Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Leo umeongea ukweli kuhusu single Maza hua nashangaa sana kila unae mtongoza anakwambia Nina mtoto 1-2 nk kibaya zaidi vingine ni vitoto mpaka navionea huruma ukimuuliza mtoto yupo wapi kanasema kwa mama kijijini duh wazazi wamekulea wewe bado unapelekea na mzigo mwingine so sad
 
c8f977af7b8d020e7cbc32b4f40ce155.jpg
single mother huyu
 
Nilijua tu lazima watakushambulia mleta uzi lakini huo ndio ukweli mchungu ambao hawataki kuukubali.
 
ili bomu umeiliokota wapi alafu unataka ulilipue humu chunga sana maisha yamebadirika wqtu siku hiz wanastress anglie usije ukatukanwa
 
Bora umenisaidia kujibu mwaya.

Ubarikiwe. Sina haja ya kumjibu nadhani amekuelewa vyema lengo langu ni kutoa mfano kwa wadada 10 na si vinginevyo pia nadhani hajataka kunielewa.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Unamshukuru vp! We ni single mother utakuwa
 
Back
Top Bottom