You're very smart, natamani kuuliza tena but niishie hapa mkuu wangu, legend nimekuelewa🤣🤣🤣Legend; Seriously?
Sikuwa na sababu ya msingi… ila zamani nikiwa slim nilikuwa nafanana “kiasi” na binti kiziwi wa wimbo wa Z anto. Au basi nilikuwa nampenda, kuna ile delusional ukimpenda mtu unajiona kama yeye/unajiona ndani yake. 😂
It’s me being stupid!
Yanaanzia hapa mwanamke akishakua na Elimu, pesa (anajimudu kiuchumi) anakua hashikiki dharau kiburi jeuri.
Wengi wako hivi na kwa kwabahati mbaya wanaume tulivyo hatuwezi kuvumilia fedheha ya aina hii hasa kutoka kwa mwanamke.
Kwahiyo uwezo wa kifedha au /na elimu kwa mwanamke katika mahusiona (ndoa) unamjengea jeuli anaweza akaamua kirahisi tu waachane na ndivyo inavyokuaga.
Uvumilivu wa mwanamke katika ndoa sometimes ni unasababishwa na utegemezi wake kwa mwanaume juu ya mahitaji yake... Sasa kama mahitaji yake anayamudu ikitokea changamoto ndogo tu ya kindoa anabeba vilago. Ila kama ndoa imejengwa kwa misingi mila au mafunzo ya kiimani basi ndoa itadumu angalau shida inakuja sasa hivi wengi ni atheist.
mwanaume kamwe hua hamtupi mwanamke anayemuheshimu na mvumilivu kwake , sema mwanaume akishagundua mwanamke aliyenaye ni mwenye tamaa, dharau , kiburi hapo ndio huamua kumtoa moyoni, somo rahisi mwanaume anaweza kuhudumia mke na mchepuko kwa usawa na bila ubaguzi au mwanaume anaweza kua na wake wawili na akawatendea haki , lakini mwanamke akishakengeuka na kuacha tabia zisizo mpendeza mwanaume hua hawezi kubadilika na ndio anakua anapotea bila yeye kujua , na kwa sababu mwanamke ni mtu wa kujaribu kila kitu kama mtoto anajikuta mara nyingi anajaribu hatari maana uelewa wake ni mdogo,Siyo kweli, Kila mwanamme anapenda kuhudumia mtoto na mke wake. Kuhudumia ni fahari yetu.
Sema nyie na umalaya wenu mnataka uhuru ili mkatombeshe kwa wengi.
Hakuna mwanamme aliye tayari kuhudumia mwanamke Malaya, jeuri na kiburi.
Hiz ndio mambo za kujadili sasa sio kila siku Palestine na Israel.Hilo swali tafadhali lisijibiwe ki jazba.
Ukosefu wa maadili unatupeleka pabaya sana. U singo mama na u singo baba unakuja kwa njia tofauti lakini kuu zaidi ni hili la singo mama.
Nyumba zinazoitwa " vituo vya yatima", binafsi naziita vituo vya watoto waliokosa bahati. Kwa sababu vituo hivyo vimejaa watoto wenye wazazi wao, lakini kwa kuwa watu wameona ni biashara inayolipa, wanachukuwa vibali vya vituo hivyo na kuwajaza humo kujitengenezea kipato haramu.
Wengine wa hao watoto wa singo maza na singo faza, ni watoto tunaowaona wakilelewa na walezi wengine kabisa, ambao siyo wazazi wao. Kama vile bibi, shangazi, dada mama mkuu. Je kuna siri zipi nyuma ya pazia?
Nini kinachosababisha u singo maza? Majibu yangu binafsi kwa uchache.
1) Wengi, pengine asilimia kubwa zaidi, za watoto wasio na bahati, hupatikana mimba kwa kujamiiana watu walio wa karibu kabisa, baba, mjomba, kaka, baba mdogo, baba mkubwa mpaka mababu.
Mashangazi, dada, mama mdogo, mama mkubwa nao wamo.
Watoto wanaopatikana ni kipi kitawazuwia wasiwe wa singo maza?
Wanasema "nyumba uloizowea kuihama ina kazi". Mtindo huo hujirudia sana tu.
Kuna kesi mbili tatu nazifahamu binafsi za namna hiyo, dunia haina siri.
Nyote, mnaoambiwa ni watoto wa singo maza msiowajuwa baba zenu, au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie babako" mjuwe baba zenu mnao na ni watu wenu wa karibu kabisa.
Tukiona Watanzania wengi ni mapoyoyo, hiyo nayo ni sababu ya kuwa na taifa lenye watoto wenye mapungufu.
Tatizo siyo wanaoitwa au jiita ma "singo mama" tu, kuna watoto wengi sana wanaoambiwa "mamako alikufa" au "babako alikufa", kumbe ni uwongo mtupu. Huyo baba au mama aliyekufa isibaki hata picha? Au ndugu zake?
Ma singo baba, sababu zao ni nini?
Tusilee uozo wa maadili.
