Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Duuh asee mkuu mbona kama umechanganyikiwa
Tatizo hamuwaelezi lugha wanagopaswa kuelezwa ili wajifunze hiyo tabia Mimi sina , wanawake hawa wanaodhani watashindana na mwanaume wakati nature inakataa wanaishia kua wajane na single mother daima, wala msiwapambe ilihali ukweli mnaufahamu au haufahamu kama mwanaume anao tabia ya mwanamke na sio muonekano , ndio maana hata marafiki zako kamwe hawatojadili muonekano sijui rangi , umbo hapana watasema mke wa jamaa muelewa na mkarimu kwa wageni , anasimama imara na Mume wake na hutosikia wanamsifia mke wako kua ana tako kubwa au dogo hiyo margin wengi hawataki kuisema hadharani
 
Hili jambo ni serious.

Nakumbuka kuna jamaa alishawahi liandikia paper.

Ukiachana na ongezeko la single mothers kuna wanawake wengi mno ambao hawaolewi kabisa.

Kwakweli ipo haja ya hizi dini za mke mmoja kuangalia namna maana ndoa za mke mmoja zinazalisha masingle mothers wengi.

Mwanamke anaona umri unakwenda haolewi, bora azae tu.
 
Wanazidi kuwa wengi kwa sababu wanaume hatutaki kuoa na tunaona kuishi na mwanamke nikipengele bora kuwazalisha afu nakusepa hata ukifa hujaoa ilimladi unakuwa umeacha mbegu
 
Trend ya wanawake kuendekeza fedha imefanya ngono iwe rahisi, hata ile thamani yao imepotea sababu ya fedha wanafanywa kama object na si binadamu ndio maana siku hizi kuna style na mitindo ya ngono ya ajabu ajabu,sababu ile feelings kujaliana hamna. Ndio maana hata wakipewa mimba watu hawajali. Pili kizazi cha sasa cha wanaume tunapenda ngono ila majukumu hatutaki,wazuri sana kujisifia ubunifu kitandani ila output inayo patikana kitandani hatutaki kuisikia.
 
Alhamdullahi mja nimeepushwa
 
Wewe shilingi una mke na watoto wangapi?
 
Malezi mabovu na mazingira;
Ambapo malezi mabovu yanachangia kwa asilimia kubwa , vijana wanaanza ngono wakiwa bado hawajielewi ni nini wanataka na zao la ngono ni mtoto matokeo yake mtoto atalelewa na bibi yake.

Mazingira pia yanachangia japo kwa asilimia chache sana endapo kijana atakuwa amekulia katika malezi bora.

Sababu nyingine ni kuongezeka kipato kwa mwanamke, hii pia ni sababu ya ndoa nyingi kusambaratika.
 
Hata hospitalini idadi ya mashetani huzaliwa wengi ambao ni wanawake na malaika wachache wanaume, ndio maana hata mzazi akipata mtoto wa kiume hua na furaha Sana Kuliko kuzaa mtoto wa kike ambaye anajua atakua malaya aliyekubuhu
Mkuu ukibahatika kupata mtoto wa kike utafanyaje, utamchukia sababu ni wakike?
 
Baada ya kuukusoma hoja yako nikawa najiuliza:

Ikiwa bibi kashindwa kumlea mwanae akawa hana maadili mema, ataweza kumlea mjukuu akawa na maadili mema?
 
Ujumbe ninao jitahidi kuufikisha hapa ni kuwa, asilimia kubwa ya haya mambo tunayoyaina kwa mabinti na hata vijana wetu ni tafsiroi tu ya maisha ya majumbani mwao.

Ikiwa mroto wa kike, au hata wa kiume, kuanzia mdogo mpaka anakuwa mtu mzima kazowea kila amuonapo babake anawahi kwenda kumkalia mapajani ampakate, kuanzia mdogo akagunduwa kuwa muda mzuri wa kumkalia baba mapajani ni asubuhi akiamka . Na baba hapo ndiyo mapenzi yanazidoi kwa mwanawe, anahakikisha kila akirudi hakosi zawado za mwanae lakini hampi mpaka asubuhi.

Malezi kama hayo, tutegemee nini?
 
Ujumbe ninao jitahidi kuufikisha hapa ni kuwa, asilimia kubwa ya haya mambo tunayoyaina kwa mabinti na hata vijana wetu ni tafsiroi tu ya maisha ya majumbani mwao.

Ikiwa mroto wa kike, au hata wa kiume, kuanzia mdogo mpaka anakuwa mtu mzima kazowea kila amuonapo babake anawahi kwenda kumkalia mapajani ampakate, kuanzia mdogo akagunduwa kuwa muda mzuri wa kumkalia baba mapajani ni asubuhi akiamka . Na baba hapo ndiyo mapenzi yanazidi kwa mwanawe, anahakikisha kila akirudi hakosi zawadi za mwanae lakini hampi mpaka asubuhi.

Malezi kama hayo, tutegemee nini?
 
Kuongezeka kwa idadi ya "single mothers" kunaweza kusababishwa na sababu mbalimbali, miongoni mwao ni:

1. Mabadiliko ya Kijamii: Jamii nyingi zinaelekea kuwa na mtazamo mpana kuhusu familia na mahusiano. Wanawake wanapata uhuru zaidi wa kufanya maamuzi kuhusu maisha yao, ikiwa ni pamoja na kuamua kuwa na watoto bila ndoa.

2. Talaka: Kuongezeka kwa viwango vya talaka kunaweza kusababisha wanawake wengi kuwa na watoto bila wenzi wao. Mara nyingi, wanawake wanachukua jukumu la kulea watoto baada ya talaka.

3. Ushirikiano wa Kijamii: Katika baadhi ya jamii, kuna msaada zaidi kwa wanawake wanaolea watoto peke yao, kama vile huduma za kifedha na kijamii.

4. Elimu na Ajira: Wanawake wengi sasa wanafikia elimu ya juu na nafasi za ajira, wakijitambua kuwa na uwezo wa kujitegemea na kulea watoto wao bila msaada wa mwenzi.

5. Mabadiliko ya Maadili: Maadili na mitazamo ya kijamii kuhusu malezi ya watoto na ndoa yamebadilika, ambapo wanawake wanaweza kujiona wakijivunia kulea watoto bila kuwa na mwenzi.

Kwa hivyo, sababu hizi na nyinginezo zinaweza kuchangia kuongezeka kwa idadi ya "single mothers" katika jamii nyingi.
 
Ujumbe ninao jitahidi kuufikisha hapa ni kuwa, asilimia kubwa ya haya mambo tunayoyaina kwa mabinti na hata vijana wetu ni tafsiroi tu ya maisha ya majumbani mwao.

Ikiwa mroto wa kike, au hata wa kiume, kuanzia mdogo mpaka anakuwa mtu mzima kazowea kila amuonapo babake anawahi kwenda kumkalia mapajani ampakate, kuanzia mdogo akagunduwa kuwa muda mzuri wa kumkalia baba mapajani ni asubuhi akiamka . Na baba hapo ndiyo mapenzi yanazidoi kwa mwanawe, anahakikisha kila akirudi hakosi zawado za mwanae lakini hampi mpaka asubuhi.

Malezi kama hayo, tutegemee nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…