Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wanaume kukwepa majukumu

Pia wanaume ni wachache na hao hao wachache Kuna mashoga, kataa ndoa, kimbilia mashangazi yaan uchache umegeuka adimu

Pia njaa haijahi kumpendeza mtu, umeshawakuta watoto wa wabunge, maafisa waandamizi wakiwa single Maza?
Sisi wanaume Ni jeshi kubwa hatujawahi kuwa wachache duniani. Katika nchi wanawake wanaotuzidi kwasababu wanachelewa kufa😆 hivyo wanatuzidi avarage age 60-100 yrs. Pia mashoga sio wanaume hivyo usiwahesabu katika kundi la wanaume. Sababu Ni moja tu , sisi tunaanza kuwa zalisha tukiwa 18yrs tunakuja kuoa 35yrs ☺️
 
Actually mzungu kashatambua athari za usingle mama kitambo, hii dhambi sahizi imebaki kutafuna jumuiya ya watu weusi hasahasa diaspora ya marekani; takwimu za mwisho nilizosoma ni kuwa katika jumuiya ya black Americans takribani 70% ya watoto wanaozaliwa wapo katika mazingira ya usingle mother
Madhara yake ni kuwa jamii ya watu weusi huko marekani imechakaa vibaya Sana; wanazaliwa watoto wakiume wasiojua jinsi ya kushikiria majukumu ya uanaume (wanaishia kuzalisha wanawake na kukimbia majukumu Yao) pia wanazaliwa watoto wakike wasiokuwa na mifano hai ya "Mme" na "Baba" hivyo hawajifunzi Mme na Baba wa mtoto inabidi awaje na waishi nae vipi
Kiufupi; mwanamke anakuwa hatawaliki ndani ya ndoa na anakosa usikivu (kajengewa mitazamo hasi na Mama yake juu ya wanaume) na mwanaume ambaye naye ni zao la single Mather anashindwa kupata malezi Bora ya baba na kusimama kama mwanaume ndani ya familia yake
The equivalent kwa sisi tunaoishi Dar naweza kusema jumuiya ya makondakta na bodaboda asilimia zaidi ya 70% ni aidha hawa wanaume ambao wanakimbia majukumu au wamezaliwa kwenye mazingira hayo na wanaendeleza gurudumu la tamaduni Yao haribifu
 
Mtu uko verified kabisa lakini unaandika mawazo finyu ,, Nadhani kiongezwe kigezo Cha kupima uwezo wakutoa mawazo faafu kabla hakupewa hiyo verification
Ok sawa Ngoja Niwe Mstaarabu ili nikusaidie Pengine unapitia Magumu Ulipo...

Nikufundishe Kidogo Communication skills Ambayo nahisi Unaikosa Elimu hiyo Adhimu, na Elimu ya Mijadala ambayo nahisi Hukuwahi Kufundishwa..
Hayo ni l yangu Kuhusu Single mazas kwa Mujibu wa Research zisizo rasmi nilizofanya (Unpublished)..

Sasa Chukua Hoja zangu Zichambue moja moja na Uzipinge kwa Kutumie Hoja Zako...

Kama Huwezi kufanya Hivyo basi upande wa Kulia hapo kwenye Jamiiforum Kuna icon Nne Bonyesha Icon ya Kwanza kabisa Kipengele cha mwisho Kimeandikwa Log Out Kibonyeze Uzime Simu na Ulale...

Kwanza Sheria Mojawapo ya Majadiliano (Huenda Ulikuwa Hujui) ni Kuheshimu Hoja za mwenzako, hata kama Ni za Kipuuzi kama Zako..

Na Baada ya Kuheshimu Hoja Hizo kama Hukubaliana nazo ,Unazipinga kwa Heshima..

Nasikitika jamiiforum Haiwafundishi Siku hizi Jinsi ya Kujiengage kwenye Mijadala Zamani Kipindi Jamiiforum Inaanzishwa Kulikuwa Na somo Kila mara la Kujiengage kwenye Mijadala..

Natanguliza Shukrani Za dhati kabisa ndani ya Mtima wangu 😅
 
Mawazo finyu Yana haki ya kupuuzwa mkuu
 
Ujinga ni kupata hiyo mimba
 
Hshah Na Haya Ni mawazo yaliyojaa Akili na Busara kutoka Kwa Intellectual Mwenye IQ ya 150 😅😅🤣🤣🤣😂
 
Niliwahi kukuuliza kwa nini ukajiita binti kiziwi, u never answered my question!
 
Mawazo finyu Yana haki ya kupuuzwa mkuu
Swali la kwanza Uliyapuuza?
au uliyajibu kwa Emotion?

Kitu ambacho ninapenda Kukushauri Kijana wangu Mdogo..

Kwa Haraka haraka UnaLack Emotional Intelligence (EI), Social Quotient (SQ) na siwezi kusema una Ignorance ntakuwa nakutukana..
But una inarticulateness au inaitwa intellectual deficiency.

So Jaribu Kujifunza Mijadala hufanyikaje kabla hujajiingiza Kwenye Mijadala..

Huwa Sijiingizi kwenye Mabishano hasa na Watoto..

So I rest my Case With you For Ever
 
Kijana punguza makasiriko , let's hoja zenye afya katika mjadala
 
Changamoto tuliyonayo ni watu kutopenda kuchukua wakina kwa matendo yao, natamani hii iingie hata mashuleni kuanzia chini kabisa

Kwamba kila tunachofanya mmoja mmoja tuchukue jukumu la kuwajibika
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…