Legend! A compliment from you is worthy-everything. Thank you.You're very smart, natamani kuuliza tena but niishie hapa mkuu wangu, legend nimekuelewa🤣🤣🤣
Ni lazima tuwe wa kweli inapohusu hawa single maza tusiwatetee
Wewe jadili upendacho usipangie wengine wajadili nini.Hiz ndio mambo za kujadili sasa sio kila siku Palestine na Israel.
Hiz vitu vinachangiwa na mambo mengi. ukiacha maadili kuna umasikin ndani yake, kuna kuacha utamaduni wetu na kukimbilia usasa, nk nitarud baadae kufafanua
Hata mimi siwezi kuwa kwenye list ya mwanaume maskini anayewekwa mjinj nawanawake kazi yake nikudanga onaga basi aibu huna amani kisa kila kitu ulichonacho nichawanawake aibu sana unalanasiwezikuwa kwèñye listi ya Mwanamke Maskini
Hata mimi siwezi kuwa kwenye list ya mwanaume maskini anayewekwa mjinj nawanawake kazi yake nikudanga onaga basi aibu huna amani kisa kila kitu ulichonacho nichawanawake aibu sana unalana
Nasema hiv. Kwa hoja hii nakuunga mkonoWewe jadili upendacho usipangie wengine wajadili nini.
Ndo shida inaanzia hapoHaya yote ni matoke ya agenda ya "women empowerment"...
Ni kweli mkuuHakuna mwanaume anaeweza kuishi nyumba moja na mwanamke mjeuri, kelele na dharau.
SureJamii inaongozwa na mwanaume. Ukitaka kujua Jamii yenye wanaume dhaifu we angalia wanawake zao, lazima single mother ni wengi mnoo..
Jamii yenye wanaume wasioweza kumwongoza mwanamke na kumwacha ajiongoze mwenyewe, jamii ya wanaume wasioweza kumkemea mke wa mtu malaya badala yake wanamtongoza, jamii ya wanaume isiyotaka kuwa na familia, wasambaza mbegu, watama pono na wacheza kamari lazima wanawake zao wawe single mother tu.
Jamii ya wanaume vilizi wa mapenzi, jamii ya wanaume walamba lips, jamii ya wanaume laini laini wasiotaka kazi ngumu, wapenda mishangazi, jamii ya wapenda utelezi. Lazima wanawake zao wawe single mother tu.
Vise versa is true hata sisi hatuwezi Sema tunawavumilia tuHakuna mwanaume anaeweza kuishi nyumba moja na mwanamke mjeuri, kelele na dharau.
mockers mwanaume akifika 40 yeye haja expire pia?tunajitahidi kuwakumbusha kua mwanamke ana expire akishagonga 40, soko lake linazidi kushuka yaani kama ni bidhaa inakua zilipendwa, ndio maana hata wema Leo huwezi kusikia kasafiri nchi fulani na nchi fulani sababu soko Hana tena, hata uhongaji mabinti wadogo ndio huhongwa pesa nyingi maana bado wako sokoni , mishangazi , single mother na wajane hao ni saidia fundi , ukizidiwa piga na ondoka
Bado anakua yumo ndio maana mwanaume hata miaka 70 anachakata kama kawaida , mwanamke akifika 50 kwenda juu nyege zinaisha lakini mwanamke nyege huongezeka kwenye miaka 40, 45, 50 ukiomba game mwanamke yeyote wa umri huo lazima atakutunuku Tu wanakua na nyege balaa, hasa muonekano wa mwanamke miaka ya 40 tayari kama ni tako linakua limelegea, maziwa yashamshuka, uso umemchachuka hata atumie vipodozi aina gani na makeup za aje lakini uso unakua na makunyanzi , atajificha na urembo wa salun lakini wapi hamna kitu ndio maana mwanamke mjanja age hiyo anatumia muda mwingi kua na adabu na kuzuia ghiliba za hapa na pale ili aliyenaye azeeke naye , hapo anakua kabakiza muda mfupi awe Bibi kizee ili awe anatembea anajisema hovyomockers mwanaume akifika 40 yeye haja expire pia?
Bado anakua yumo ndio maana mwanaume hata miaka 70 anachakata kama kawaida , mwanamke akifika 50 kwenda juu nyege zinaisha lakini mwanamke nyege huongezeka kwenye miaka 40, 45, 50 ukiomba game mwanamke yeyote wa umri huo lazima atakutunuku Tu wanakua na nyege balaa, hasa muonekano wa mwanamke miaka ya 40 tayari kama ni tako linakua limelegea, maziwa yashamshuka, uso umemchachuka hata atumie vipodozi aina gani na makeup za aje lakini uso unakua na makunyanzi , atajificha na urembo wa salun lakini wapi hamna kitu ndio maana mwanamke mjanja age hiyo anatumia muda mwingi kua na adabu na kuzuia ghiliba za hapa na pale ili aliyenaye azeeke naye , hapo anakua kabakiza muda mfupi awe Bibi kizee ili awe anatembea anajisema hovyomockers mwanaume akifika 40 yeye haja expire pia?