA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maturity lines, hongera Mama D. no comments kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…