Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Inawezekana ni kweli hajatumia akili kurudiana na baba watoto wake

Lakini kimsingi hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuzaa na wanaume tofauti tofauti,halafu mapenzi yana nguvu kuliko akili
 
Inawezekana ni kweli hajatumia akili kurudiana na baba watoto wake

Lakini kimsingi hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuzaa na wanaume tofauti tofauti,halafu mapenzi yana nguvu kuliko akili
Kuna kitu kinaitwa kutamani;wengine wameingia kwenye ndoa na hawajawahi kufika kileleni,inabidi warudi walikotoka ili wapate wanachohitaji.
 
Yaani hata kitaa ukidata kwa single mother, unawezakosa hata support kutoka kwa wazazi, ndugu na jamaa. Maana watu wanajua madhara yao kwenye ndoa.

Si waaminifu kabisa. Muda wowote wanasaliti. Wanajifanya wanajua techniques za usaliti.
Mkuu vipi kuhusu wanaume wenye watoto nje ya ndoa wao ndiyo wanafaa kuoa maana hawafanyi usaliti??
 
Karma na rebeca naona mnachungulia uzi na kutoka nduki. Nasubiri mchango wenu. Inapotokea jambo kama hili wanaume tufanyaje sasa? Ufanunuzi tafadhali maana hii itasaidia kwa wale walioa single mother.

mie sijaisoma yote,lol

mie kuna kitu kinanishangaza kuhusu hizi topics za single mothers...

utasikia hatuoi single mothers..huu ndio msimamo wetu mabaharia...

na huu msimamo unajulikana,

sasa hizi topic za single mothers ni nyingi sana...

sasa jibu ni lile lile

nachowauliza hamchoki ??

kutoa jibu hilo hilo…??

clearly mabaharia hamna umoja😉😉😂😂😂

mabaharia wengine hawaelewi somo😂😂
 
Ni umalaya tu. Mtu kakutelekeza na watoto wawili, then umepata mtu wa kukuchukua pamoja na majukumu hayo ( watoto wawili). Then unataka kuvunja ndoa kwa ajili ya aliye kutelekeza?

Nilisoma sehemu flani, unapoingia kwenye ndoa sio kwamba hautapenda tena au kutamani tena, bali unatakiwa kuheshimu kiapo chako kwa mwenza wako.
Wengine ni upendo kuwepo kwa wapenzi wa zamani
 
Back
Top Bottom