Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Au tu siku moja nyumbani mtoto wa kambo akishika simu yako afu wewe ukasema "" we flani ,acha utaharibu " tayari mama ake ataanza kukasirika na kumlisha sumu mtoto kuwa wewe baba ake wa kambo hufaiHalafu unakuta huyo mtoto hata siku akilitembelea libaba nyumbani kwake linakuwa likali kweli... akishika redio tu utaskia "we acha utaharibu, pumbavuu" na mama mtu hapo yupo kimyaa! ila sasa uje wewe mtie hata kibao cha matako halafu mtoto apige kelele kwanza hilo jicho utakalo angaliwa na mama mtu utatamani ujifiche mfuko wa nyuma.
kiukweli kuoa single mother kunaondoa confidence kabisa ile ya kibaba, mimi kama ni kuoa wanawake wa hivyo nitaoa uzeeni sio ujanani
Sent using Jamii Forums mobile app