Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Halafu unakuta huyo mtoto hata siku akilitembelea libaba nyumbani kwake linakuwa likali kweli... akishika redio tu utaskia "we acha utaharibu, pumbavuu" na mama mtu hapo yupo kimyaa! ila sasa uje wewe mtie hata kibao cha matako halafu mtoto apige kelele kwanza hilo jicho utakalo angaliwa na mama mtu utatamani ujifiche mfuko wa nyuma.

kiukweli kuoa single mother kunaondoa confidence kabisa ile ya kibaba, mimi kama ni kuoa wanawake wa hivyo nitaoa uzeeni sio ujanani
Au tu siku moja nyumbani mtoto wa kambo akishika simu yako afu wewe ukasema "" we flani ,acha utaharibu " tayari mama ake ataanza kukasirika na kumlisha sumu mtoto kuwa wewe baba ake wa kambo hufai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na akishalishwa sumu tu tayari ndio kimoja hivyo, akishafika age ya utu uzima atabeba ile dhana ya kwamba huyu alikuwa ana mtesa mama yangu kwa sababu ya hela zake.
 
Ila
kitambo sana aisee hips ziko chini ya magoti saiv...[emoji16]
Ila wee mwanamke safi sana, hujazwi jazba na mtu usiyemjua wala hutoi matusi ovyo eti tu kwa sababu mtu fulani kakujibu kwa kejeli, safi sana jioni tukutane pale pa siku zote tumalizie siku.
 
Ila

Ila wee mwanamke safi sana, hujazwi jazba na mtu usiyemjua wala hutoi matusi ovyo eti tu kwa sababu mtu fulani kakujibu kwa kejeli, safi sana jioni tukutane pale pa siku zote tumalizie siku.
Aww,.umejua kunielewa sanaa mkuu..naomba nije hii jioni tafadhali kabla giza halijawa kuu[emoji4]
 
Na akishalishwa sumu tu tayari ndio kimoja hivyo, akishafika age ya utu uzima atabeba ile dhana ya kwamba huyu alikuwa ana mtesa mama yangu kwa sababu ya hela zake.
Wakati hayo yote yanatokea wewe hajakuzalia watoto ambao ni watiifu kwako na kwann wasiwe masource of information dhidi ya huyo ndugu yao wa kwanza, kwa taarifa yako wanao wa uzao wako kila watakulinda siku zote dhidi ya uzandiki wa mama yao na mwanae.

NB; Jikite kutengeneza maisha yako ya baadae kabla ya kutegemea watoto
 
Kiufupi tu kwamba mwanaume kulea mtoto ambaye sio wako inakufanya uwe half-father half-stranger huwezi ukamplay roles za ubaba ipasavyo hasa kwenye suala la discipline, m imi siko tayari kuwa nusu baba. Hao watoto ambao ni damu yangu nao pia wanaweza waka side na kaka yao mkubwa dhidi yangu kwa influnce ya mama yao, ulifahamu hilo?

Nakubaliana na hiyo sentensi yako ya mwisho na nitaifanyia kazi
 
Ila ukirudi kwenye ukweli mwanamke kupata ujauzito kabla ya ndoa ni ukosefu wa maadili kwa wazazi wake, kwa hiyo matokeo ya kile dhambi walioifanya.
 
Ila ukirudi kwenye ukweli mwanamke kupata ujauzito kabla ya ndoa ni ukosefu wa maadili kwa wazazi wake, kwa hiyo matokeo ya kile dhambi walioifanya.
Basi sasa huo ukosefu wake wa maadili consequences hazibebe mwenyewe, na sio kutubebesha na wengine ambao hatukuwepo
 
Habari zenu.

Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.

Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.

Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.

Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.

Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.

"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea

Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.

Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.

Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.

Meraki
 
Back
Top Bottom