Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
hapo hakuna mgogoro.Navp kwaupande wapili mwanaume alikuwa na mtt nje akaja akaoa nacho hiko kiwanja kina mgogoro?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo hakuna mgogoro.Navp kwaupande wapili mwanaume alikuwa na mtt nje akaja akaoa nacho hiko kiwanja kina mgogoro?
Kuja kula na kumsifia kwamba amekuwa mtamu na anajua kukatikaKiwanja chenye mgogoro😀😀.
Jenga tu mkuu,
Sasa hivi hajaolewa baba wa mtoto katulia, akisikia tu kaolewa anaanza.
Ukitaka kuoa single motherHabari wana jamvi wa JF,
Twende moja kwa moja kwenye mada, miaka miwili nilikua mkoa X ambapo katika ujana nikapata mtoto wa kiume nilivyohama mkoa X na kuja mkoa Y...nikabaki kulea mtoto wangu aliyeko mkoa X.
Hilo sio tatizo wala sio lengo la uzi huu, miezi mitatu imepita nimeangukia kwa single mother katika mkoa Y na nashindwa kujichomoa kabisaaa na kila nikisoma thread za single mothers humu jamvini naishiwa nguvu ila huyu single mother yupo poa na inaonekana alipata pregnant kwa bahati mbaya...na ananipenda snaaa...
Ushauri, nimchukue single mother wa mkoa Y au ni bora nikomae na mwenzangu wa mkoa X japo kuna vitu anamiss kwa matumizi ya mke.
Ukiona niwamwage wote njoo PM..kwa KE only.
Karibuni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachukue wote uwapeleke mkoa Z kabisa, mkaishi na watoto
Mkuu SK2016 heshma yakoUkitaka kuoa single mother
1. Usisikie maneno ya watu
2. Usiwape nafasi ndugu, jamaa na marafiki wengi kwenye mahusiano yenu.
3. Uwe tayari kuvumilia maneno kutoka kwa watu waliotajwa hapo namba 2.
4. Fuata moyo wako na utathmini anavyokupenda mwenzako tu ili litakalotokea mbeleni liwe juu yako tu.
(a) Atakapokuwa mke mwema, waabike waliombeza na kukubeza pia.
(b) Atakapozingu au kujichanganya au kupasha kipolo, ujutie mwenyewe kwa stress.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]dah! Kuna wakati nilimpata dada mmoja "single mother "Kiwanja chenye mgogoro[emoji3][emoji3].
Jenga tu mkuu,
Sasa hivi hajaolewa baba wa mtoto katulia, akisikia tu kaolewa anaanza.
Umeandika vizuri, maneno ni mazuri, utekelezaji sasa ndo shughuli. Kuna wanawake hata ungejifanya kidume wa namna gani bado wao vichomi tuolym Mwanamke bora ni yule mwenye sifa za kuwa mke na mwanaume bora ni yule anayejiamini kwamba ana uwezo wa kummiliki mwanamke bora, akimuongoza katika njia sahihi, akimpenda, akimlinda akimtunza.
Siku hizi wanaume wengi wanaogopa wanawake, kuna wanaosema wanawake wamekua wasumbufu na bora wasioe kabisa na wapo wanaowaogopa wanaowaita single mothers kwa kuwa hawajiamini kama wanaweza kuwa bora kwao kuliko wale waliozaa nao, kuna wanaoogopa wanawake wenye kazi, kuna wanaoogopa wanawake wasomi n.k. huku wakisahau kwamba kwa asili ya uumbaji, imani na mila na desturi mwanaume yoyote makini mwenye akili hawezi kushindwa mwanamke.
Mliambiwa muishi na sisi kwa akili sasa ndio wakati wa kuanza kutumia akili yako kufanya maamuzi sahihi kuanzia kuchagua mke sahihi na kuishi nae
olym Mwanamke bora ni yule mwenye sifa za kuwa mke na mwanaume bora ni yule anayejiamini kwamba ana uwezo wa kummiliki mwanamke bora, akimuongoza katika njia sahihi, akimpenda, akimlinda akimtunza.
Siku hizi wanaume wengi wanaogopa wanawake, kuna wanaosema wanawake wamekua wasumbufu na bora wasioe kabisa na wapo wanaowaogopa wanaowaita single mothers kwa kuwa hawajiamini kama wanaweza kuwa bora kwao kuliko wale waliozaa nao, kuna wanaoogopa wanawake wenye kazi, kuna wanaoogopa wanawake wasomi n.k. huku wakisahau kwamba kwa asili ya uumbaji, imani na mila na desturi mwanaume yoyote makini mwenye akili hawezi kushindwa mwanamke.
Mliambiwa muishi na sisi kwa akili sasa ndio wakati wa kuanza kutumia akili yako kufanya maamuzi sahihi kuanzia kuchagua mke sahihi na kuishi nae
Maturity lines, hongera Mama D. no comments kabisa.olym Mwanamke bora ni yule mwenye sifa za kuwa mke na mwanaume bora ni yule anayejiamini kwamba ana uwezo wa kummiliki mwanamke bora, akimuongoza katika njia sahihi, akimpenda, akimlinda akimtunza.
Siku hizi wanaume wengi wanaogopa wanawake, kuna wanaosema wanawake wamekua wasumbufu na bora wasioe kabisa na wapo wanaowaogopa wanaowaita single mothers kwa kuwa hawajiamini kama wanaweza kuwa bora kwao kuliko wale waliozaa nao, kuna wanaoogopa wanawake wenye kazi, kuna wanaoogopa wanawake wasomi n.k. huku wakisahau kwamba kwa asili ya uumbaji, imani na mila na desturi mwanaume yoyote makini mwenye akili hawezi kushindwa mwanamke.
Mliambiwa muishi na sisi kwa akili sasa ndio wakati wa kuanza kutumia akili yako kufanya maamuzi sahihi kuanzia kuchagua mke sahihi na kuishi nae
Haha mwanaume haitakiwi ujifanye kidume, unatakiwa kuwa kidume haswa! Tena kwa akili na nguvu zako zoteUmeandika vizuri, maneno ni mazuri, utekelezaji sasa ndo shughuli. Kuna wanawake hata ungejifanya kidume wa namna gani bado wao vichomi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Una wazimu wewe....... Na sisi hatutaki single faza... Oeni mliowazalishahapo hakuna mgogoro.